Mungu mkuu wa mipango


A. Paradiso, calvari na mbinguni vyote vilitangazwa kwa sauti moja “ Utiifu ndio wa kwanza na wa mwisho Mungu wako anahitaji kutoka kwako” (warumi 5:19, wafilipi 2:8-9)



Download 1,15 Mb.
bet13/13
Sana24.06.2017
Hajmi1,15 Mb.
#14917
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   13

A. Paradiso, calvari na mbinguni vyote vilitangazwa kwa sauti moja “ Utiifu ndio wa kwanza na wa mwisho Mungu wako anahitaji kutoka kwako” (warumi 5:19, wafilipi 2:8-9)

B. Watu watiifu katika agano la kale.

1. Noa (mwanzo 6:22, 2:5)

2. Abrahamu (mwanzo 22:16, waebrania 11:7)

3. Musa (Kutoka 19:5)

C. Watu watiifu katika agano jipya.

1. Utiifu wa kristo. (waebrania 10:9, yohana 10:18, warumi 5:19)

a. Katika kristo utiifu huu ulikuwa kanuni ya maisha. (yohana 6:38)

b. Katika kristo utiifu huu ulikuwa furaha. (zab 40:8 yohana 4:34)

c. Katika kristo utiifu huu ulimwongoza kumngojea Mungu wake kwa mapenzi yake.

d. Katika kristo utiifu huu ulitokana na uvumilivu wa ndani.(zab 40:6-8)

e. Katika kristo utiifu huu ulipelekea kifo.( yohana 6:38)

f. Katika kristo utiifu huu wa imani kwa kutenga nguvu na uwezo wa Mungu. (yohana 5:30)

2. Petro. (matendo 5:32, 1 petro 1:2, 14:15, 22)

3. Yale Yakobo alinena kuhusu utiifu ( yakobo 1:22)

4. Yale Yohana alinena kuhusu utiifu (1 yohana 2:3-4)

5. Paulo (warumi 1:5, 16:26)



D. Kutotii kulisisitiza baraka za Mungu kwako.

1. Upendo na msamaha. (mathayo 5:44, mariko 11:25, yohana 13:34)

2. Neno na maombi. (Yoshua 1:8, yohana15:7)

3. Ushahidi/ shuhuda – waambie wengine habari njema ya kristo.

4. Kuhudhuria kanisa. (waebr 10:25)

5. Shukurani na sifa (wafilipi 4:6)

a. Shaka sio shukurani na sifa.(wafilipi 2:14)

b. Kunungunika sio shukurani na sifa.

c. Asi sio shukurani na sifa

d. Kuzungusha sio shukurani na sifa.

6. Imani hufanya kazi kwa upendo. Upendo hauwezi kazi bila utiifu. Unapompenda Mungu na uko katika ukamilifu wa kutii neno lake, basi hakuna chochote kinachoweza kusimama njiani mwako na kuzuia imani yako.

7. Mfano wa Kaini na Abeli (mwanzo 4:1-7)



3. KUJIFUNDISHA SIRI YA UTIIFU WA KWELI(waebr 5:8-9)

A. Utiifu ni wa kujifundisha

B. Shule ya utiifu.

1. Mwalimu ni mkristo na mfano wako.

2. Kitabu ni bibilia (mathayo 4:4-7, luka 24:27) Yesu alikuwa mtu wa neno. Lakini neno bila roho halina nguvu ya kufanya/ leta utiifu.

C. Madhabahu – vewe.
HUDUMA YA WAZI.


    1. UTANGULIZI: MAELEZO KUHUSU HUDUMA YA WAZI.

    2. MWITO WA MUNGU.

A. Jinsi ya kutambua.

1. Kuanza kunatoka kwa Mungu, kuchagua kama kazi zingine.

2. Mzigo wa kuhusika au huruma ya mioyo itakuandama.

3. Unapoendelea kukuwa hautatosheleka kwa kufanya kazi nyingine.

4. Mambo mawili yataonekana ikiwa Mungu amekuita, lakini bado haujakuwa na hakika.

a. Wakati mbaya/ usiofaa.

b. Utata wa faida kwa sababu ya tamaa yako tofauti mawazo yako yanagawanyika.

