Mungu mkuu wa mipango



Download 1,15 Mb.
bet6/13
Sana24.06.2017
Hajmi1,15 Mb.
#14917
1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   13

SIFA NA IBADA.

PEANA JIBU SAHIHI(UKWELI/ UONGO)

  1. Sifa ni hali ya nje ya hisia zako kuhusu Mungu.

  2. Sifa huleta uwepo wa Mungu katikati yetu.

  3. Sifa ni ufunguo wa mawasiliano na kushirikina Mungu.

  4. Ibada ni hisia ya moyoni inayomguza bwana.

  5. Lazima kumwabudu bwana katika roho na ukweli.

  6. Ibada au maabudu hayahitaji utakatifu maana Mungu anaweza tu kupokea.

  7. Yatupasa kumwabudu Mungu na vilio vilimo ndani mwetu .

  8. Mungu anaweza tu kupokea sifa kutoka kwa kikundi kizuri cha waimbaji.

  9. Kumwabudu kwa kweli kutaleta mabadiliko kwa mwabudu.

  10. Mungu ni roho, kwa hivyo ni lazima tumwabudu kwa mawazo yetu.

  11. Mungu atatupokea kutokana na vyombo tunavyovicheza tu.

  12. Mungu anatuita tumwabudu hata kama hatutaki.

  13. Kuabudu kunaleta dhihirisho la nguvu za Mungu.

  14. Tunaweza kumsifu Mungu kwa sauti zetu, lakini sio kutoka ndani mwetu.

  15. Tunaweza kumsifu Mungu kutokana na vipawa, talanta na matoleo yetu.

  16. Haikupasi kuzaliwa mara ya pili, ili kumwabudu Mungu katika roho.

  17. Kuabudu ndiyo njia nzuri katika agano jipya ya kuwasiliana na Mungu.

  18. Katika kumuabudu, Mungu huturejeshea upendo wetu kupitia dhihirisho ya roho mtakatifu ndani yetu.

  19. Kuabudu kunaleta ukomavu na upendo kati ya ushirika wetu na Kristo.

  20. Nimehudhuria kila somo katika darasa hili.

JINA___________________________ NAMBA_________________ TAREHE______________________


HAKI YA UPONYAJI.

(PEANA JIBU SAHIHI) UKWELI AU UONGO

  1. Mungu huponya tu baadhi ya magonjwa.

  2. Uponyaji unapatikana kwa dhabihu ya damu ya yesu kristo.

  3. Katika dhabihu ya damu, tumekombolewa kutokana na laana na magonjwa.

  4. Mpango wa Mungu kwa mwanadamu ilijumulisha uponyaji.

  5. Kama dhabihu ya damu ni kweli kuondoa dhambi.

  6. Yahova Rapha inamaanisha Mungu anayetubariki na magonjwa

  7. Maana Mungu ni upendo atakayetukinga na maradhi yote hata tunapoendelea kuasi.

  8. Mapigo yake yesu yameleta afya miilini mwetu.

  9. Kama mwanadamu hangetenda dhambi basi ugonjwa haungeingia duniani.

  10. Kutoamini kutamzuia Yesu kutuponya kulingana na Mariko6:5-6.

  11. Uponyaji ulipitwa na wakati wa mitume kama tunavyoona katika Mariko16:18 na sasa lazima tuwapeleke wagonjwa kwa daktari.

  12. Yesu alibeba ugonjwa wake na dhambi zake ili kila mtu abebe magonjwa zake.

  13. Tumeponywa kulingana na 1Petro 2:24 tunapojihisi kuachiliwa na ugonjwa baada ya maombi.

  14. Baadhi ya maradhi mengine husababishwa na pepo, roho mchafu, ndiposa uponyaji upatikane baada ya kukemea.

  15. Dhabihu ya damu ya kristo inaweka msingi wote wa ukombozi

  16. Hata hiyo si mpango na mapenzi ya Mungu kuponya kila mtu hata usipomuamini.

  17. Neno la Mungu ni dawa, hivyo basi hatuhitaji dawa zingine.

  18. Inagharimu hatua ya imani kupokea uponyaji wa mwili.

  19. Mapenzi kamili ya Mungu kwa watoto wake si kuwaponya bali wawe na afya njema.

  20. Ugonjwa wote hutoka kwa shetani.

JINA____________________________ NAMBA________________________ TAREHE___________________


TABIA YA MUNGU.

