Kufunga : kuwa umefanywa upya inamaanisha kwamba unao uhai wa Mungu ndani yako. Una asili yake na uwezo( yohana 15:15, wakolosai 1:27) Hali ya kufanikiwa kwako hutegemea na kuamini kwako.
-
Jinsi Mungu anavyopeana haki ya Mwana kwa yule ambaye kiasi hakuwa (warumi 8:15, wagalatia 4:5)
-
Mungu hataki wakristo kama watoto, lakini wamezaliwa katika jamii yake Mungu kwa njia ya roho mtakatifukwa imani.
-
Tafsiri ya N.K.J na N.I.V inatafsiri kiyunami kama kufanya watoto. Ingalikuwa sawa kutafsiri kama kufanya wana.
-
Kufanywa kupelekea kuingia katika jamii kama mwana mkubwa.
-
Kuna tofauti kati ya agano la kale na jipya.
a. Katika agano la kale waisraeli walichukuliwa tu kama watoto kwa sababu walikuwa chini ya maagizo ya Mungu wetu.( sheria) lakini katika agano jipya, wakristo wanachukuliwa kama wana waliokomaa.
-
Uzuri wa kufanya wana ni kuwa Roho hudumu ndani yetu na kuongoza.
6. Kuna faida na nafasi ya ushirika na baba.
a. Kujali kwa baba (luka 12:4-7)
b. Adhabu (waebrania 12:5-11)
c. Faraja (2 wakorintho 1:3-4)
-
Uridhi (warumi 8:16-17)
-
Pokea baraka kwa kuwa katika jamii (wafilipi 2:9)
-
Shiriki jina la jamii (2 wakorintho 5 :17)
-
Shiriki mfano wa jamii(2 wakorintho 5 :17)
-
Shiriki upendo wa jamii ( 1yohana 1:3, 3:14)
-
Shiriki kazi na biashara za jamii.
-
Baraka za baadaye – mwili wa utukufu ulikombolewa (warumi 8:23, wafilipi 3:20-21)
-
UTAKASO.
-
Mungu huita, kusafisha na kutenga mkristo na dhambi kwa ajili ya matumiziyake na utukufu.
-
Maana mbili –kutenganishwa na maovu na kupjipeana kwa Mungu.(2 wakorintho 7:1)
-
Maana ya neno utakaso.
-
Kutukuza au kutambua wastahili kuheshimiwa na kusifiwa(luka 11:2, 1petreo 3:15)
-
Kutenganishwa na vitu visivyotakina na kuwekwa wakfu kwa Mungu kuwa safi.(mathayo 23:17)
-
Kusafishwa au kuoshwa kutoka kwa vitu vichafu.(waefeso 5:26)
-
Utakaso basi unajumulisha yafuatayo.
-
Kiwango.
-
Kutengwa kwa mkristo kwa ajili ya Mungu ambapo hufanyika wakati wakugeuzwa (1 wakorintho 6:11, waebrania 10:14, 1 petro1:2)
-
Kristo ndiye utakaso wa mkristo.(1 wakorintho1:30)
2 Kuwa na ujuzi.
a. Kusafishwa kwa mkristo kwa mambo yote yatiayo unajisi. (2wakorintho 7:1)
b. Kuweka kando maisha ya zamani na kuwa na mapya.(wakolosai3:8-13)
c. Mkristo anageuza kwa mfano wa kristo (warumi 8:29, 2wakorintho3:11)
1. Kujipeana kikamilifu kwa Mungu kama kitendo cha hiari. (warumi 12:1)
2. Kufanya upya mawazo yako kwa neno la Mungu (warumi 12:1-2, waefeso 4:23)
-
Kukaa chini ya huduma au gharama tano na kukamilisha, kukomaa. (waefeso 4:11-12)
-
Kufuata roho yako.(wagalatia 5:16)
-
Kumtegemea Yesu kwa msaada wako (matendo ya mitume 26:28)
-
Kumaliza kanuni ya utakaso inatufandisha, unapokuwa mkristo uliyekoma kuwa kawaida umewekwa kando kwa matumizi.
-
KANISA.
-
Kanisa ni nini? Neno la kiyahuni: la kanisa ‘ecclesia’ Maana yake kusanyiko la walioitwa.
-
Neno lililotumiwa kwa wakristo wote katika mji mmoja (matendo 11:22, 13:1)
-
Lilitumika kutambua kusanyiko la kawaida(wakorintho14:19-35)
-
lilitumika kwa kanisa kijumla, wakristo wote duniani (waefeso 5:32)
-
Neno kanisa linatoka kwa neno la kiyunani ‘KOS’ ambalo maana yake ni kuwa wa bwana.