B. Maanisha kuwa mwito.

1. Lazima uwe na nguvu za kusimama na kushinda mshtaki yote.

2. Lazima uwe na kuendelea kujitayarisha na kusoma.

3. Lazima uwe na maisha ya kuomba na kufunga.



C. Sifa katika huduma.(1 tim 3:1-16)

1. Lazima kupenda na kuelewa watu.

2. Lazima kuwa mtu wa tabia nzuri, kuwa na ushuhuda mzuri ndani na nje ya kanisa lako.

D. Hali katika maisha.

1. Mungu na neno.

2. Jamii na nyumbani

a. Hali za ndoa njema.

b. Hali ya watoto wema.

3. Huduma au kanisa.

4. Kazi.

3. SEHEMU ZA WAZI KATIKA HUDUMA.

A. Usimamizi – Kuangalia mambo na watu .

1. Mipango – Ikiwa nyumba yako iko kwa hali mbaya, hivyo ndivyo ulivyo mwenyewe.(1 tim 3:4)

2. Kupanga na kuweka malengo.

3. Hali ya fedha.

a. Hali kuhusu fedha zako hupelekea hali kuhusu fedha za huduma.

b. Jitunze kukadiri.



B Hali.

1. Hali mbaya.

a. Hasira, ukorofi, kutafuta makosa, wivu, kiburi, kujisifu na kushindana.

2. Hali nzuri.

a. Uvumilivu, kufundishika, huruma, ukarimu, ungwa na motisha.

C. Uhusiano.

1. Mara nyngi ufanisi katika huduma yako itategemea na owezo wa kudumisha uhusiano mwema.

2. Hitaji mbili kuu za uwezo katika maisha yako na huduma.

a. Haja ya kupokea upendo, idhinisho, usikivu na kupendana.

b. Haja ya kupeana upendo, idhinisho, usikivu na kupendana.

3. Uhusiano wa mhudumu kwa mhuduma.

a. Linda uhusiano mwema na wale unaowaheshimu.

b. Wapende na kuwatenda wema wale wanaokudharau.

4. Uhusiano wa kibiashara.

a. Kuwa na heshima na wale katika eneo lako, habari njema.(matendo6:3)

D. Kuonekana kwako.

1. Watu huonekana jinsi walivyo kabla wasikie tulivyo.

a. Unapata tu nafasi moja ya kuvutia kuzuri.

b. Tunaonyesha hisia zetu kupitia mavazi tunayovaa. Tunaonyesha elimu yetu katika yetu ya kuonekana.

2. Usafi wetu.

a. Uwe msafi na nadhifu.

b. Uwe na pumzi/ harufu nzuri.

4. MAJARIBU.

A. Fikira – majaribu huanzia kwa akili.

1. Kile unachotafakaria sana hupelekea maisha yako.

2. Lazima uzuie/ uondoe/ ushinde majaribu katika mwanzo wako.

3. Tambua kwamba kazi ya shetani ni kuharibu wahubiri na huduma.



B. Bonde – jaribu la kutoka/ acha.

1. Nini kinachomfanya mhudumu kutaka kuacha huduma?

a. Kutafuta ubaya – labda kwa haki au kutokuwa na haki.

b. Kutokuwa na kuendelea vizuri katika huduma.

c. Kufananisha huduma yake na ya mwingine inayoonekana kuwa na ufanisi.

