INIJIL KULINGANA NA LUKA ILIANDIKA 62 A.D.
-
Shabaa.
-
Yesu kama mwana wa Adamu/ Mokozi.
-
Iliandikiwa wagiriki waliotafuta kuimarisha mwanadamu kiasili, kiakili na kwa mambo yote na zaidi kuona mwanadamu amekamilika. Walipoona kupitia kwa masomo yao hawana uwezo wa kutosha kuokoa mwanadamu, wagiriki, waandishi na wasomi, waliona kuwa tumaini lao la pekee kwa mwokozi ni kuja kwa mwanadamu kwa nguvu za Mungu ilikutimiza haja ya Wagiriki.
B. Mwandishi.
1. Luka alikuwa mshirika wa Paulo mtume. (wakolosai 4:14, 2 tim 4:11, philm 24)
2. Inadhaniwa kuwa Luka alikuwa mgiriki na kuwa daktari yaaminika alikuwa na elimu ya hali ya juu.
-
Mtindo wa mwandiko wa Luka waonyesha alikuwa na mawazo ya juu kuandika tabibu na wasomi, wagiriki, mtindo wake ni wa utunzi au ukariri katika kuendeleza kwa injili, mazungumzo ya Yesu yanasistizwa kama kupingwa kwa matendo yanayosisitizwa katika injiliya luka ilituwa sehemu ambazo zilielekezwa kwa wayahudi.
C. Yaliyomo.
1. Utangulizi(luka 1:1-4)
2. Kuja kwa mtu wa utukufu.(luka 1:5, 4:13)
3. Mwanzo wa huduma yake ya wazi hasa galili.
4. Siku za mwisho pamoja na kusulubiwa. (luka19:29)
5. Safari ya kuelekea Yerusalemi.
6. Kufufuka na kupaa (luka 24:1-53)
5. INJILI KULINGANA NA YOHANA, ILIANDIKWA 80-90 A.D.
A. Shabaa.
1. Yesu ndiye kristo, mwana wa Mungu aliyehai.
2. Inaaminika kwamba kitabu cha Yohana kiliandikwa kwa hali ya kuitikia ombi kutoka kwa kanisa ambalo tayari lilikuwa na vitabu vingi vya injili.
3. Kiliandikwa miaka mingi baada ya vitabu vingine vya injili kuandikwa. Hii iliandikiwa kanisa kwa ujumla vingine vilikuwa injili ya umishonari vikiwa na ukweli wa uenezaji injili kuandikiwa watu wasio wa roho.
B. Mwandishi.
1. Kiliandikwa na yohana ambaye kwa mitume wota alifurahi ushirika wa karibu wa bwana alikuwa mmoja wa watatu.
2. Ni yohana aliye lalia kiti cha bwana wakati wa chakula cha pasaka. Ni yeye wakati mwingine aliyemkimbilia bwana wake alipokuwa akipelekwa kuhukumiwa kwa mitume wote. Ni yeye aliyesimama kando ya msalaba kupokea ujumbe wa bwana akifa.
3. Ushirika ni uhusiano wake na bwana pamoja na maisha yake ya uchungaji na uenezaji injili iliyo ya mambo mengi ya kiroho mafundisho ya msingi kumhusu Mungu.
C. Yalimo.
1. Historia- Utangulizi na neno la utangulizi.
2. Huduma ya Yesu ya wezi.(yohana 1:1-18)alinakili miujiza alizokusudia kuwa ishara kwa wanafunzi wake.
3. Huduma ya Yesu kwa wanafunzi wake
4. Mateso ya yesu na ufunuo.
-
Hotuba- maneno ya mwisho.
