Zaka na fungu la kumi.
Fungu la kumi ni sehemu tu kwa mapato yote. Ni vyema kujua kwamba sio eti Mungu anahitaji fungu bala niya kwanza kati ya mazao. Fungu lilihitajika chini ya sheria katika maandiko. Abeli alileta mwana kondoo wa kwanza na mzuri. Nuhu alitoa dhabihu safi baada ya damu. Abrahamu alitoa fungu kwa Melichizedeki, katika sheria za Musa, fungu la kumi ilikuwa kwa lazima. Inashangaza kujua jumla yote ya zaka na fungu wakati wa Musa yote ilifikia 30%. Manabii waliwafundisha watu kuweka pesa zao karibu na midomo yao na waweze kumuheshimu mungu wao kwa nyongeza nzuri ya mapato. Yesu alinena ya kwamba yatupasa kuwa na moyo uliowazi kutoa fungu na zaka hata mitume pia.
Matoleo yetu yanatupa hali ya kuelekeza katika ufalme wake na hapa dunia kwa hali ya faida iliyolindwa kwa mavuno.
Kutoa kwa kuelekezwa na roho.
Katika kitabu cha 2 wakorintho sura ya nane na tisa, mtume Paulo anazungumzia kuhusu hali ya kutoa kwa moyo. Hakuna shaka juu yake kile tunashughulikia na kuhesabu sana huchukua muda na wakati watu, raslimali, vipawa na talanta! Yoshua kwa mataifa wanaamini kuwa ni muhimu kwa kila mwamini na ufahamu uliowazi kuhusu usimamizi ili waweze kudumisha hali ya ukuwaji katika sehemu zote za maisha yao.
Mbinu au umahiri
Mbinu au umahiri ni nini?
Mbinu ni hali au njia inayotumika kuleta matokeo ya mwisho. Katika mtazamo wa kijeshi ni ya hali inayotumika kwa kuleta mwelekeo na hali ya kuendelea na kuchukua hatua dhidi ya adui.
Je mbinu za Yoshua kwa mataifa za kuendeleza chuo cha bibilia ni gani?
Kuinua –mpanzi na mbegu.
Naye Yesu akawaambia mambo mengi kwa mifano. Sikilize! Mpanzi alikwenda kupanda mbegu, alipokuwa akipanda mbegu nyingine zilianguka njiani, ndege wakaja wakazila. Nyingine zilianguka penye mawe pasipokuwa na udongo mwingi. Zikaota mara kwa kuwa udongo haukuwa na kina. Jua lilipochomoza, zilichomeka na kwa kuwa mizizi yake haikukuwa na nguvu,zikanyauka. Zingine zikaanguka kwenye miti ya miiba nayo ikakuwa na kuzisonga. Nyingine zikaanguka kwenye udongo mzuri zikaota zikaza. Nyingine punje mia moja nyingine sitiini na nyingine thelethini. Mwenye masikio na asikie! (Mathayo13:3-9)
Usajili wa wanafunzi.
Katika hali ya methali hii ya mpanzi na mbegu, mavuno ambayo Yesu anazungumzia ni nafasi! Wale wanaoitikia mwito huu wataongezea mazao yao kwa wanafunzi. Kuwa moja wapo ya ukweli ambayo inalengwa katika methali hii mbegu katika mchanga! Haujui ni nani atakaye vutiwa na shule hii ya bibilia. Himizo letu kwako ni kupanda mbegu na kuona ni nani atakaye itikia mwito wa Mungu, lengo na mtazamo wa shule yako uwe kwa wafuatao.
-
Viongozi wa madhehebu na makanisa mbali mbali.
-
Wachungaji.
-
Washiriki wako.
-
Rafiki na watu wa jamaa.
-
Waliopotea.
-
Wanafunzi toka kwenye taaluma mbali mbali.
-
Matukio mengine na kuhitimu.
Usajili wa mwalimu.
Shabaa yetu katika shule ya bibilia ni kufanya wanafunzi wawe mavuno ya mwalimu.