2. La kufanya wakati unapokuwa katika bonde.



  1. Tambu kwamba hisia zaka ni kawaida kibinadamu na ni za muda.

  2. Kuwa na mtazamo tena na kuzingatia nafasi na hali katika maisha yako.

  3. Zidisha kuwasha moto kwa mazungumzo yasiyofaa na wengine.

  4. Saidia aliyekaribu na wewe anaye hitaji msaada.

  5. Kwa waminifu kabiliana na chanzo. Watu si rahisi kukasirika na kuhuzunika kwa sababu wanayomafikiriyo.

  6. Tafuta ushauri kwa mhuduma aliye na ujuzi na heshima, meza kiburi chako.

  7. Anzisha mabadiliko katika mazingara yako kama kusoma kitabu kipya na kutembelea maneno mapya.

  8. Kumbuka kunashida au kupoteza kati ya masikio yako.

  1. KUZINI.

  1. Kutokuwa safi kunalemaza, haribu na mwishowe kuhukumiwa na Mungu.

  2. Kuna viwango au aina tano ya wahudumu kufuatana na kujaribiwa katika maisha ya ufanisi.

  1. Wahuduma ambao sio rahisi, hata kama wanahisia kali za kuwavutia katika uhusiano wa mapenzi.

  2. Wahudumu wanaohisi kujaribiwa lakini wanang’ang’ana mpaka washinde.

  3. Wale wanaong’ang’ana lakini wanashindwa kabisa.

  4. Wale ambao hawang’ang’ani kwa kupendana upumbavu wanatumikia vibaya rehema za Mungu.

  5. Waale wanao heshimu bkuishi kwa utakatifu lakini kisiri wanaogopa uwezekano wa kujitolea kwa kujaribiwa kwa wakati wa udanganyifu.

  1. Maoni ya kibinafsi kwa kushinda majaribio.

  1. Zingatia kuishi maisha ya utawala, safi na matakatifu mbele ya Mungu na mwanadamu.

  2. Jisalishe kwa maisha yako ya nyumbani mwako usione au kuingilia shetani kupanda mbegu ya usinifu kwako.

  3. Zuia ushauri wa mtu wa umbo tofauti bila ya uwepo wa mke wako au mtu mwingine.

  4. Jaza kinywa chako kwa sifa na maabudu kila wakati

  5. Lisha moyo wako kila siku kwa neno la Mungu.

  1. Kudanganya, kuzidisha kuongea maneno uwadilifu ni nguvu zisizoonekana kwa Mungu na mwanadamu. Ni ufunguo wa funguo zote za kujenga ufanisi wa kudumu

  1. KUGONGANA/ TATANISHA.

  1. Mhudumu na mtindo wa ulimwengu: kumbuka kwamba wewe sio mwanzilishi wa dhambilakini mwenye dhambi.

  2. Mhuduma na mhudumu.

  1. Kumbuka ni upumbavu kupoteza na kuhaharibu nguvu zako kupigana na wale wale wa nyumba yako badala ya adui.

  2. Usifanye visababu bila msingi.

  3. Tazama maneno/ matamshi yako.

  1. Mhudumu wa washirika.

  2. Mhudumu wa viongozi.

  1. UFANISI KATIKA HUDUMA.

  1. Sababu ya wahuduma wengine kushindwa.

  1. Kutojali katika uadilifu.

  2. Mahubiri yasiyofaa – kuingilia ubishi katika kanuni ya mafundisho.

  3. Ndoa nje ya mapenzi ya Mungu.

  4. Kukosa kuajibika na kumanisha.

  5. Kutumia vibaya fedha.

  6. Kukosa kuwa na muda wa kusoma na kujiendeleza.

  7. Kutokuwa na washauri wa kiroho au washauri wabaya.

  8. Kujiachilia kushuka kwa roho maishani mwetu.

  9. Kuingi katika huduma kabla ya kuwa tayari.

  10. Kiburi – Hatari ya ufanisi wa haraka.

  11. Kujenga jina/ huduma/ dini/ badala ya ufalme wa Mungu.

B. Hatua saba abazo ni siri ya huduma inayofanikiwa.

1. Elewa mwito wako.

2. Tafuta ushauri/ usidizi kwa walio na ujuzi.

3. Endeleza tabia za ufanisi wa kila siku itakayo kupeleka kwenye tamati yako.

4. Soma mambo/ vitabu vipya – weka masomo yako kuwa mapya.

5. Tenga wakati wa maombi ya kila siku.

6. Kaa katika hali nzuri ya afya na upumzike vya kutosha.

7. Kaa kwa kufundishika kubali ushauri na kurekebishwa lazima uwe tayari kubadilika kukiwa na haja.



MAOMBI.

