Mungu mkuu wa mipango



Download 1,15 Mb.
bet5/13
Sana24.06.2017
Hajmi1,15 Mb.
#14917
1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   13







MUHULA 3


MUHULA 4

SAA

MWAKA 1


MWAKA 1

SOMO LA 1

9:00-9:50

Tabia ya mkristo na kuwa mwanafunzi.


Utangulizi wa huduma.

SOMO LA 2

10:00-10:50

Msimamo wa bibilia

Kuelewa mamlaka.

Sifa/ maabudu

11:00-12:00

M
6:10-6:30
atangazo.


Matangazo.



MAPUMZIKO






SOMO LA 3

1:00-1:50

Haki.

Umiliki wa ukristo.

SOMO LA 4

2:00-3:00

Maombi.

Jinsi shetani anavyofanya kazi.


UFUASI.

3:15-4:15







MFANO WA MAELEZO.

Chuo hiki cha mafunzo ya bibilia ni zaidi 3 kuliko shule tu ya kawaida ya bibilia. Hapa ni mahali maisha yanabadilishwa kwa neno la Mungu na kwa Roho wake Mungu.

Njoo ukajionee na kuhisi furaha na upendo wa chuo hiki cha Bibilia mahali ambapo neno la Mungu linafundishwa kwa uwazi.Matendo ya ujasiri, nguvu na upako.

CHUO CHA BIBILIA! NJOO UKAJIONEE! Mara tu ukipata hautabaki kuwa mtu wa kawaida tena.


  1. NI NINI CHUO CHA BIBILIA?

Chuo cha Bibilia sio kanisa, bali ni mkusanyiko wa madhehebu mbali mbali kwa kufundisha ukweli wa neno la Mungu zaidi. Wanasisitiza kufundisha wanaume na wanawake katika neno la Mungu, ili waweze kuwajibika makanisani mwao na pia maishani mwao.

  1. NI WAPI NA LINI WANAPOKUTANA?

Itategemea na kila chuo.

  1. INAGHARIMU NINI KUHUDHURIA?

Gharama au malipo ni kshs______ kwa mwaka.Tunapeana nafasi ya kulipa kshs______ kwa kila mwezi.

  1. NI LAZIMA KUFANYA NINI ILI NIWEZE KUUDHURIA?

Jaza fomu ya maombi’ kisha uilete chuoni kwa afisi.

  1. MASOMO YA MWAKA / MUHULA NA KWANZA.

  • Agano katika damu.

  • Roho mtakatifu.

  • Utiifu

  • Tabia ya Mungu.

  • Misingi ya Mungu

  • Uenezaji wa injili

  • Haki ya uponyaji.

  • Kuelewa mamlaka

  • Vitabu vya injili.

  • Ukweli wa bibilia.

  • Haki.

  • Kuhusu kazi ya mapepo.

  • Maombi.

  • Kuajibika kwa mkristo.

  • Kutumika kwa huduma.

  • Utangulizi kwa huduma.

  1. MWAKA AU MUHULA WA PILI.

Masomo ya Muhula wa pili yamepangwa na kulenga kuwafundisha na kusaidia wanafunzi katika hali mbalimbali za huduma ambayo itawawezesha kuhusu mwito wa Mungu.Tunapeana masomo kama:

  • Kutumika kwa huduma.

  • Kazi au utume.

  • Huduma ya kufundisha.

  • Huduma ya usaidizi.

  • Uenezaji injili.

  • Huduma ya watoto.

  1. MPANGO WA KUFANYA WANAFUNZI.

Katika chuo tunaamini kuwafundisha wanafunzi wetu kwa njia ya uwazi na mifano kando na masomo mengine yote. Pia tunampango wa kuwafundisha jinsi ya kuhusika na kufanya huduma kama:

  • Nafasi za kufundisha.

  • Huduma ya uimbaji.

  • Namna ya kupanga na kutunza vyombo.

  • Mafundisho ya uongozi.

  • Kufikia watoto.

  • Usimamizi.




        1. NAMNA YA KUANZISHA NA KUENDELEZA CHUO/SHULE YA BIBILIA.


A. MWELEKEZO KUTOKA KWA BWANA.

1. Haya ni maoni na utaratibu, lakini kila eneo litahitajika kupanga na kuweka utaratibu unaofaa kulingana na hitaji la shule pamoja na wanafunzi. Mtindo baada ya

Kanuni zote; lakini huendeleza mikakati yako jinsi Mungu anavyo kuongoza.