Mambo yote ambayo tumeyaeleza katika mikakati yetu kuhusu viongozi na hali ya uongozi ndio yale yanayohitajika kwa mwalimu na mwanafunzi. Kuna kiwango moja kwetu sote. Njia nzuri ya kuwa mwalimu mwema ni kuwa msikilizaji mwema. Hakuna jambo linaweza kuchosha mno. Kusikia mtu akiongea tuu, kuliko kuwavutia wasikilizaji kwa ukweli. “Ujuzi huleta majivuno, lakini upendo hujenga.”
1 Wakoritho 8:1
Kwa hivyo nini daraja kutoka kwa maneno ya wanadamu kuelekea upendo unaojenga? Kuleta ukweli kwa yale unayoyafundisha, zingatia katika maandiko wale walioshikilia ukweli. Wameinuliwa na kuheshimika wanapokea neema na taji la utukufu. Basi hiyo ni kujenga. Hivyo basi tunawahimiza walimu wetu, kwa uwezo wao wote wapate ufahamu. “Jambo la msingi ni kujipatia hekima. Toa vyote ulivyo navyo ujipatie akili. Mthamini sana hekima naye atakutukuza. Ukimshikilia atakupa heshima, Atakuvika kilemba kizuri kichwani pako,atakupa taji maridadi.
Methali 4:7-9
“Kama viongozi, walimu wengine huzaliwa ila wengine hufanywa walimu. Walimu wanahitaji kuandaliwa na kuangaliwa kwa njia mbili za kuendelea kujifunza .Jinsi ya kufundisha na jinsi ya kupanga somo la kufundisha. Lengo likiwa ni kuvuna walimu kwa wale wanaohitimu kwa mpango huu. Hadi wakati huo twahitaji kualika wachungaji na viongozi wa makakanisa kuwa sehemu ya shule hii ya Biblia.
Hali ya upangaji na usimamizi.
Kupanga ni ile hali ya kuleta haja zote pamoja kama raslimali, uangalizi, matokeo na vifaa vyote vya kutumia. Hali usimamizi ni ya kuona mipango yote imepangwa na kusimamiwa. Hii ni hali inayowezesha mpango kuendelea ambalo ni jambo muhimu shuleni zote za Bibilia.
Usimamizi wa fedha- swala ngumu la kuangalia.
Tambua njia zote za mapato.
Malipo ya maombi, malipo ya usajili, karo, rasilimali kwa vitabu na malipo ya kuitimu.(Mapato yote yatalingana na hali ya uchumi wa kila taifa.) B.T.C yaweza kutumia sehemu ya fedha hizi na karo yote licha ya kwamba hairuhusiwi. B.T.C itahitajika kukadiria mahitaji yote ili kukutana na bajeti yao. B.T.C. wanauwezo wakujumulisha karo yote pamoja au kunganisha na kulipisha sehemu baada ya nyingine au kutolipisha. Kila B.T.C / shule ina uwezo wa kuamua kulingana na mahitaji yake.
Makadirio.
Kila B.T.C/ shule itabidi iwe na makadirio ya mwezi hadi na makadirio ya mwisho wa mwaka. Mfano umepeanwa na kila kiasi cha matumizi.
Mtindo wa usimamizi wa fedha , mtindo huu umeshaangaliwa mara kwa mara na kudhibititishwa. Bali na wazo letu na kuimiza ili utumike lakini si lazima.
Fungu la kumi- Hii ni sehemu ya kwanza ya 10% katika mapato yako yote.
Kazi au tume- kwa asilimia tano 5% tunapendekeza ipeanwe kwa kazi ya taifa na mataifa.
Matumizi ya kibinadamu- kunapendekezo la 5% itumike kwa kununulia chakula, dawa za matibabu ama msaada wowote katika jamii mahali B.T.C/ shule yako iko.
Maendeleo- Tunapendekeza kwamba utenge 10% kwa maendeleo yajayo kama, wale si lazima usafiri, uchapishaji wa vitabu na ugawaji, semina, ununuzi wa vitu na urekebishaji zaidi.