  1. UMUHIMU WA MAOMBI.

  2. KILE SI MAOMBI

  1. Maombi sio zoezi la utupu, mshangao au kutoamini.

  1. Mchanganyo wa akili 8 husema labda kuna mabadiliko kidogo kulingana na maombi yangu licha ya kwamba mbingu iko mbali hata makao yake Mungu labda ombi langu litamgusa Mungu kwa upande wake mzuri siku hiyo.

  2. Kama unaomba tu kwa hali ya utupu na mshangao, sitisha na utubu na uanze tu kumsimu Mungu. Hii itasaidia maisha yako ya maombi na hali yako.

  1. Maombi sio kama mchezo wa kuigiza kwa kufurahisha Mungu au watu.

  2. Maombi sio hali ya kujirudia rudia kwa maneno kwa kukosa akili.

3. MAOMBI NI:

a. Maombi ni kuuliza. (mathayo 7:7-8)

b. Maombi ni kunena neno la Mungu ukimrudishia na kumkumbusha kuhusu hilo neno.

c. Maombi ni kuendelea usiwahi kusema’ kufa’ endelea kuuliza.

d. Maombi ni ushirika na bwana kama ilivyi kushukuru, kusifu na kuabudu.

4. YALE YESU ALISEMA KUHUSU MAOMBI.

a. Katika mathayo 5:44, 6:5-16, 7:1-11,

b. Katika mariko 11:19-26

c. Katika luka 10:2, 11:1-13, 18:1-8

d. Katika yohana 14:10-14, 15:7-8

5. YALE PAULO ALISEMA KUHUSU MAOMBI.

a. Katika warumi 8:26, 10:1

b. Katika 1 wakor 14:2, 13:12

c. Katika waef 6:18-20

d. Katika wafilipi 4:6-8

e. Katika 1 wathesol 5:16-18

f. Katika 1 tim 2:1-8, 4:5

6. YALE WENGINE WALISEMA KUHUSU MAOMBI.

a. Yohana 5:14-15

b. Yakobo 5:13-18

c. 1 Petro 3:12, 4:2, 5:7



7. MAOMBI KATIKA AGANO JIPYA.

a. Warumi 1:8-10

b. 1 wakor 1:4-5

c. 2 wakor 13:7

d, Waef 1:16-23

e. Wakol 1:9-12

f. Wafilipi 1:3, 9:11

h. Filemoni 4

i. 3 yohana 2
HAKI.


    1. MARA KWA MARA KANISA LINAKOSA KUELEWA HAKI.

A. Hukumu na lawama vimehubiriwa badala ya haki.

1. Watu wamefanywa kujihisi kwamba haki inapatikana kwa kufanya juhudi au budii.

2. Watu wamefanywa kuelewa ya kwamba mkombozi na wokovu wetu wamefanywa mpaka siku ya kufa.

B. Matokeo yamekuwa ni hisia za dhambi.

1. Ufafanuzi kuhusu hisia za dhambi kujihisi kuwa na makosa na kutostahili kwa ajili ya dhambi.

2. Dalili mbili za hisia za dhambi:

a. Unapoteza hisia za Mungu na kubaki na zako.

b. Unakuwa mtu wa asili kuliko kuwa wa kiroho.