D. Dhibitisho kwa kazi ya Yesu.
1. Kubadilisha maji kuwa diva kumwonyesha Yesu kuwa ubora.
2. Uponyaji wa mwana wa shida kumtambua Yesu kama bwana wa umbali na nafasi.
3. Uponyaji wa mtu asiyejiweza katika bikra la Bethisida kumwonyesha yesu kuwa Bwana wa wakati(mtu aliyekuwa mgonjwa kwa miaka 38)
4. Kuwalisha watu 5,000 kumwonya Yesu kuwa Bwana wa wingi.
5. Kutembea juu ya kumwonyesha Yesu kuwa Bwana wa sheria ya asili.
6. Uponyaji wa kipofu kumonyesha Yesu kuwa Bwana juu ya msiba.
7. Kufufuliwa kwa Lazaro. Yesu Bwana juu ya kifo.
8. Dhibitisha zaidi kwa kazi ya Yesu.
a. Yohana 1:1-5; 14-18
b. Yohana 15:18-24
c. Yohana 8:12
d. Yohana 10:33-38; 11:14
e. Yohana 11:25-27
f. Yohana 14:1-11
g. Yohana 20:26-31
h. Yohana 12:48-57
UPONYAJI WA MUNGU.
Je ni mapenzi ya Mungu kuponya? Hata mimi?
-
ADAMU NA AWA KATIKA BUSTANI EDENI.
-
Hakukuwa na dhambi wala magonjwa duniani kabla ya kuanguka kwa mwanadamu.
-
Hi hutuonyesha mapenzi ya Mungu alipokuumba
-
Kuanguka kwa mwanadamu Mungu alipeyana uponyaji.
-
Hata baada ya kuanguka Mungu alipeyana uponyaji.
-
TABIA YA MUNGU KATIKA AGANO LA KALE.
-
Zaburi 145: 1-21
-
Rehema. Maana yake kuanda kuonyesha kibali(8)
-
Mungu ni mwema kwa wote.
-
Huruma nyingi juu ya kazi yake(96)
-
Sisi tu sehemu ya kazi yake.
-
Dunia hii ni sehemu ya kazi yake.
-
Yeye ni bwana aponyaye.(kutoka 15:26)
-
Hakuna pahali katika bibilia panaposema ya kwamba ‘Mimi ndiye bwana akuharibuye.’
-
Katika agano la kale ilikuwa kwa ajili ya kutotii kwa watu wa Mungu kungesababisha mambo haya mabaya kutendeka.
-
Ilikuwa ni uwamuzi wao kuchaguwa kutotii Mungu.(kumbuk 28:58)
-
Mungu aliruhusu ifanyike.
-
Je, ni Mungu hutuma ugonjwa kwetu?
-
Yesu alisema ‘Mwizi huja kuiba, kuuwa na kuharibu.’(yohana 10:10)
-
Anaruhusu watu kuua, kuiba na kadhalika lakini haamurishi wafanye hivyo.
-
Hesabu ya siku zako nitakamilisha(kutoka 23:25-26)
-
Anatamani kuonekana mwenye nguvu kwa niaba ya wale mioyo yao imekamilika kumhusu.(2 mambo ya nyakati 6:9)
-
Kwa hivyo hupatwa na maafa yoyote.(zab 91:10,16)
-
Aponyaye magonjwa yako yote.
-
Alituma neno na kuwaponya na kuwakomboa kutoka kwa uharibifu wao (zab 107:20) hiki ni kifungo cha unabii kumhusuYesu kristo ambaye ni neno.
-
NI NANI MWANZILISHI WA MAGONJWA?
-
Shetani akampiga Ayubu kwa vidonda(yobu 2:2)
-
Shetani alimfunga mwanamke na roho ya magonjwa kwa miaka18(luka 13:16)
-
Alikuwa binti wa agano wa Abrahamu.
-
Shetani alimfunga na Yesu akamweka huru.
-
Alimgeuka shetani kwa uharibifu wa mwili (1wakorintho 5:5)
-
Yesu aliwaponya wote waliodhulumiwa na shetani (matendo 10:38)
-
Maradhi na magonjwa ni utumwa wa shetani.
-
Kila karama au kipawa kizuri hutoka kwa Mungu (yak 1:17) uponyaji ni kipawa kizuri.
-
Yeye bwana ampendaye humwadhibu.
-
Magonjwa ni adhabu ya Mungu?
-
Hakuna maelezo zaidi yanayohusu magonjwa.
-
Adhabu maana yake’mafunzo ya mtoto, elimisha, fundisha’
-
Mtoto mkristo anahitaji adhabu(kufunzwa) na bwana kwa sababu wanajifunza na kukomaa. Haufundishi watoto wako kwa kuwafanya wagonjwa.