PEANA JIBU SAHIHI(UKWELI/ UONGO)

  1. Tabia ya Mungu hupeleka sifa na matendo yote kumhusu Mungu.

  2. Kujua tabia za Mungu ni sawa na kujua tabia zake.

  3. Maana Mungu ni roho, yeye hamiliki mambo yale ya kimsingi yanayohusu binadamu.

  4. Kuweko kwa Mungu kunaweza kuweko uumbaji.

  5. Ufunuo halisi wa binadamu ni kupitia kwa mwanawe Yesu na bibilia.

  6. Ukuu wa Mungu hupelekea uwezo wake na kutenda mambo yote kwa wema au ubaya.

  7. Mungu ni mwenye uwezo zaidi anaweza kufanya mambo kinyume na hali yake.

  8. Ingawa Mungu yupo kila mahali kuna viwango tofauti vya kuonekana kwa uwepo wake.

  9. Mungu kwa wakati hubadilisha tabia zake kulingana na hali ya ushirika wake na mwanadamu.

  10. Utawala wa Mungu hupelekea ufahamu wake kwa kwa mambo yote ya sasa na yajayo.

  11. Kutobadilika kwa Mungu hupelekea Mungu kufanya chochote atakacho.

  12. Maana Mungu ni roho lazima tumuabudu katika roho.

  13. Maana Mungu baba wetu ni mtakatifu kwa niaba yetu, haitupasi kutafuta utakatifu.

  14. Utakatifu na roho ya Mungu huhukumu dhambi lakini upendo huleta msamaha.

  15. Haki ya Mungu hupelekea msimamo wa Mungu kwa mwanadamu.

  16. Upendo ni tunda la Mungu.

  17. Upendo wa kawaida wa mwanadamu ni kama upendo mkuu wa Mungu.

  18. Yesu alisema, dhibitisho la upendo mkuu wa Mungu kwa mwanadamu ni kama upendo mkuu wa Mungu.

  19. Majina yake Mungu yanonyesha wazi tabia zake.

  20. Majina saba ya ukombozi ni wa Mungu kwetu hutambua baraka zilizopeanwa kwa njia ya damu.

  21. Nimesoma maelezo na kazi yote niliyopewa.

JINA_______________________ NAMBA_________________________ TAREHE____________________


MAFUNDISHO KUHUSU BIBILIA.(KANUNI)

PEANA JIBU SAHIHI

  1. Mafundisho au kanuni inamaanisha kufundisha ama kuelekeza.

  2. Kanuni za bibilia ni ufunuo wa ukweli wa Mungu jinsi maandiko yanavyoeleza.

  3. Maandiko ya mtakatifu ni pumzi ya Mungu yenye uhai.

  4. Ni lazima turudie kila andiko linalozungumzia somo fulani ili tutengeneze mafundisho au kanuni.

  5. Kanuni katika agano la kale ni kivili cha ukweli katika agano jipya.

  6. Yesu kristo ni mwenye nguvu na alikuwepo kabla ya uumbaji.

  7. Yesu kristo ni neno liloeleza mawazo na fikra za Mungu.

  8. Yesu kristo alikuwa 50%Mungu na 50% mwanadamu.

  9. Kanuni ya mwokuvu inamaanisha kuokolewa kwa mauti ya milele.

  10. Kufanyika upya ni tendo la kawaida kuhusu vile mwanadamu aliumbwa.

  11. Nguvu za kufanyika upya zinaweza kubadilishwa kuwa kiumbe kipya.

  12. Kufanyika kuwa jamii ya Mungu kumetiwa muhuri na roho mtakatifu.

  13. Tumetakasika kwa damu ya Yesu.

  14. Adabu ni ishara nzuri ya upendo wa baba.

  15. Kutakaswa inamaanisha kutengwa na dhambi za dunia.

  16. Kuzaliwa upya yamaanisha kuzaliwa kwa roho.

  17. Kila neno katika andiko maandiko limepulizwa na Mungu.

  18. Yesu kristo alikuwa mwakilishi mkuu wa Mungu kwa viumbe vyote.

  19. Moja wapo ya sababu zilizomfanya Yesu kuwa mwili wa kuangamiza kazi za shetani.

  20. Yesu kristo anarudi kuchuka kanisa na kuokoa wenye dhambi.

  21. Kupitia kwa haki tunapata uzima wa milele.

  22. Kanisa ni mwili wa kristo pamoja na washirika katika kila dhehebu.

  23. Yesu analiomba kanisa.

  24. Kanisa ndilo kusanyiko lenye uwezo na bidii zaidi.

  25. Kama mkristo, si muhimu kukutana na wakristo wenzako.

JINA________________________ NAMBA____________________ TAREHE________________


AGANO KATIKA DAMU.