  1. MIKAKATI YA JUMLA KWA KUENDELEZA NA KUINUA SHULE.

1. Panga warsha, waalike wachungaji, wahuduma na washirika wa kanisa kwa chai au chakula cha mchana.

2. Watembelee wachungaji na viongozi wa huduma mbalimbali ukiwaalika na kuwahimiza kianzisha shule makanisani mwao.

3. Chapisha makaratasi au mabanga ya matangazo ya shule na kama inawezekana kwa njia ya matangazo mengine.

4. Tunapendekeza kwamba shule yako iwe na jina la mji, kijiji au mtaa, ili kutambulikana na watu na waone kama ya wale si jambo la kigeni.



C. WAKATI NA PAHALI PA SHULE.

  1. Majengo au nyumba ya kawaida isiyo kanisa itafaa sana, pahali wazi na rahisi kwa kila mmoja kufika.

    1. Majengo ya shule.

    2. Maeneo ya burudani kwa watu wote.

    3. Jumba la mikutano.

    4. Nyumba za watu.

  1. USAJILI NA UENDELEZAJI.

  2. Tambua kwamba karo ya maombi, kusajili, masomo na kufuzu itategemea na hali ya uchumi na eneo la kila shule ambalo halina uwezo wake.Shule yaweza kulipisha karo kiwango cha chini mno. Pia itategemea na jinsi shule inapata fedha, kama inaufadhili mwingine. Kila shule ina haki ya kulipisha au kutolipisha.

  1. HATI ZINAZOHITAJIKA.

    1. 1. Fomu, cheti cha maombi.

    2. 2. Barua ya kukubaliwa.

  2. MAHITAJI YA MWANAFUNZI.

  1. Cheti cha maombi kukamilishwa kwa kujazwa ipasavyo.

  2. Cheti cha maombi kurudishwa afisini kwa ajili ya usajili.

  1. MAHITAJI YA AFISI(AFISI YA SHULE.)

  1. Kutoa au kuchapisha hati/ cheti cha maombi.

  2. Kutoa barua za maombi yaliyo kubalika.



3. USAJILI.

  1. KUKUBALI NA KUSAJILI MWANAFUNZI.

    1. Barau za kukubaliwa zimetumwa kwa wale walio wasilisha pamoja na karo ya maombi.

    2. Kwa kusajili kila mwanafunzi lazima alipe karo yake ya maombi. Baada ya kujiandikisha, mwanafunzi atapewa risiti lililo na namba na pia nambari ya mwanafunzi.

    3. Ni vyema kuwa na muda wa wiki mbili za kusajili kabla ya shule kuanza.

  2. HATI ZINAZOHITAJIKA.

  1. Ripoti kuhusu mambo yote itakoyoonyeshwa hali na mambo yote kumuhusu mwanafunzi kwa muda wote wa shule.

  2. Ukurasa unaoonyesha jinsi anavyo hudhuria.

  3. Maelezo yote kuhusu fedha.

  4. Barua ya makaribisho.

  5. Risiti iliyo na nambari kuhusu usajili.

  6. Risiti inayohusu usajili.

  1. MAHITAJI YA MWANAFUNZI.

  1. Karo ya maombi (si lazima.)

  2. Karo ya usajili.

  3. Kutia sahihi mkataba kwa ajili ya masomo.

D. NAMNA YA KUSAJILIWA.

    1. Kusajiliwa, kila mwanafunzi lazima alete karo ya usajili na mara tu baada ya kusajiwa anapokea risiti na kupewa namba ya mwanafunzi.

    2. Mwanafunzi kupokea barua ya makaribisho na kukumbushwa kuwa shuleni siku ya kujulishwa mambo yote na mambo yote yanayohusu shule (siku hii yaweza pia kuwa ndiyo siku ya usajili.


4. MAELEZO.

  1. MAELEZO KWA WANAFUNZI.

    1. Siku ya kufungua shule ni muhimu na wakati wa kufurahisha kwa kuwa karibisha na kuwaeleza wanafunzi kuhusu shule.

      1. Wajulishe wanafunzi kuhusu msimamo wa imani.

      2. Wape kalenda ya matukio yote na mpango wa darasa labda kwa (wiki, mwezi na mwisho wa mwaka)

      3. Peana sheria na masharti (Sheria na masharti yakubadika na viongozi wote wa shule.)

      4. Eleza kuhusu mpango wa mafundisho ya kuwa wanafunzi.

    2. Watambulishe walimu na wahusika wote wa shule na upeana ujumbe wa kuvutia wanafunzi.

      1. Watambulishe wageni wako kama wapo.

      2. Kua na muda wa sifa na maabudu.

      3. Shiriki meza ya bwana ikiwezekana.

    3. Peana mwongozo wa masomo.

HATI ZINAZOHITAJIKA.