C. Kuelezea haki kwa njia sawa. (2 wakor 5:21)

1. Maelezo.

a. Uwezo wa kusimama katika uwepo wa Mungu baba pasipo kuw ana hisia ya makosa au kotostahili.

b. Kutakaswa – Ni kama haujawahi kutenda dhambi: umetangazwa haki:tendo la kumtangaza mwanadamu huru kutoka kwa makosa na kufanya wakubaliane mbele za Mungu.

c. Tumeumbika kuwa haki na sio tunakuwa. (2 wakor 5:21)

d. Haki sio kitu ni nafasi.

e. Haki hupokelewa kwa imani.

f. Haki na karama/ kipawa cha bure.

D. Jinsi ya kufanyika haki. (warumi 10:10)

2. UREJESHO WA HAKI.

Yesu, Adamu wa mwisho alirejesha kwetu yote Adamu wa kwanza alipoteza.


    1. Matokeo ya Haki yake Adamu kabla ya kuanguka. (mwanzo1:3-28)

  1. Alikuwa na uhusiano mwema na Mungu.

  2. Alikuwa na utawala juu ya vitu vyote ulimwenguni.

  3. Alipata kila kitu alichokihitaji.

  4. Alisikia sauti ya Mungu na ushirika wake.

  5. Hakuwa na hisia za kuona hafai au makosa .

  6. Hakujuwa uoga au kushindwa .

  7. Alikuwa na amani.

  8. Alikuwa na mamlaka na ujasiri.

    1. Matokeo ya dhambi za adamu baada ya kuanguka(mwanzo 3:16-19)

  1. Alipoteza ushirika wake na Mungu.

  2. Alipoteza mamalka.

  3. Akaanza kutambua woga, makosa na kushindwa.

  4. Dhambi zikaanza kutawala na magonjwa.

  5. Shetani akawa Mungu wa ulimwengu huu.

  6. Dhambi ikapitishwa kwa mwanadamu wote.

  7. Kuona kifo, kutenganishwa na Mungu kwa maana dhambi ndiye mama wa mati.

    1. Kupitia kwa imani karama ya haki, Yesu alirejesha kila kitu Adamu alikuwa amepoteza.

  1. Yesu alikuwa nuru iliyoshinda giza. (yohana1:5)

  1. Hali ya ulimerngu wakati Yesu alipokuja.(mathayo4:16)

  2. Hali ya wale bila Yesu. (waefeso 2:1-2)

  3. Yesu alitangaza njia mpya ya maisha ambayo shetani hangeliweza kumiliki.

  1. Yesu hutufanya mmoja naye.

  2. Haki hurejesha utulivu, pumziko na amani kwa roho zetu.(iasya32:17-18, 54:13-14, warumi 5:1)

  1. Wasio na halki watende dhambi hawana amani.

  2. Amani ya Mungu siyo kama amani ya ulimwengu. (yohana14:27)

  3. Jinsi ya kuweka amani yako.(wafilipi4:6-8)

  1. Haki hufanya kupoteza hisia ya kuona kwamba hutauna

  1. Kutokuwa na fedha.

  2. Kutokuwa na uwezo.

  3. Kkutopendwa.

  1. Aina mbili za haki (wafilipi 3:9)

A. Kufananisha haki ya aganao la kale na agano jipya.

1. Wana wengi wa bidii nyingi hawakubali msamaha na wanatembea kama watuma na si wana. Kumbuka dhambi hukuwacha bila nguvu mpaka ukiri

2. Ni wana tu wanaoweza kusimama kinyume na umasikini, ugonjwa na dhambi.

3. Ni wana tu wanaofurahia ahadi za Mungu.



4. KUTEMBEA KATIKA HAKI YAKO.

A. KUWA MWANGALIFU KWA UDANGANYIFU WA SHETANI. (yohana 10:10, 2 wakor 2:11, ufunuo 12:19)

1. Shetani alimfanya Adamu kutozingitia ukweli wake Mungu.

a. Mungu allimpa Adamu mamlaka ya kutunza na kuchunga bustani na kujaza ulimwengu.

b. Mungu amekupa mamlaka (mariko 16:15, luka 10:19)

c. Jinsi alivyo ndivyo sisi tulivyo katika ulimwengu huu.(1 yohana 4:17)

d. Mwamini anaitwa kiristo.