PEANA JIBU SAHIHI

  1. Mungu alitumia damu kuosha dhambi.

  2. Agano katika damu ni makubaliano kati ya watu wawili au sehemu mbili ikiwa imefunikwa na damu.

  3. Agano katika damu ilianza kati ya Mungu na Abrahamu.

  4. Agano lolote katika damu limefunikwa na damu.

  5. Damu ni uhai, maana uhai wa kila mtu umefunikwa na damu.

  6. Katika agano la damu, ni lazima kutimiza hekalu zote nne ili iweze kutenda kazi.

  7. Moja wapo ya sababu za mwanadamu kuingia katika agano la damu ni ulinzi wa ukomavu.

  8. Katika mwanzo 17 ngano kati ya Mungu na Abrahamu ilifunikwa na tohara yake maana damu il.imwagika.

  9. Moja wapo ya sehemu mbili zilizokubaliana yawezakujitokeza na kuweka mwisho katika agano.

  10. Katika agano jipya na la kale roho mtakatifu huja tu kwa watu fulani mashuhuri.

  11. Katika bibilia umwagikaji wa damu unapelekea kifo.

  12. Mungu ndiye chanzo chote cha damu yote na agano, basi hata katika hali ya siri jamaa zetu umwagikaji wa damu ni maandiko.

  13. Mtu mmoja anayevunja agano hatakufa ikiwa ana sababu nzuri.

  14. Ingawa ni Mungu, damu ya yesu ilikuwa ya mwanadamu maana alizaliwa na mwanamke.

  15. Mungu aliamurisha dhabihu ya wanyama katika agano la kale na hii inaendelea katika agano jipya maana Mungu habaliki.

  16. Katika agano jipya, utakatifu haumo hekaluni. Lakini miilini mwetu ni hekalu takatifu la roho mtakatifu.

  17. Siku hizi mhuri au alama yetu ni agano la kuzaliwa upya.

  18. Bibilia inajumulisha agano mbili.

  19. Kwa maana damu ni uhai, inaweza kuchanganywa kwa kikombe na divai na kila mtu anywe maana ni ishara ya agano.

  20. Damu ya wanyama angefunika tu dhambi za wanadamu, lakini damu ya Yesu huziosha.

  21. Agano jipya ni bora maana Yesu alizaliwa kuokoa mwanadamu.

  22. Msalabani Yesu angelilia ushindi kwa sababu alikuwa ameunganisha mwanadamu na Mungu

  23. Mungu hufanya agano nasi kwa sababu agano lake na Abrahamu lilikuwa la muda.

JINA_____________________ NAMBA______________________________TAREHE____________________


USIMAMIZI WA MKRISTO.

PEANA JIBU SAHIHI.