  1. Imani au mambo mnayoamini.

  2. Sheria na masharti.

  3. Mpangilio wa shule (kila juma,mwezi na mwisho wa mwaka)

  4. Nakala ya nyimbo za kutumika wakati wa sifa na kuabudu.


5. UTENDA KAZI KATIKA CHUO.

  1. MSIMULIZI.

Msimulizi huweka kiwango katika hali ya kiroho, mwili na kupeana na kuonyesa mfano wa uongozi bora akielekeza wahusika wote, wanafunzi wote, kupinga na kusimamia hali ya utendaji wote hata fedha .

Msimamizi huwajibika kwa kutoa habari kwa msimamizi wa eneo, taifa au mataifa kuhusu mambo yote ya kiroho na ushirika wa kuendeleza shule na kutoa maoni kwa mambo yanayohitajika.



  1. KUNDI LA MWALIMU.

Walimu wanahitajika kwa kujitoa kwa mambo yote yanayohusu roho, mwili na kuonyesha njia nzuri ya kufundisha kupenda ukweli na kuelewa uvumilivu katika roho, kwa ukweli, haki na kuheshimu mwanafunzi.

Watawajibika kwa kutoa habari zao kwa msimamizi na wanaowajibika kwa kupeana mpango wa kila somo, kuonyesha vile mwanafunzi anavyohudhuria, kupeana na kusahihisha mtihani. Wahusika wote watahitajika kuwasiliana kuhusu mambo yote yanayoendelea kwa msimulizi.



Walimu na viongozi wote shuleni wana jukumu sawa kwa wanafunzi. Mambo yote wazi kwa kuwawezesha kujisimamia na kujiendeleza vyema maishani. Twawahimiza walimu kuwapa mwelekeo wa nidhamu wanafunzi wao kwa mambo kama:

  • Uwajibikaji kwa hali zote za maisha.

  • Jinsi ya kutunza na kutumia muda vizuri.

  • Mambo yote kwa nidhamu katika maisha ya kiroho itakayowezesha wanafunzi kufikia madhumuni yao.

  1. MKAGUZI.

Mkaguzi anajitolea kwa hali zote za kiroho,mwili na hali zote za kuweka na kuonyesha habari za fedha, afisi na wanafunzi,mkaguzi huwajibika kwa msimamizi pia husaidia kwa mpango na kuweka makadirio ya matumizi na kutowa habari zote kuhusu fedha.

  1. KUNDI MAALUMU.

Kundi maalumu lajitolea kwa mambo yote ya kiroho, mwili na kuonyesha mfano mwema kama wahusika wa shule. Watatoa habari zao kwa msimamizi atawapa jukumu la kusaidia kazi katika shule.
6. UTENDAJI KAZI WA KILA SIKU NA USIMAMIZI WA SHULE.