E. Shetani mdanganyifu.
1. Kupoteza au kudanganya inamaanisha kusababisha kuamini kitu kisicho vha kweli.
a. Shetani atajaribu kudanganya kufanya uamini kwamba Mungu na siyo yeye Shetani anayaweka magonjwa.
2. Shetani hudanganya usitende kwa yale unayoyajua.
4. YESU KRISTO MPONYAJI.
A. Yesu mfano uliowekwa katika agano la kale.
1. Yesu pasaka yetu.(1wakor 5:7)
a. Pasaka katika agano la kale ni namna ya dhabihu ya kristo.
b. Yesu dhabihu yetu.
2. Mfano wa unabii.(kutoka 10:11)
a. Kifo ni hukumu takatifu ya dhambi (kutoka 11:5)
b. Mwana kondoo kubadilishwa (kutroka12:3)
1. Yesu alikuwa mwana kondoo wa Mungu.
2. Yeye ndiye aliyebadilisha dhambi zetu.(wagalatia1:4)
3. Mungu alijitoa kwetu.(tito 2:14)
4. Wakati ulipowadia, Kristo aliwafia waovu.
C.. Kuvuka kwa bahari ya shama ni kuzaliwa upya
1. Canaani ni ishara ya nchi zetu za ahadi.
a. Tuna haki ya kupigania na kuwa na kilicho chetu kwa haki.
2. Mungu alijidhihirisha mwenyewe kuwapa waisraeli huru.
a. Yesu alidhihirisha kuwapa huru kutoka kwa dhambi.
b. Yesu aljidhihirisha kuharibu kazi za shetani.
D. Mwanzo mpya.(kutoka12:2)
1. Ilisimamia mwana kondoo.( 12:5)
a. Hakuna lawama(hakuna udanganyifu, wao au alama mbaya.)
-
Yesu hakuwa na dhambi(2wakr 5:21)
-
Alikuwa bila alama au lawama.
-
Hakukuwa na makosa ndani mwake.
-
Alijaribiwa kwa njia zote mbali bila dhambi.(waebr 4:15)
-
Fahamu ‘mwana kondoo’ si kwa wingi. Mungu alikuwa na mwana kondoo mmoja katika mawazo yake.
-
Kuchukuliwa kwa mwana kondoo(kutoka 12:8-11)
-
Kwa nguvu zao za kimwili.
-
Mungu alikuwa akimwendea kwa mwendo mrefu.
-
Hakukuwa na hata mmoja mnyonge kati yao.(zab 105:37)
-
Yesu anapeana sawa (1 wakor 11:23-34)
-
Paulo alipata ufunuo wa wazi na moja kwa moja kutoka kwa Yesu.
-
Kutambu mwili wa bwana. (1 wakr 11:30)
-
Dhaifu- Bila nguvu, hafifu, goigoi, dhaifu kwa ajili ya mwili.
-
Gonjeka- Mmoja ambaye ameishiwa na nguvu kwa ajili ya maradhi.
-
Lala- Anayekufa, enda nyumbani kwa baba .
-
Sababu kuu ya wakristo kuwa wagonjwa ni kutofahamu mwili wa kristo.
-
Jichunguze mwenyewe.(1wakr 1:28)
-
Pokea uponyaji wako kupitia kushiriki meza ya bwana.
-
Mwili wake unapeana uhuru kutoka kwa dhambi.
-
Mapigo yake hupeana afya miilini mwetu.(1 petro 2:24)
-
Aliwaponya wote.
-
Baba ndiye hufanya kazi(yohana14:8-10)
-
Ukitaka kumuuwa baba mtazame Yesu.
-
Yesu aliyafunua mapenzi ya Mungu kwa wanadamu.
-
Yesu alifanya mapenzi ya Mungu (yohana 6:38)
-
Kila hatua na neno la Yesu lilikuwa kwa kuharibu kazi ya shetani.
-
Kila kazi ya nguvu na uponyaji ilikuwa mapenzi ya Mungu.
-
Yesu aliwaponya watu wengi. (mathayo 14:14)
-
Walikuja wakitaka kupokea.
-
Walikuja wakapona.
-
Hata katika umati mkuu, hakukuwa mtu mmoja Yesu asingeweza kuponya kulikuwa na watu wema na wabaya.