  1. Wakristo ni wasimamizi wa kuaminiwa na mamlaka kutoka kwa Mungu.

  2. Msimamizi mwema hupewa majukumu mengi.

  3. Msimamizi anawajibika kwake na wengine na Mungu.

  4. Uhai wetu ni wa bwana, kwa hivyo sisi ni waangalizi wa maisha yetu.

  5. Umiliki au bwana mkuu huangalia mahitaji ya mtumishi au msimamizi wake.

  6. Inatupasa kutumia wakati wetu kwa hekima tukihubiri injili maana Yesu anaweza kurudi kwa wakati wowote..

  7. Wasimamizi wazuri wako tayari kwa kupeana hesabu yao.

  8. Baadhi ya mapato yetu ni ya Mungu.

  9. Kutoa fungu la kumi ni amri kutoka kwa Mungu.

  10. Jinsi anapotoa zaidi ndivyo vile anavyokuwa na kidogo kulingana na Luka 6:38.

  11. Pesa ndiyo chanzo cha uovu wote.

  12. Kama waamini, vyote ulivyo navyo ni vya Mungu. Sisi ni njia za kupitisha wala si ghala la kuweka.

  13. Ni mapenzi yake Mungu kuwafanikisha watumishi wake.

  14. Katika siku ya hukumu, kazi zetu zote zitajaribiwa kwa moto.

  15. Kuwa mwenye ufanisi inamaanisha kuwa umebarikiwa ya kutosha ili uwe baraka kwa wengine.

  16. Inawezekana kutokwa mwanifu kwa mambo madogo, lakini kuaminika kwa makubwa.

  17. Si kila mwamini katika Kristo anayehitajika kutoa fungu la kumi.

  18. Fungu la kumi lilikuwa swala la kutatanisha katika Wakati wa agano jipya.

  19. Fungu la kumi ni 10% ya mapato yako unayoitumia kwa kusaidia waombaji na jamii masikini.

  20. Kiasi cha matoleo ya kila kulingana na vile muchungaji anavyo mshawisha kutoa.

  21. Mwamini asiye toa fungu la kumi ni mwizi na mnyangang’anyi anaiba kutoka kwa Mungu.

JINA_________________________ NAMBA___________________________ TAREHE______________________


ELIMU YA PEPO.

PEANA JIBU SAHIHI.

  1. Elimu ya pepo ni masomo kuhusu chanzo na jinsi shetani na pepo wake wanavyofanya kazi.

  2. Huduma tatu za shetani ni kuiba, kuuwa na kuharibu.

  3. Shetani huitwa Mungu wa ulimwengu huu.

  4. Kuna ukweli fulani ndani ya shetani.

  5. Shetani hufanya kazi kupitia kwa roho ya pepo na serikali yake.

  6. Shetani anajua mawazo ya kila mmoja wetu.

  7. Yesu anawapa waamini juu ya shetani.

  8. Kwa sababu ya kutojali kwa baadhi ya waamini shetani huwapata nafasi kwao.

  9. Mkristo aliyezaliwa mara ya pili hawezi kugandamizwa na shetani.

  10. Shetani alikuwa mbinguni kama lusifa kabla ya kutenda dhambi na kuweza kutubu, Mungu atamsamehea na kumkubali mbinguni tena.

  11. Adui mkuu wa mwamini ni shetani.

  12. Kusimama wima dhidi ya shetani yatupasa kuvalia silaha zote za Mungu.

  13. Mamlaka dhidi ya shetani ni katika jina la Yesu.

  14. Neno la Mungu sio silaha yenye nguvu katika vita vya kiroho.

  15. kuita tena roho za waliokufa mwishowe kuwekesha mtu katika siri.

  16. Uongo ni njia ya shetani.

  17. Katika sila za kiroho za Mungu, imani imefananishwa na kofia.

  18. Mwamini amepewa mamlaka juu ya kila nguvu shetani.

  19. Shetani anaweza kujitokeza kama malaika wa nuru.

  20. Shetani huitwa mshtaki wa wateule.

  21. Shetani na jeshi lake huzaa na wanadamu na kuwa na watoto wa kipepo.

  22. Kupagawa na pepo ni kumanisha kuwa chini ya uongozi wake.

  23. Ili kutambua nguvu za shetani, mkristo lazima awe amejiandaa kiroho.

  24. Kumiliki mfu ni hatua ya mwisho kwa shetani ili kuharibu huyo mtu.

JINA_____________________ NAMBA______________________________________ TAREHE____________________________


MWANAFUNZI (1)

PEANA JIBU SAHIHI.