  1. HATI ZINAZOTAKIKANA.

    1. Ripoti kuhusu mahudhurio.

    2. Nakala ya mtihani.

    3. Nakala ya malipo.

    4. Nakala ya mambo yote.

    5. Mtihani wa muhula.

  2. HATI INAYOHUSU MWALIMU.

  1. Barua inayowaomba walimu kufundisha.

  2. Kuwajulisha kuhusu mikutano.

  3. Ratiba ya kufundisha.

  1. MAAGIZO KWA WALIMU.

  1. Walimu wanahimizwa kuwa na mikutano ya mara kwa mara na wahusika wote katika shule.

  2. Kila mwalimu anastahili kupewa ratiba ya masomo kila muhula.

  3. Kwa kila wakati wa kufundisha na kuhubiri, mwalimu atapewa hati ya kiwango cha mahubiri kwa kila mwanafunzi kujaza.

  1. HATI YA ZIADA.

    1. Maktaba kati ya wale wanaojitoa.

    2. Pesa zinazotoka.

    3. Habari za kila muhula wa mwezi.

    4. Barua rasmi ya huduma.

  1. MAHITAJI YA MWANAFUNZI.

  1. Kila mwanafunzi anahitajika kuwapa wakati wote wa darasa.

  2. Kila mwanafunzi anahitajika kukamilisha mambo yote kuhusu pesa kulingana na utaratibu wa shule.

  3. Kila mwanafunzi anaulizwa kuchua ratiba za mtihani.

  4. Kila mwanafunzi lazima kuwa tabia nzuri.

  1. HALI INAYOHUSU MKAGUZI.

  1. Hati ya mahudhurio kutayarisha kabla ya darasa kuanza.

    1. Tayarisha hati zaidi ya moja kwa kila darasa na upeane kwa kila mwalimu wa darasa.

    2. Hati ya maudhurio inatumika kwa kuweka alama za mwanafunzi, ugawaji wa vifaa na kadhalika.

  2. Hati ya mtihani: Lazima kuwekwa sawa na kila mwanafunzi, ikionyesha namba na masomo ili alama kuwekwa sawa.

  3. Hati ya malipo: Itahifadhiwa kuonyesha fedha zote ambazo mwanafunzi amelipa, tarehe na kiwango cha pesa.




  1. MWISHO WA MUHULA.

    1. HATI.

    1. Nakala ya maelezo kuhusu mwanafunzi:(alama ya mtihani, fedha, mahudhurio na tabia) inapeanwa na mwalimu au mkaguzi.

    1. MAHITAJI YA MWANAFUNZI.

    1. Kila mwanafunzi lazima atimize mambo yote kuhusu masomo, maudhurio na fedha kuambatana na sheria na ratiba zote za shulendipo aruhusiwe kwendelea na muhula wa pili.

    1. MAMBO YA NDANI KATIKA AFISI.

    1. Hati inayohusu mambo lazima kutayarishwa kulingana na maelezo ya kila mwanafunzi kuruhusu afisi kujua kuendeleza wanafunzi kimasomo, kifedha na kuhudhuria.




  1. MWISHO WA MWAKA.

    1. HATI ZINAZOHITAJIKA.

    1. Hati ya maendeleo yote kumhusu mwanafunzi

    2. Cheti rasmi cha kukamilisha masomo.

    3. Mwaliko wa siku ya kuhitimu.

    4. Utaratibu wa siku ya kuhitimu.

    1. MAHITAJI YA MWANAFUNZI KUMWEZESHA KUHITIMU.

        1. Mwanafunzi lazima awe katika msimamo mzuri kwa mambo yafuatayo: Tabia, alama, mahudhurio na fedha.

        2. Wanafunzi wote lazima wawe wamefanya uenezaji wa injli.

    1. MAMBO YA AFISI.

              1. Vitabu vya risiti viweko kwa ajili ya malipo ya kuhitimu.

a. Fedha zote ambazo zimechukuliwa kwa ajili ya kuhitimu kwa mahitaji yanayohusu kuhitimu kwa mahitaji

yanayohusu kuhitimu pekee ( kama uchapishaji wa uongozi wa mwongozo au ratiba, chakula cha siku hiyo na kodi ya phali pa sherehe.)



              1. Kamilisha hati ya alama, maudhurio na fedha.

              2. Dhibitisha kutoka kwa mwanafunzi jina analotaka kutumia kwa cheti.

              3. Panga na weka kamati na wanafunzi wa kila darasa kuendeleza na kuangalia mipango za sherehe.




  1. WALIOFUZU.

    1. Mambo yote kuhusu pesa, masomo, mahudhurio ya wanafunzi lazima kutayarishwa na kuhifadhiwa vyema kwa matumizi yajayo.


MAKADIRIO YA MWEZI.


FUNGU LA HUDUMA ZA NJE










Fungu.

Kshs

Kshs

Kshs

Huduma za nje kitaifa.

Kshs

Kshs

Kshs

Huduma za nje kimataifa.

Kshs

Kshs

Kshs

Matumizi ya kibinadamu.

Kshs

Kshs

Kshs

Jumla.

Kshs

Kshs

Kshs













Usimamizi.

Kshs

Kshs

Kshs

Msimamizi.

Kshs

Kshs

Kshs

Mwalimu.

Kshs

Kshs

Kshs

Mkaguzi.

Kshs

Kshs

Kshs

Kundi maalumu la kusaidia.

Kshs

Kshs

Kshs

Kundi katika eneo/taifa.

Kshs

Kshs

Kshs

Jumla.

kshs

kshs

kshs













Maendeleo

Kshs

Kshs

Kshs

Kutafsiri.

Kshs

Kshs

Kshs

Chapisha/ ugawaji.

Kshs

Kshs

Kshs

Mikutano/ warsha.

Kshs

Kshs

Kshs

Hitaji la ziada.

Kshs

Kshs

Kshs

Jumla.

Kshs

kshs

kshs













Utendaji kazi.

Kshs

Kshs

Kshs

Kodi.

Kshs

Kshs

Kshs

Simu.

Kshs

Kshs

Kshs

Stima.

Kshs

Kshs

Kshs

Maji.