-
Kanisa basi ni kundi la watu walioitwa kutoka kwa ulimwengu, wanaokiri na kushuhudia na upendo kwa bwana Yesu kristo (Pearlman akasema akasoma kujuwa kanuni za bibilia1937)
-
Kanisa limeelekezwa kama ifuatavyo:
-
MWILI WA KRISTO.(wakorintho12:12-27, waefeso4:4)
-
Chombo, kitu kinachoishi sio tu kikundi.
-
Imetiwa nguvu kwa uhai wa kristo.
-
Kuna viungo vingi, kila moja na kazi yake.
-
HEKALU LA MUNGU. (waefeso2:20-22, 1 petro 2:5-6)
-
Mungu hudumu kanisani kwa roho wake.(1 wakorintho 3:16-17)
-
Wakristo kama kuwani (katika hekalu lake.) wanahitajika kutowa dhabihu ya maombi, sifa na matendo mema.
-
BI ARUSI WA KRISTO.
-
Yesu anapenda kujali na kulinda kanisa.
-
Kanisa la nyenyekea na kutii kristo kama mke anavyofanyia mume.
-
KAZI YA KANISA NI IPI?
-
Kuhubiri injili ya Yesu ili watu waokoke.(mathayo 28:19-20, timatheo 2:4)
-
Kupeleka maombi na sifa kwa Mungu.(Wakolosai 1:12, 1wathesolonike 5:16-18, 1petro 2:9)
-
Kufundisha wanafunzi wa kristo na kuendeleza ukomavu wa kristo kupitia neno la Mungu.(2 Timatheo 3:16-17,1petro 2:2)
-
Kupeana ushirika na:
-
Utakatifu wa utatu(wafilipi 2:1, 1yohana1:3)
-
Mmoja kwa mwingine (matendo 2:42, 1yohana1:3)
-
Kuhifadhi jamii kwa matendo ya uharibifu.(mathayo5:13-15)
-
Kuonyesha mamlaka na uteule juu ya ufalme wa giza.(luka10:18-20, waefeso1:15-20)
-
Baadhi ya faida za washiriki wa kanisa na ushirika wa wakristo.
-
Mapatano.(3:3)
-
Chanzo cha kuinuliwa.(luka22:32)
-
Hali ya faraja(warumi 1:12)
-
Wengine wanaweza kushiriki mzigo wako. (wagalatia 6:2)
-
Ufanisi wa kiroho(wakolosai 3:16)
-
Inamwezesha mkristo kushinda udanganyifu wa dhambi.(waebrania 3:13)
-
NINI ITIKIO LAKO?
-
Msiwache kukutana pamoja.(waebrania 10:24-25)
-
Upendo wa ndugu uendelee(waebrania 13:1)
-
Muungane katika roho na wakristo wengine mkiwa na wazo moja, mkipigana pamoja kwa ajili ya imaniya injili. (wafilipi1:27)
AGANO KATIKA DAMU.
-
AGANO KATIKA DAMU NI NINI?
-
Ni mkataba au makubaliano kati ya watu au sehemu mbili ambayo imefunikwa kwa umwagikaji wa damu.
-
Mkataba wa kuitisha unaojulikana na mwanadamu.
-
Inafanya kufunga kusio katika umoja.
-
Agano la kale sana kujilkana kwa mwanadamu.
-
Waandishi wengi wanaamini kuwa ilianzia shambani Edeni.
-
Mungu alichinja mnyama kufunika uchi wa Adamu na Hawa. (mwanzo 3:21)
-
Damu ya wanyama ilifunika dhambi zao. (waebrania 9:22)
-
Agano lisilo na kiwango.
-
Mambo yote, madeni, kutowajibika, talanta na mali imajumulishwa katika agano.
-
Deni lililokuwa la mtu mmoja inashirikishwa mwingine.
-
Mali iliyomilikiwa na mtu mmoja ,sasa inakuwa ya kushiriki na mwingine.
-
Maagano mengi siku hizi asili yake ni muda na kiwango.
-
Kwa mfano mkataba wa kupakia mtu rangi kwa nyumba yake, laiti kuwa pamoja na kazi ya stima.
-
Agano la damu, hata hivyo si la kipimo linalodhuru pande zote.
-
Mkataba usiovunjika.
-
Utakatifu kati ya watu wote wasioelewa.
-
Agano la damu ni la dunia yote na kujulikana na ulimwengu kwa watu wote.