-
Yesu aliponya kila ugonjwa na kila maradhi.
-
Aliwaponya wote.( luka6:17-19)
-
Aliwaponya.
-
Aliwawekelea mikono kila wao na kuwaponya (luka 6:17-19)
-
Aliwaponya wote.
-
Je, aliwapinga wengine? La! Aliwaponya wote waliokuwa wamefinyika.
-
Kuna tukio moja tu ambalo Yesu alizuiliwa kutimiza mapenzi ya Mungu maishani mwao (mariko 6:5-6)
-
Yesu alishangaa kwa kutoamini kwao.
-
Shaka iliwaibia baraka za Mungu wao.
-
Yesu hakuinuka tuu na kuwaacha na bila chochote, alienda akizunguka vijijini akifundisha neno linalobadilisha kutoamini.
-
Nguvu za uponyaji zilitiririka ndani mwa Yesu akiponya kila mmoja aliyekuja kwake kwa imani.
-
Yesu alipoenda kuketi mkono wa kiume wa Mungu alipeana nguvu kwa kanisa( ambalo ni mwili wake) na hizo nguvu zikatiririka katika kanisa la kwanza.
-
Bado zinatirirka katika mwili wake hata sasa tunapo waweka wagonjwa mikono.(mariko 16:18)
-
Yesu kristo yule jana, leo ,na hata milele(waebr 13:8)
-
Uponyaji iulipatikana kwa njia ya msamaha.
-
Isaya 53:3-5)
-
Masikitiko na huzuni imefunikwa vibaya katika tafsiri ya leo katika bibilia.
-
Masikitiko (kiebrania cholly) maana yake magonjwa au maradhi.
-
Huzuni (Kiebrania makobah) maana yake uchungu.
-
‘Baba/ chukua’ maana yake ‘ kuinua juu’, kutoa kwa hatua.
-
Dhambi na magonjwa vimepita kutoka kwangu hadi kalvari.
-
Wokovu na afya vimepita kutoka kalvari hadi kwangu.
-
Tuliponywa.
-
Kazi iliyomalizika- katika usemi wa wakati uliopita.
-
Ikiwa kwa mapigo yake tuliponywa lazima uwe wako sasa.
-
Alichukuwa magonjwa yetu.
-
Yehovah Rapha-bwana mponyaji wetu.
E. Furaha yake Yesu kuponya.
1. kujawa na ukoma. Hadi ya mwisho huu wa ugonjwa.
2. Hakuwa msafi kulingana na sheria za wayahudi.
-
Alinajisi sheria.
-
Aliomba huruma.
-
Tumaini lake la mwisho alikuwa Yesu.
-
Yesu alijibu wazi swali kuhusu kupenda kwake, kuponya, kwa kusema, utakuwa msaffi.
-
Mwenye ukoma alijua Yesu angelimponya. Hakujua kama atpona.
-
Kuitikia kwa Yeesu kwa watu wote ni ‘Nitafanya’
5. HATUA SABA ZA KUANZA/ MSINGI AMBAZO MUNGU HUPONYA.
Unaweza kuachilia imani yako kwa njia zifuatazo
-
Kuuliza katika jina la Yesu.(yoh 16:23)
-
Kuwekelea mikono.(mariko 16:18)
-
Kupaka mafuta.
-
Kukemea roho ya magonjwa(mathayo 8:16)
-
Maombi ya umoja kwa kukubaliana(mathayo18:19)
-
Maombi ya kufunga na kufungua.
-
Kulichukua neno la Mungu kama tiba.
-
KUTENDA KULINGANA NA NENO LA MUNGU.
-
Unaweza kuandika tiketi zako mwenyewe na Mungu.
-
Sema- Alisemea(28)
-
Tenda- Alikuja(27)
-
Ipokee- Alihisi/ sikia(29)
-
Simulia Alisimulia(33)
-
Kuwa na mtazamo.
-
Pata uponyaji wa Mungu wewe mwenyewe.
-
Endeleza imani isiyotingika.
-
Mkemee shetani na atorokee.
UNENAJI INJILI.
-
Unenaji injili waelewa(luka19:10)
-
Tazama.