Kshs

Kshs

Kshs

Taka.

Kshs

Kshs

Kshs

Urekebishaji.

Kshs

Kshs

Kshs

Vyombo vya matumizi.

Kshs

Kshs

Kshs

Hitaji la ziada.

Kshs

Kshs

Kshs

Nauli.

Kshs

Kshs

Kshs

Mafuta ya gari.

Kshs

Kshs

Kshs

Kazi ya ziada.

Kshs

Kshs

Kshs

Hitaji la ziada.

Kshs

Kshs

Kshs

Jumla.

kshs

Kshs

Kshs














Pesa zilizokisiwa -Mapato__________.

-Mapato mengine______.

-Jumla___________.

Pesa ziliopo- -Mapato___________.

-Mapato mengine_________.

-Jumla_____________.

Tofauti kwa pesa zilizokwisha baada ya matumizi___________.

Tofauti kwa pesa ziliopo baada ya matumizi_________________.

Tofauti ya pesa zinazo hitajika___________.


MWONGOZO NA MTIHANI WA MWAKA WA KWANZA/ MUHULA WA KWANZA.

JIBU MASWALI YAFUATAYO KWA KUANDIKA UKWELI AU UONGO (IMANI.)

  1. Imani ni hali ya ukweli katika vitu vya kiroho.

  2. Imani ni baina ya baadhi ya vitu vinavyotarajiwa.

  3. Imani ni ukweli kwa vitu visivyoonekana.

  4. Imani inahitajika kwa wokovu wa kila mwaminifu.

  5. Imani inatusaidia kujua jinsi ya kupokea kutoka kwa Mungu.

  6. Imani ni chombo kilnachofanya tumaini kuwa kweli.

  7. Imani ni kuhusu mambo yajayo, tumaini ni kuhusu yaliyopita.

  8. Dhibitisho la imani ni yale unayofikiria na kuamini.

  9. Lazima tutumie imani kupokea baraka zetu kutoka kwa Mungu.

  10. Imani inaabatana naneno la Mungu.

  11. Katika Mariko11:24, tunapoomba lazima tuone ndipo tuamini.

  12. 2Wakorintho 4:18 haitupasi kuangalia kwa vitu ambavyo haviwezi kuonekana.

  13. Imani huleta mambo yasiyoonekana kuwa ya kweli.

  14. Imani huelekeza macho kwa shida za maisha na kuzikubalisha.

  15. Imani kila wakati hukiri neno la Mungu.

  16. Tunapokea imani kutokana na kuomba sana na kufunga.

  17. Imani ni kuamini kutokana na moyo na kukirikwa kinywa.

  18. Imani ni tendo, lazima utende kwa yale uaminiyo.

  19. Kutoamini kutakuzuia kupokea baraka zako kutoka kwa Mungu.

  20. Tunakuwa kwa imani katika hali ya kusoma neno la Mungu kila wakati.

  21. Nimesoma na kufanya kazi yote kutokana na somo hili.

JINA_________________________________ NAMBA_________________________ TAREHE______________________.


Download 1,15 Mb.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   2   3   4   5   6   7   8   9   ...   13




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©hozir.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling

kiriting | ro'yxatdan o'tish
    Bosh sahifa
юртда тантана
Боғда битган
Бугун юртда
Эшитганлар жилманглар
Эшитмадим деманглар
битган бодомлар
Yangiariq tumani
qitish marakazi
Raqamli texnologiyalar
ilishida muhokamadan
tasdiqqa tavsiya
tavsiya etilgan
iqtisodiyot kafedrasi
steiermarkischen landesregierung
asarlaringizni yuboring
o'zingizning asarlaringizni
Iltimos faqat
faqat o'zingizning
steierm rkischen
landesregierung fachabteilung
rkischen landesregierung
hamshira loyihasi
loyihasi mavsum
faolyatining oqibatlari
asosiy adabiyotlar
fakulteti ahborot
ahborot havfsizligi
havfsizligi kafedrasi
fanidan bo’yicha
fakulteti iqtisodiyot
boshqaruv fakulteti
chiqarishda boshqaruv
ishlab chiqarishda
iqtisodiyot fakultet
multiservis tarmoqlari
fanidan asosiy
Uzbek fanidan
mavzulari potok
asosidagi multiservis
'aliyyil a'ziym
billahil 'aliyyil
illaa billahil
quvvata illaa
falah' deganida
Kompyuter savodxonligi
bo’yicha mustaqil
'alal falah'
Hayya 'alal
'alas soloh
Hayya 'alas
mavsum boyicha


yuklab olish