  1. Mwanafunzi ni yule aliye na nidhamu ya kumfuata Yesu.

  2. Mwanafunzi huwacha vyote kumfuata Yesu.

  3. Lengo kuu la kuwa na wanafunzi ni kuendeleza ufalme wa Mungu.

  4. Tamaa ya mwili huzuia mtiririko wa roho katika maisha ya mwanafunzi.

  5. Mwanafunzi mwema lazima awe kama bwana wake.

  6. Kuendelea katika neno la Mungu inamaanisha kuwa mwanafunzi wa yesu halisi.

  7. Mwanafunzi ni yule anayempenda Bwana kwa moyo wake wote, nafsi na mwili.

  8. Hali ya kujikana ni hatua nzuri ya kuwa mwanafunzi mwema.

  9. Yesu aliishi maisha ya kujikana.

  10. Yesu hakuwahi kujaribiwa kwa sababu yeye ni Mungu.

  11. Maisha ya mwanafunzi ni maisha yakutumika na kujitoa dhabihu.

  12. Kupenda kusifiwa na mwanadamu ni tabia nzuri na ya kweli kwa mwanafunzi.

  13. Mungu anaangalia mwanafunzi kuendeleza ufalme.

  14. Kujisumbua na mambo ya ulimwengu huu husonga neno la Mungu ndani yetu na kutufanya tusiweze kuzaa matunda.

  15. Hakuna kinacho hitajika kwake kuwa mwanafunzi. Mungu tayari amefanya yote.

  16. Kujisumbua na mambo ya ulimwengu itakuzuia kutembea na Mungu kama mwanafunzi.

  17. Mwanafunzi halisi hawezi kutingizwa rahisi na shida za maisha.

  18. Mwanafunzi wa kweli ni yule anayeweza kufunga siku 40.

  19. Lazima ufe mwili ili uzae matunda.

  20. Kama Yesu alivyokataliwa,kila mwanafunzi lazima akataliwe.

  21. Unaweza kujitolea kwa kila tamaa ya mwili na bado uwe mwanafunzi mwema.

  22. Mwanafunzi siyo mzembe, bali mtu wa juhudi kwa mambo yote.

  23. Kushinda ulimwengu, mwili na shetani ni matokeo ya mwanafunzi mwema.

  24. Mwanafunzi huwa na kiasi katika sehemu yote ya maisha yake ya kiroho na ya kawaida.

  25. Mimi ni mwanafunzi aliye na nidhamu ya kumfuata Yesu.

JINA________________________________ NAMBA________________________ TAREHE_______________________


UINJILISTI.

PEANA JIBU SAHIHI.

  1. Uinjilisti ni kushiriki injili na watu, kuwaondoa katika ufalme wa giza na kuwaleta katika ufalme wa nuru.

  2. Uinjilisti ni kazi ya muinjilisti.

  3. Injili inahusu yale Yesu alisema na siyo yale alitenda.

  4. Hatuhitaji kuwa na maoni ndiposa tufanye uinjilisti.

  5. Haijalishi kama ni kazi yako, lazima ionekane kama nafasi yakuhubiri injili na mtindo wa maisha yako pia lazima ya hubiri injili.

  6. Mungu ni mwema sana. Kiasi kwamba haturusu jamii zetu kwenda jehanamu, kwa sababu hatuna wakati wa kuwahubiria injili.

  7. Mungu ametuita katika tume kuu kuhubiri na kufundisha. Lakini ni kazi ya roho mtakatifu kufanya kazi katika mioyo yetu.

  8. Kama mbalozi wa Yesu lazima tuilinde injili yake.

  9. Katika uinjilisti unahitajika kujuwa wakati wa kuongea na kuwa kimya.

  10. Kila Mkristo aliyezaliwa upya anaoushuhuda.

  11. Watu hawawezi kumwita Mungu. Kabla hawajasikia kumhusu na hawatasikia kumhusu pasipokuwa na mtu wakuwahubiria.

  12. Tunakuwa nje kwa uinjilisti. Hatustahili kuomba wagonjwa maana hiyo inaweza kufanyika siku nyingine.

  13. Kama wakristo hatutahukumiwa kama tutaenda mbinguni au jehanamu. Lakini kulingana navile tumetumiwa talanta zetu.

  14. Wale tumewafikia kwa injili lazima watufate maana sisi ni wazazi wao wa kiroho.

  15. Usimpe au kumonyesha mwenye dhambi dini, mpe uwezo wa Mungu.

  16. Watu wengine hawahitaji kuhubiriwa maana si wabaya sana.

  17. Kwenda nje kwa kueneza injili ni amri kutoka kwa bwana na sio tu wazo.

  18. Kazi ya kanisa ni kufanya mwanafunzi.

  19. Ni baadhi tu ya watu kadha wanahitaji kufikiwa na injili.

  20. Injili ni hali sio kuamini.

  21. Ni wainjilisti pekee wanaostahili kuwa na huruma kwa mioyo iliyopotea.

  22. Kufuatilia si muhimu kwa uinjilisti. Mungu mwenyewe anayefuatilia.

  23. Upendo ndiyo silaha yako ya kuvuna mioyo.

JINA________________NAMBA_______________TAREHE________________


ROHO MTAKATIFU

PEANA JIBU SAHIHI

  1. .Mungu alitumia Roho Mtakatifu kuumba mbingu na nchi.