2. Shetani hukudanganya tuu kwa:

a. Kukufanya uamini kitu kisicho cha kweli kuwa cha kweli.

b. Kukufanya usitende kwa yale unayayojua.(mathayo 7:24-27)

B. Jinsi ya kutembea katika haki.

1. Tambua kwamba wakati unapozaliwa tena upya uko katika msimamo sawa na Mungu.

2. Lakini sasa lazima ufanye kitu kwa mwili wako nakwa ajili ya akili yako. Kufanya upya akili na mawazo ni wazo la hitaji kuu.

3. Unaweza kuwa haki na kujua lakini usitumie au kuweka haki yako kwa hadithi ya mwana mpotevu. Hakutenda kwa kile kilikuwa chake.

4. Haukuwi katika haki lakini unakuwa katika maarifa na ufunuo wa haki yako.

5. MATUNDA YA HAKI.

A. Sehemu ya kuonyesha au kutenda haki ni katika maisha yako ya maombi.(yakobo 5:16-18)

B. Matunda ya haki.

2 Wakorintho 7:10 Sio tu ianjumulisha haki yako na maongozo au mtindo wa maisha lakini kufanya kazi ya Yesu. (Yohana 14:12) Mtu anayejua haki yake na asiweze au kuitumia ni kama taji aliye na mamilioni za dola katika benki yake lakini hatumikii uwezo huo au raslimali hii kwa kusaidia maskini na watu wanaokufa nchi yake.



6. JINSI MUNGU ALITUFANYA KUWA HAKI.

A. Kile kilifanyika msalabani.

1. Alishinda dhambi aliporuhusu dhambi kumshinda.(2 wakor 5-12)

2. Alishinda kifo aliporuhusu kifo kumshinda.

3. Alishinda maradhi alipruhusu maradhi kumshinda.

4. Aliomshinda shetani alipomruhusu shetani kumshinda.

B. Tulifanya moja na kristo katika kifo chake. Kuzikwa na kufufuka.

1. wakati Yesu alimshinda shetani na kumnyang’anya uwezo wake (wakolosai 2:15) Katika akili ya baba ilikuwa kama umeifanya.

a. Wakati kristo alikufa ulikufa pamoja naye.(wakolosai 2:20)

b. Wakati kristo alifufuka ulifufuka pamoja naye.(waefeso 2:5-6, wakolosai 2:13)

2. Wewe ni bwana wa shetani kama tu vile Yesu alipofufuka kutoka kwa wafu.

a. Shetani anaogopa haki kuliko vitu vingine vyote.

b. Kuwa mtu wa furaha na kujitia moyo, maisha yako ya uwoga yamefika mwisho.
KUELEWA MAMLAKA.

Lakini vitu vyote vitakapowekwa chini ya utawala wa kristo ndipo napo mwana atakapojiweka chini ya Mungu aliyeweka vitu chini ya utawala wake ili Mungu atawale chini yake.



      1. KUTII MAMLAKA NI MUHIMU KWA UFANISI WA MAISHA YA MKRISTO.

      2. Mamlaka yaliyojuu sana ni Mungu baba, Mungu mwana na Mungu roho mtakatifu. Na neno lake.

  1. Haya ni mamlaka ya moja kwa moja katika maisha yako.

  2. Mamlaka isiyo ya Moja kwa moja au kugawa watu na vyeo/ viwango.

    1. Kuwasi mamlaka ya Mungu moja kwa moja au kwa njia nyingine.

Ni uwasi kuwa moja kwa moja neno la Mungu mwenyewwe.