-
Yakupasa kuwa na maono ili kueneza injili.
-
Maono ya kazi.math 9:37-38)
-
Maono ya sala/ wakati.(yoh 4:23)
-
Maono ya kuzimu na hali ya wenye dhambi.(luka16:19-31)
-
Inakupasa kuwa na moyo wa huruma ndipo ueneze injili.
-
Huruma siyo kusikitika. Kusikitika ni kuhisi au kuonekana pole:huruma ni kitendo.
-
Ni hali ya uchungu kuona watu wakielekea jehanamu na tusivutiwe au kuingia.
B. Enda.
1. Wakristo wengi hawaendi kwa sababu wa roho dhaifu.
a. Wana uwoga.(2 tim 1:7)
b. Ni wazembe.(mithali 6:6-9, 10:26,26:14)
2. Roho yako lazima iwe katika hali nzuri ya kwenda ajili ya Yesu. Lazima iwe imejawa nguvu, furaha na uwezo.
3. Roho au moyo wenye nguvu hupatikana kwa kuomba kusoma bibilia katika lugha na kumuabudu Mungu.
C. Waambie (mariko 5:19, 16:15)
1. Kila mmoja ana ushuhuda (yohana 4:28-29) ifanyike kuwa fupi.
2. Hubiri habari njema, sio habari mbaya. Mfano mbaya ‘wewe ni mwenye dhambi mbaya acha kunywa na kuvuta sigara la sivyo unaenda jehanamu. Hii siyo habari njema.
3. Roho mtakatifu anaweza kupeana maana yenye hukufikiria.
2. VIFAA VYA KUENEZA INJILI.
A. Upendo ndio silaha yako kuu ya kuvuna mioyo.
1. Kumbuka wewe ni mwana roho gani?
a. Kumbuka wakati utawaliwa na kuongoza kwa upendo
b. Usibishane, kujibishana, kujibu kwa upole hutuliza hasira.
c. Umeutwa kwa kutangaza injili sio kuikinga.
2. Kama hauongozi kwa upendo, basi hautampa yesu utukufu wowote.(1wakor 13:1)
B. Nguvu na mamlaka(matendo 1:8)
1. Maneno yako yanaweza kujawa na nguvu na mamlaka(mariko 1:22, luka4:30-32)
a. Yesu alikemea pepo (luka4:35)
b. Yesu alikemea homa(luka4:39)
2. Usiwahi kusahau Yesu ni nani, na yale anaweza kukutendea(mariko 16:20)
a. Yesu yu juu ya kila pepo, magonjwa na maradhi.
b. Jina la Yesu ni lako! Litumie!
c. Usimpe mwenye dhambi’dini’ mpe nguvu za Mungu.
C. Hekima. (mithali 11:30, yakobo 1:5)
1. Elewa wakati wa kuonge na wakati wa kunyamaza.
2. Lazima uwe usimamizi katika mazungumzo.
3. Muwe na busara kama nyoka na wapole kama njiwa(mathayo10:16)
4. lazima ujuwe neno la Mungu. (2 tim2:15)
3. MBINU ZA KUFIKIA WENYE DHAMBI.
A. Vidokezo vya kukusaidia.
1. Andaa’ mtu wa ndani’
a. Usiwe na dhambi ambayo huja tubu maishani.(1 yohana 1:9)
b. Umba kabla ya kwenda nje.
2. Andaa mtu wa ‘nje’ yote kwa watu wote. Yatupasa kuvaliaa tofauti unapomwendea mwanabiashara na mkulima.
3. Uwe na bibilia ndogo au agano jipya.
4. Mwende kwa vikundi mbili au tatu.
5. Tabasamu na uwe tayari.
6. Usiwe pekee yako ndipo unapoongea waweke kiroho kwa kusikiza.
a. Usiwahi kuuliza mtu, ‘wewe ni mkristo… umeokoka…. Au kuzaliwa tena? Wenye dhambi wanaongea tofauti.
b. Uliza Je, umewahi kufikiria ni wapi utakuwa milele?