  2. Roho Mtakatifu ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza katika utatu kuonekana duniani.

  3. Baba ,Mwana na Roho Mtakatifu wanatoshana katika utendaji wa kazi kwa maumbile.

  4. Ubatizo wa Roho Mtakatifu unafungua milango kwa karama za Roho.

  5. Roho ni nguvu kuu zinazotenda kazi maishani mwa mkristo.

  6. Bila Roho mtakatifu hatuwezi kuishi maisha matakatifu na tutapigana na dhambi kila wakati.

  7. Katika Mathayo 3:10 tunasoma kwamba Yesu alibatizwa kwa Roho.

  8. Hauwezi kumwabudu Mungu bila Roho.

  9. Katika kanisa la kwanza watu walijazwa na Roho kabla ya kuzaliwa upya.

  10. Ni baadhi tu ya wakristo kadha wanaoweza kubatizwa kwa Roho Mtakatifu.

  11. Kwa wakristo waliozaliwa upya na kujua neno la Mungu,hatuitaji Roho kuambia ulimwengu ya kwamba wanamuhitaji Yesu.

  12. Yesu hakuongea kwa lugha maana hakuona umuhimu wake kwetu.

  13. Roho Mtakakatifu alikuja duniani kwa kusudi kuwasaidia wakristo kukamilisha mpango wa Mungu.

  14. Roho mtakatifu nikipawa naye Mungu hupeana kwa anayemtaka.

  15. Roho Mtakatifu ndiye mudhamini wa maisha yetu ya milele.

  16. Roho Mtakatifu ni mfariji.

  17. Katika hali ya kuzaliwa upya ni Roho Mtakatifu anayetushawishi kuhusu dhambi.

  18. Mungu anataka tufunge,tuombena kuitisha ili tupokee Roho Mtakatifu.

  19. Wakati wa kunyakuliwa,tutachukuliwa tu hewani tukiwa na alama ya Roho Mtakatifu.

  20. Kwa maana Roho Mtakatifu anaishi ndani mwetu ,tunaweza kujichagulia wenyewe hali ya kazi yetu,tukijua kwamba atatuelekesha.

  21. Mkristo lazima angojee miaka mingi kabla ya kubatizwa kwa Roho.

  22. Roho Mtakatifu hufananisha kwetu kama chemi chemi ya maji.

  23. Maana yeye ni Mungu Roho Mtakatifu hulazimisha watu kumtii.

  24. Njiwa aliyemshukia Yesu baada ya ubatizo alikuwa wa Roho Mtakatifu.

  25. Kama wana wa Mungu tunaweza kuja kwa Baba bila Roho Mtakatifu.

Jina___________________Namba__________________Tarehe________________



UTIIFU.

PEANA JIBU SAHIHI.

  1. Utiifu ni swala la kujitolea kwa maisha ya kila mwamini katika kristo.

  2. Utiifu lazima uambatane na unyenyekevu.

  3. Utiifu ni kitendo cha hali nzuri kutoka ndani ya moyo.

  4. Utiifu ni wazo kutoka kwa Mungu ju ya mwamini .

  5. Kufanya kitu chema kwa wakati usiofaa au kinyume ni kutotii.

  6. Utiifu ni jawabu la wema na hisia safi ya moyo.

  7. Utiifu ulikuwa mtindo wa maisha yake yesu kristo .

  8. Kupenda utiifu kunamuhifadhi mmoja kwa dhambi .

  9. Kwa maoni Mungu anatupenda,hata tukiasi hatatunyima baraka.

  10. Utiifu wa muda si utiifu.

  11. Utiifu unasomwa.

  12. Mungu anachukia uasi na hii ndio iliokuwa sababu ya ushirika wake na mwanadamu kuvunjika shambani Edeni.

  13. Kutenda dhambi makusudi na kutubu ni sawa na kutii.

  14. Tunatii Mungu ili tutuzwe.

  15. Dhambi ilikuja kwa njia ya kutotii na haki ilikuja kwa njia ya kutii.

  16. Kaini na Abeli Wote walimtii Mungu kwa kumtolea dhabihu.

  17. Kusikiliza neno yatosha na muhimu kwa mfanisi wa mkristo.

  18. Bibilia ni kitabu cha utiifu.

  19. Kutii ni bora kuliko dhabihu.

  20. Bila roho wa Mungu ni vigumu kutembea katika utiifu.

  21. Mtu aliye na hofu yeye hatii neno la Mungu.

  22. Kutii kunahitaji kujitokeza kwa moyo wote.

  23. Kukaa kufuata mwongozo wa roho ni kukata kutii Mungu.

  24. Kutii ndio njia pekee ya utakatifu wa maisha.

  25. Yesu alijifundisha utiifu kwa mambo mengi yaliyompata.

JINA__________________ NAMBA______________________ TAREHE.