      1. Adamu na Hawa.(mwanzo 2:17, 3:19)

      2. Lusiferi. (isaya14:12-15)

      3. Kama matokeo ya uwasi hawa wote walipoteza mamlaka yao na vyeo au viwango.

      4. Sauli ( 1 samweli 18:1-23) kuasi ni kama dhmbi ya uchawi.

C. Mamlaka huleta jukumu na kuwajibika.

1. Hali ya kupeana au kuachilia mamlaka (kuhukumu na kuwajibika.) ina julikana kama vitabu vya mamlaka.

2. Kuna viwango vitatu vya mamlaka.

a. Mamlaka yoteKuwa na uwezo wa kuchukua hatua pasipokumalizika aliye juu yako.

b. Mamlaka ya kiasi - Kuweza kuchukua hatua kama unavyoana vyema lakini baadaye hukhakikisha mkubwa anajua.

c. Bila mamlaka Hakuna kuchukua hatua kwanza mpaka ujue kutoka kwa mkubwa.

2. MAMALAKA YANAYOANZISHWA NA MUNGU. MOJA KWA MOJA.

A. Mamlaka yalianzishwa na Mungu kaktika neno (warumi 13: 1, 1petro 2:13-14.)

1. Sheria.

2. Serikali/ utawala.

B. Mamlaka yaliyoanzishwa na Mungu.

1. Mume ndiye mamlaka kuu katika jamii.(mwanzo 3:16, waefeso 5:23)

a. Mume yampasa kuacha baba na mama kushughulikia jamii yake mpya.

b. Abrahamu na Lutu walitengana kwa sababu ya msukumo na shida zilizoletwa na watu wa jamaa/ ukoo.

c. Yampasa Mume kumpenda mke kama vile Yesu alvyopenda kanisa.

2. Wake kutii waume zao (1 petro 3:1)

3. Watoto kutii na kuheshimu wazazi wao. (waef 6:1-3)

a. Wazazi wanalojukumu la kuwafundisha na kuwalea watoto wao.(mwanzo 18:19, mithali 22:6)

b. Lazima tuadhibu watoto wetu tunapowafundisha.

C. Mamlaka yaliyoanzishwa na Mungu kanisa (waef 1:22-23)

1. Afisi au karama za huduma.(waefeso 4:11)

2. Mamlaka yalioyomo ndani ya kanisa iko chini ya uongozi wa mchungaji.(matendo 20:25)

3. Maaskofu, wadogo wa wazee wanachaguliwa na mchungaji au mtume (matendo 4:23, tito1:5)

4. Shemasi wanachaguliwa na washirika (matendo 6:5-6)

5. Mahitaji na hali ya kuhitimu kwa wazee na shemasi (1 tim 3)



D. Mamlaka yaliyowekwa na Mungu kazini. Mwajiri ( watumishi na bwana wao) waefeso 6:5-7, 1 tim 6:11, tito 2:9-10.

E. Mamlaka yaliyo weka na Mungu katika maisha yako. Hisia au roho(matendo 24:15, 1 tim 1:18-19.

1. Kuharibu hisia zako kwa kupenda au makusudi kutakausha na kufanya kuwa vigumu. (1 tim 4:1-2)

2. Roho ya upole na nyororo huleta hali au hisia nzuri. Roho ya upole na nyakati huletwa na kuendelezwa kwa kutenda kwa wepesi au haraka juu ya neno la Mungu. Kuachilia kwa mamlaka kuomba katika roho na papo hapo kutii sauti ya Mungu kwa hisia zako.