7. Usiwe na hali ya kujionyesha kuwa mtakatifu sana kupita kiasi.
8. Weka alama kwa bibilia yako kwa kifungu kinachozungumzia kuhusu mwokovu na ujewe ziko wapi.
a. Uwe na mpango wazi na moja kwa moja kwa lengo.
b. Usiulize swali la kujibiwa ndio au la na usiruhu wasemani?
c. Weka na uwache msingi uliodhabiti kuhusu wokovu wako.
B. Waamuzi wa kutokana na kufuatilia.
1. Ombi la toba- Ifanye fupi na rahisi ndipo iweze kueleweka kwa mwenye dhambi alafu omba ombi la kumshukuru Mungu kwa kuwaokoa.
2. Kufuatilia.
-
Waonyeshe umuhimu wa kukirii wazi.
-
Umuhimu wa kusoma bibilia kila siku.
-
Umuhimu wa maombi ya kila siku na kumuabudu.
-
Umuhimu wa kuhudhuria kanisa kila wakati.
-
Wasaidie kuwa wanafunzi.
-
Waambie kwa nini.
-
Waonyeshe.
-
Wasaidie kuanza.
-
Wafanye kuendelea.
-
Wasaidiekuleta wengine.
-
Kushughulikia valio na ugumu/ matatizo.(2 tim2:23-26)
-
Sababu ambazo watu hutoa. Na jibu la kuwapa kulingana na maandiko.
-
Wasiojali/ husika: Tumia maandiko yatakayoleta ushawishi kwa dhambi(mithali 27:1, luka13:3)
-
Wajiona kuwa haki: Waonyesha dhambi ya kuwa na haki ya kujitafutia binafsi.
-
Unafiki kanisani: Waonyeshe kwamba yatupasa kutazama kristo na sio mwanadamu kwa wokovu.
-
Wanaofikiria kwamba dhambi zao ni kuu zaidi hawawezi kuoka: Waonyeshe kwamba Mungu ni mpole, mumilivu na upendo wake ni wa milele.(zab 86:5, isaya1:18)
-
Wanaojiona kuwa dhaifu kiasi ch kutoacha dhambi:Waonyeshe kwamba tunapompokea Yesu tu wwapya na kupata shauku mpya.(yohana 10:27-28)
-
Wanaosema maisha ya ukristo ni magumu: Tumia maandiko yanayoonyesha kwamba ukristo sio diniwala sheria zilizowekwa, lakini ni ushirika na Mungu.
-
Wasemao si mabaya:Waonyeshe kuwa wokovu si kwa wema au ubaya. (mithali 114:12, mhubiri7:20,2tim1:12)
-
Wanaotaka kungojea: Waonyeshe hatari za kumngojea(mithali 29:1, luka 12:16-20, yohana 3:18)
-
Vifungu vimgine kuhusu wokovu. (ezek 36:26, matha 10:32, 16:26, luka 9:10, mat 4:12, waru 14:11, 2wakr 8:21)
MSINGI WA IMANI.
-
IMANI NI NINI? TUNAPATAJE IMANI?
-
Maelezo kuhusu imani.
-
Imani ni onyesho la kumwamini Mungu, mwamuzi anafuatilia tendo la kuitikia.
-
Imani ya kweli katika Mungu, imani ya moyo, ni kuamini na kutenda kulingana na neno la Mungu, pasipo kuangalia hali ya nje.
-
Imani sio kitu tulicho nacho bali ni kitu tunachokifanya.
-
Imani ni mkono unaochukua vitu tunavyo vihitaji kutoka kwa Mungu.
-
Mfano kupokea kipawa.
-
Kuamini ni neno la tendo katika maana yabibilia ni kushika . Unaweza kuamini ni neno la tendo la kuamini katika Yesu na katika wokovu bila kuokolewa ikiwa haujamchukuwa kama mwokozi wa kuamini katika uponyaji wako kuamini sio tendo la hisia.
-
Imani huelekezwa kwa vitu vilivyo vya Yesu tayari alipeana kwa mahitaji yetu yote kupitia kwa ukombozi vitu lazima vichukuliwe katika ulimwengu wa kiroho.
-
Imani ya kawaida ni tofauti na kipawa cha imani au imani’ special’ (1 wakor 12:9)
-
Waumini wote wana imani?