MAOMBI 1.

PEANA JIBU SAHIHI.

  1. Maombi ni zoezi la ubatili, hofu na kutoamini.

  2. Maombi ni kurudisha neno la Mungu kwake na kumkumbusha juu ya neno hilo.

  3. Maombi ni ya Muhimu kwa maisha ya mkristo ambapo yaweza kulinganishwa na hali ya kupumua kwa mwanadamu.

  4. Maombiya mtu mwema mwenye haki ina nguvu ya kutenda mengi makuu.

  5. Kuomba ndio njia ya pekee tunayounganisha nguvu zetu na Mungu.

  6. Mungu hufanya mambo hapa duniani na katika maisha ya mkristo anapoomba au asipoomba.

  7. Mungu huruhusu mambo hali maishani mwetu ili kuona umbali gani tunaweza kumuani.

  8. Mungu husika na kujibu maombi yetu hata wakati tumejawa na shaka moyoni.

  9. Mungu husikia yale tunayoyasoma, lakini haongei kiasi gani tumeweka tumaini yetu kwake.

  10. Mambo fulani ambayo hayakutakikana kubadilika, yanaweza kubalika ikiwa tutauliza kwa imani.

  11. Yote tunayoyauliza tutapata hata tusipodumu ndani mwa Yesu kristo.

  12. Pasipo imani maombi yetu ni bure.

  13. Tunayapokea tunayoyaulizakwa imani.

  14. Ni mapenzi ya Mungu tuombe na mwishowe tupate.

  15. Kama wa kristo, yatupasa tu kuwaombea wenzetu katika kristo peke yake.

  16. Kunazo njia tofauti za Maombi.

  17. Lazima tuwe na hofu tunapoomba maana ni swala la kuimarisha.

  18. Tunapoomba kwa roho tunasema mambo ya siri kwa Mungu.

  19. Bibilia inatuuliza tu kuomba wakati tumahitaji ya kuwakilisha kwa Mungu.

  20. Ombi lililofanywa na utiifu kwake Mungu linapopenya na kumwendea moja kwa moja.

  21. Tunajua ya kuwa ombi letu linajibiwa tunapoona dhihirisho kama tulivyokusudia.

  22. Kwa maana Mungu ni baba yetu tunahitaji kumshukuru kwa yote.

  23. Ili maombi yetu kujibiwa lazima tuombe kulingana na mapenzi yake.

  24. Kijitabu cha maombi ni cha muhimu kwa aliyeokoka juzi maana hajui jinsi ya kuomba

  25. Katika wathesolonike 5:17 inatuuliza kuomba bila kukoma.

JINA________________________ NAMBA_________________________ TAREHE______________________


Download 1,15 Mb.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   13




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©hozir.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling

kiriting | ro'yxatdan o'tish
    Bosh sahifa
юртда тантана
Боғда битган
Бугун юртда
Эшитганлар жилманглар
Эшитмадим деманглар
битган бодомлар
Yangiariq tumani
qitish marakazi
Raqamli texnologiyalar
ilishida muhokamadan
tasdiqqa tavsiya
tavsiya etilgan
iqtisodiyot kafedrasi
steiermarkischen landesregierung
asarlaringizni yuboring
o'zingizning asarlaringizni
Iltimos faqat
faqat o'zingizning
steierm rkischen
landesregierung fachabteilung
rkischen landesregierung
hamshira loyihasi
loyihasi mavsum
faolyatining oqibatlari
asosiy adabiyotlar
fakulteti ahborot
ahborot havfsizligi
havfsizligi kafedrasi
fanidan bo’yicha
fakulteti iqtisodiyot
boshqaruv fakulteti
chiqarishda boshqaruv
ishlab chiqarishda
iqtisodiyot fakultet
multiservis tarmoqlari
fanidan asosiy
Uzbek fanidan
mavzulari potok
asosidagi multiservis
'aliyyil a'ziym
billahil 'aliyyil
illaa billahil
quvvata illaa
falah' deganida
Kompyuter savodxonligi
bo’yicha mustaqil
'alal falah'
Hayya 'alal
'alas soloh
Hayya 'alas
mavsum boyicha


yuklab olish