3. Hisia zilizo kujia huanza kwa mawazo yako.(2 wakor 10:5)



3. MAMLAKA YA KUGAWA.

A. Kazi au jukumu la mwenye kugawa mamlaka: nini na lini unastahili kugawa mamlaka.

1. Wakati mambo yanaendelea kujirudia yenyewe.

2. Uwamuzi mdogo kufanywa kila mara.

3. Mambo yanayochukuwa muda wako ambayo haujahitimu.



C. Jinsi ya kugawa mamlaka.

1. Chagua mtu anayefaa kwa kazi hiyo.

2. Usigawe sana kupita kiasi.( mathayo 24:45-47)

3. Chukua muda wako kwa kujaza kila nafasi

4. Anza mapema kabla shida hazijaanza.

5. Wasiliana na mwenye kumpa mamlaka hayo kwanza.



6. Hakikisha mawasiliano yameeleweka vyema.

C. Haja ya kuwa na mawasiliano.

    1. Eleza haja ya kugawa mamlaka.

    2. Tumia hali hii ya kugawa mamlaka kuwahimiza na kuwatia moyo watenda kazi kufanya zaidi jinsi wanavyoweza.

  1. Itawafanya kujifunza sana.

  2. Kugawa kazi kutaleta kutosheleka sana kazini.

    1. Eleza kazi au jukumu vyema.(mwanzo 6:9-22, yoshua 6:1-5)

    2. Baada ya kupeana mamlaka au kazi, ulinzi ama imeelezeka.

    3. Angalia na kurudia matokeo sio mtindo.

    4. Tafuta pendekezo kutoka kwa waanzilishi wengine kunapotokea shida.

    5. Usiwe mtu wa kutafuta makosa.

    6. Wachukuwe watu kwa njia ya upendo, heshima na adabu.

    7. Usiwe na ubaguzi kwa watu.(waefeso 6:9, 1 tim 5:21)

    8. Kama ni ujira lipa kwa usawa na pasipo kuchelewa.(wakolosai 4:1, 1 tim 5:8)

    1. Kazi na jukumu la mwenyewe kupewa mamlaka unawezaje kuwa mtu wa faida na manufaa kwa mtu wa Mungu aliye chini yake.

      1. Mtumikiye tu kama vile unamtumikia bwana (wakolosai 3:23)

      2. Pata kujuwa watu walio juu yako.

      3. Kaa katika mipango ya uwezo na jukumu lako (1 tim 2:12) Wakati mwili unapoinuka juu ya roho, basi elewa kwamba kuna hali isiyo ya kawaida maishani mwako. Hali hii hufanyika pia wakati unapochukua mamlaka yasiyo yako.

  1. Fanya kile umeulizwa kufanya kuhusu asilimia 99% ya kazi njema inayofanyika.

  2. Ongea na wakubwa wako, hakikisha kwamba unayo mambo au maelezo yote.

      1. Tambua mtiririko wa mamlaka kanisani au katika huduma.

      2. Pata kuamini nao.

      3. Usitoke katika mtindo au hali yao. (matendo 9:5)

      4. Kuwa wakufundisha na kurekebisha.

      5. Usiwe mtu wa kutowa ushauri kwa kila kitu.

Download 1,15 Mb.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   13




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©hozir.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling

kiriting | ro'yxatdan o'tish
    Bosh sahifa
юртда тантана
Боғда битган
Бугун юртда
Эшитганлар жилманглар
Эшитмадим деманглар
битган бодомлар
Yangiariq tumani
qitish marakazi
Raqamli texnologiyalar
ilishida muhokamadan
tasdiqqa tavsiya
tavsiya etilgan
iqtisodiyot kafedrasi
steiermarkischen landesregierung
asarlaringizni yuboring
o'zingizning asarlaringizni
Iltimos faqat
faqat o'zingizning
steierm rkischen
landesregierung fachabteilung
rkischen landesregierung
hamshira loyihasi
loyihasi mavsum
faolyatining oqibatlari
asosiy adabiyotlar
fakulteti ahborot
ahborot havfsizligi
havfsizligi kafedrasi
fanidan bo’yicha
fakulteti iqtisodiyot
boshqaruv fakulteti
chiqarishda boshqaruv
ishlab chiqarishda
iqtisodiyot fakultet
multiservis tarmoqlari
fanidan asosiy
Uzbek fanidan
mavzulari potok
asosidagi multiservis
'aliyyil a'ziym
billahil 'aliyyil
illaa billahil
quvvata illaa
falah' deganida
Kompyuter savodxonligi
bo’yicha mustaqil
'alal falah'
Hayya 'alal
'alas soloh
Hayya 'alas
mavsum boyicha


yuklab olish