Usimamizi (Watenda kazi)- Pendekezo letu ni kwa 35% itumike kwa mishahara au kipawa kwa kundi la walimu wako. Pia twapendeza kuwa 3% ihifadhiwe kwa ajili ya kundi la eneo na taifa na iwe kama mchango kwao wanapokuja kutembelea B.T.C/ shule yako.
Hali ya utendaji kazi- Tunapendekeza kwamba katika 35% itumike kwa matumizi yako pamoja na kulipa renti na matumizi yote kwa jumla.
Usimamizi wa fedha katika B.T.C/ shule.
Hatua na kuangalia.
Kuangalia na hatua ni nini?
Njia rahisi, weka huu mpango unaofanya kazi. Hii ni hali ya kuangalia kama madhumuni, mikakati, na umahiri wetu unafanya kazi kwa kufikia maono na tume zetu. Tunazo njia mbili za kuangalia hatua, ushirikiano na utendaji.
Yoshua kwa mataifa wana hatua gani za kuangalia.
“Mti mzuri hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa mazuri. Kila mti usiozaa matunda mazuri hutekezwa na kutupwa mtoni. Kwa hivyo, mtawatambua kwa matendo yao. Mathayo 7:18-20
Hatua za kuangalia.
Je tunafikia maono, utume na madhumuni yetu?
Hatua: Je kunayo matokeo yoyote?
Kuangalia: Kama basi kunayo matokeo, ni matunda ya aina gani? Mema au mabaya?
Ushirikiano:Watenda kazi wako sawa?
-
Mbinu zetu zinafanya kazi? Au kunahitajika marekebisho?
-
Je kunayo maoni yeyote yanayoweza kuleta ushirika mwema?
Utendaji. Umahiri wetu unafanya kazi? Yahitaji kurekebishwa au maoni?
-
Je kuna hali yeyote ya kurekebisha katika mpango inayoendea?
VIFAA VYA KUANZISHIA CHUO AU SHULE YA BIBILIA.
-
MPANGILIO KATIKA KAZI.
-
Msimamizi.
-
Mkagusi wa vitabu.
-
Kundi la kufundisha.
-
Kundi maalumu la kufundisha.
-
MFANO WA HATI YA B.T.C (chuo cha bibilia.)
-
Imani yetu.
-
Vyeti.
-
Mwongozo wakufundisha na kutayarisha somo.
-
Aina mbili ya rekodi za kuhudhuria.
-
Barua ya kukubaliwa.
-
Ombi la usajili.
-
Barua kwa mwalimu.
-
Fomu ya maelezo ya mwanafunzi (rekodi ya kudumu)
-
Ripoti ya kuwa mwanafunzi.
-
Ripoti ya uinjilisti.
-
Ripoti ya maelezo yote.
-
Ripoti ya mtihani.
-
Mfano wa mwongozo wa muhula.
-
Mfano wa barua ya matangazo.
-
JINSI YA KUANZA NA KUENDELEZA SHULE.
-
Mwongozo hutoka kwa bwana.
-
Maelezo na mikakati ya kuinua shule.
-
Wakati na pahali pa shule.
-
Usajili wa kwanza na kuinua.
-
Usajili raslimali.
-
Kutayarisha wanafunzi.
-
Kuendeleza shule.
-
Mwisho wa mwaka.
-
Kufuzu.
-
Mambo ya ziada.
-
Namna ya matumizi.
-
Bajeti ya kila mwezi.
-
Bajeti ya mwisho wa mwaka.
V. TARATIBU YA MASOMO NA MTIHANI.
-
Taratibu katika mwaka au muhula wa kwanza na mtihani.
-
Taratibu katika mwaka au muhula wa pili na mtihani.
-
Masomo ya ziada na mtihani.
MPANGILIO WA KAZI.
-
MPANGO KATIKA KAZI.
-
Usimamizi.
Msimamizi ndiye anayeweka kiwango katika hali ya kiroho na inayoingiana na kila mtu, kupeana uongozi na kuangalia kila mtenda kazi. Mwili wa wanafunzi kupanga na kusimamia fedha zote na utendaji.