-
Sisi wote ni waumini. Tunayo imani la sivyo hatungelikuwepo (2wakor 4:13, waef 2:8-9)
-
Tumezaliwa na Mungu na tukapokea sifa zake moja wapo ni imani.
Mfano: Hatuombi daktari atupe mikono tufikapo umri wa miaka nne tumezaliwa nazo.
-
Bila imani hatuwezi kumpendeza Mungu, hivyo ni imani.
-
Maana Mungu anataka tuwe na imani, ni lazima atuwekee mikono namna ya imani ya kuzaliwa.
-
Imani huja kwa kusikia neno la Mungu. (war 10:17)
-
Bibilia huitwa ‘neno la imani’
-
Imani ni ya moyo au roho ya mtu wa kiroho.
-
Imani hutoka kwa Mungu na imepandwa ndani ya roho yako unapozaliwa upya.(waef2:8)
-
Sisi sote tuna kiwango cha imani(warumi 12:3)
-
Imani ya roho si makubaliano ya akili.
-
Imani inaweza kufanyakazi katika moyo, hali hakuna shaka kichwani/ akilini unaweza kuamini kitu bila kukielewa.
-
Unaweza kuamini au kama ni makubaliano tu ya akili unayatenda bila kukielewa.
-
Imani ni njia ya uzima. Wenye haki wataishi kwa imani.(warumi 1:17, wagal 3:11, waeb10:38)
-
Mtazamo/ uchunguzi wa ziada.
-
Unaamini kitu kila wakati iwe kweli au uongo, shaka ni kuamini upande usio.
-
Wengi wanaamini mambo yote yawezekana kwa Mungu. Lakini hawataki kuamini kwamba mambo yote yanawezekana kwa wale wanaoamini. (mariko 7:23)
-
Watu wanaweza kufikiria umepitwa na wakati lakini hiyo ni sawa. Mtu wa asili hawezi kuyafahamu mambo ya kiroho.
C. Imani imeambatanishwa na neno la Mungu?
1. Neno la Mungu ni kweli.(yohana 17:17, 2 tim 3:16, 1 wathesol 2:13)
a. Neno lake ni kweli kwani hawezi sema uongo.(hesabu 23:19)
b. Unaweza kuliheshimu neno kama vile Yesu angalikuwa hapa katika mwili.
2. Imani huanzia penye mapenzi ya Mungu inajulikana na mapenzi yake ni neno lake.
a. Hawezi pata msaada kando na neno lake. Mungu huenda pamoja na neno lake.
b. Yatupasa kujawa mapenzi ya Mungu, hali yake ya upendo na asili yake ya kujali Yesu alikuwa Mungu akidhihiriasha katika mwili ili kujuwa kuhusu tabia ya Mungu.
c. Unahitaji kuendelea kufanya upya mawazo maana u ndani mwa Yesu. Ndani yake, kwake.
d. Vya muhimu kusoma, kujifundisha na kutafakari katika neno lake Mung.
e. Kaa katika neno lake na upokee ombi lililojibiwa (1 yohana 15:7)
f. Kutii kunafaa, yakupasa kujua amri na kuziweka (1Yohana 3:22)
3. Ahadi za neno hupokelewa kwa imani.
a. Tunasisimua nguvu za Mungu kwa kubonyeza imani.
b. Mfano- umeme/ stima.
D. Aina mbili ya imani.
1. Imani ya akili/ kichwa- Tomaso (yohana20:29) hii ilielekezwa kwa ukweli wa asili, hisia, kusikizana na kusemezana au maarifa ya hisia.
2. Imani ya moyo- Abrahamu.(warumi 4:17-20)
-
Kwa neno la Mungu.
-
Unajuwa kwamba umezaliwa upya ingawa hauwezi kuonekana hivyo au kuisikia hauwezi kuelezea jinsi wokovu unavyoonekana au kusikia, lakini unaamini kwamba unao, kwa nini? Bibilia inasema hivyo.(warumi10:9-10)
-
Mfano- Ukifa unaenda mbinguni? Mbinguni kunakaaje? Je, ushafika na kuona kulivyo? Unahakika kwamba waenda huko? Hauwezi kuelewa hasa vile kulivyo lakini bado unaamini ni mukweli. Hii ndio imani ya moyo.
-
Do'stlaringiz bilan baham: |