Msimamizi anawajibika na kutoa ripoti zake kwa msimamizi wa eneo, kitaifa au mmoja wa kundi linaloangalia na kusimamia mataifa katika hali ya kiroho na ushirikiano wa kuendeleza chuo, hali na kuyajadili mambo yote kuhusu chuo.
-
Kundi la ufundishaji.
Wanaofundisha wanawajibika katika mambo ya kiroho. Unyoofu na ubora au uzuri wa watu wote, kwa kufundisha ukweli na upendo, kuelewa kwa roho na unyenyekevu na wakiheshimu wanafunzi wao.
Watawajibika kwa kutoa habari zao kwa msimamizi na pia kupeana mipango ya kila somo, kuweka na jinsi ya kuangalia wanafunzi wanavyohudhuria, kupeana mtihani na kusahihisha. Walimu watahitajika kuwaelimisha mambo yote yanayoendelea darasani kwa msimamizi. Walimu na viongozi watakuwa na jukumu na nafasi sawa kwa wanafunzi wakifundi, mambo ya msingi katika maisha. Hivyo basi twawahimiza walimu kuwaelekeza wanafunzi wao kwa:
-
Kuwajibika katika kila hali yote ya maisha.
-
Kuangalia na kuchunga wakati.
-
Mambo ya msingi na kiroho itakayowakifisha kwa lengo lao.
c. Mkaguzi.
Mkaguzi atawajibika kwa mambo ya kiroho, ubora na kuweka rekodi zote za afisi na wanafunzi. Yeye atawajibika kwa msimamo na atasaidia kutayarisha makadirio, matumizi na kutoa hesabu ya fedha zote.
-
Kundi maalumu la kusaidiana.
Kundi hili linawajibika kwa mambo ya kiroho, ubora wote kama ushirika katika chuo. Watawajibika na kutoa habari yao kwa msimamizi. Msimamizi atawapa jukumu la kusaidia kazi mbali mbali katika chuo.
MFANO WA KATI AU NAKALA YA B.T.C(shule.)
HALI YA IMANI YETU( Mambo tunayoamini)
TUNAAMINI.
-
Bibilia ni takatifu na pumzi ya Mungu, neno lisilo na makosa.
-
Kunaye Mungu mmoja na katika utatu. Mungu baba, Mungu mwana na Mungu mtakatifu.
-
Kuzaliwa kwa Yesu kupitia kwa bikira, hali na uwezo wake, maisha yake yasiyo na dhambi, kifo chake, kufufuka, kupaa angani na kuketi katika mkono wa kiume na hali yake ya kurudi hapa duniani kutupokea katika utukufu wake.
-
Katika kuzaliwa mara ya pili, mmoja hupokea utakaso na kutengwa kwake Mungu, kuendelea kuishi maisha ya utakaso na kupokea ukamilifu kwa kurudi kwake Yesu.
-
Katika huduma ya roho mtakatifu anayeshawishi kufanya upya, kudumu, kufungwa macho na kuwapa ubatizo wa roho mtakatifu anayepeana gharama za roho kwa kuegemea mwili wa kristo na kuandaa watakatifu.
-
Kufufuliwa kwa watu wote na kuishi milele mbinguni au jehanamu.
-
Kwa mpango wa Mungu uliokamilika wa sasa na ujao wa kusimamisha Israeli.
-
Kanisa ni mwili wa kiroho ambaye Kristo ndiye kichwa, sasa na hata milelel kwa kuzingatia kanuni zote za ibada ya ubatizo wa mkristo na meza ya Bwana.
MWONGOZO WA KUFUNDISHA NA KUANDAA SOMO.
Kwa kila somo, mchoro huu utamfaa mwalimu kueleza umahiri wake.
Maelekezi na lengo.
|
Vifaa na matumizi.
|
Habari.
|
Kufafanua.
|
Kusimulia.
|
Kufunga.
|
KUHUDHURIA DARASA.
Mwalimu.
Darasa.
JINA
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
S
|
B
|
A
|
Am
|
S
|
B
|
A
|
Am
|
S
|
B
|
A
|
Am
|
S
|
B
|
A
|
AM
|
S
|
B
|
A
|
Am
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
Do'stlaringiz bilan baham: |