-
Mahali ambapo huhusishwa madai ni kwamba haivunjiki.
-
Hukumu la kuvunja agano la damu ni kifo.
-
Jamii zinazomiliki zitamweka chini mtu anayevunja agano.
-
SABABU ZA KUINGIA KATIKA AGANO LA DAMU.
-
ULINZI.
-
Mtu mdhaifu au kabla kufanya agano na mwenye nguvu kwa ajili ya ulinzi.
-
Kumshambulia mtu mmoja wa agano ilikuwa kushambulia wote.
-
Watu wa upande mwingine wangelikuja kwa usaidizi wao.
-
Sababu ya biashara.
-
Watu wa biashara waingia katika agano ndipo mmoja asimnyanyase mwingine.
-
Wezi wakati mwingine hufanya agano kama hili kuhakikisha ulinzi kutoka kwa wenzao (mfano wa kisasa: mafia, mkaidi.)
-
Sababu ya upendo.
-
Upendo ndio sababu kuu ya kuingia agano la kujikata.
-
Yanayodhaniwa na Daudi, agano la kujikata kwa ajili ya upendo. (1 samweli 18:1-4)
-
Wakati mwingine kujikata kati ya waliokatika ndoa, kuwakilisha agano lisilovunjika.
-
NJIA ZA KUINGIA KATIKA AGANO LA DAMU.
-
Kukata viganja vya mikono na kusalimiana.
-
Mwanzo wa kusalimiana.
-
Mikono ilikatwa na rafiki kusalimiana, damu ikichanyika.
-
Kukata vifundo vya mikono na kuchanganya damu.
-
Kukata vifundo vya mikono kuchanganya damu katika kikombe cha divai.
-
Kila mhusika alikunywa da na divai iliyochanganywa.
-
Kinyume na maandiko.(walawi 17:10)
-
Iliaminika kuwa mwanzo wa kula njema ya mwanadamu.
-
Kubadilisha damu ya mnyama na mwanadamu ilfanyika katika agano la kale. Mungu alikubali damu ya wanyama kufunika dhambi za mwanadamu.
-
HATUA ZA KUINGIA KATIKA AGANO.
-
Hatua nne zilifuata.
-
Kubadilishana kwa mavazi: Mfano Yonathani na Daudi walibadilishana mavazi.(1 samweli18:3-4)
-
Kubadilishana silaha:
-
Hii ilionyesha nguvu zote na uwezo wa vita sio wa mtu mmoja.
-
Tunao uwezo na nguvu za Mungu juu yetu.
-
Silaha zote zaMungu zinapatikana kwetu.
-
Agano letu na Mungu linatupa haki zote za ulinzi zinazopatikana mbinguni.
3. Kubadilishana kwa majina.
a. Kila mmoja anakuwa na sehemu ya kushiriki katika jina la mwenziwe.
b. Watu walio katika agano wana mamlaka yote ya kutukia jina lao la agano( mfano katika ndoa mke huchukua na ana haki ya kutumia jina la mumewe.
c. Jina laYesu ni jina letu la agano.
4. Kumwaga damu kwa kujikata.
a. Neno la kiyuani lamaanisha kukata mahali hadi damu imwagike.
-
Umwagikaji wa damu ni muhuri wa agano.
-
Jivu au kitu kingine hutumiwa kwa kuangaliwa jina kuweka alama ya kuonekana. Hii alama inakuwa dhihirisho au agano.
-
Hii iltambulisha mtu kwa mwengine yeyote kuona.
-
Watu wanaoingia katika agano la kujikata huitwa wakuu au viongozi bali kwa jamii yote na vizazi.
5. Kupasuliwa kwa mnyama.
a. Mnyama alikatwa katika vipande viwili kama sehemu ya agano.
b. Vipande viliwekwa chini na watu hawa kupitia katika mfano wa namba 8. (mwanzo 18:8-21)
-
Kutangaza baraka na laana.
-
Kila mmoja angetangaza baraka na laana kwa mwenzake.
-
Baraka kwa kutii maagizo ya agano na laana kwa kutotii.
-
(Kumbukumbu la torati 28) Orodha ya baraka na laana.
-
Kuweka ukumbusho.
-
Wahusika walijenga jiwe la ukumbusho au kufanya chochote cha kuwakumbusha agano lao.
-
Mifano za kihistoria zilizotumika:
-
Jiwe kubwa.(mwanzo 31:44-45)
-
Mlima wa mawe.(mwanzo 31:46-51)
-
Jiwe ambalo mhusika aliandika agano.
-
Kubadilishana kwa kondoo au wanyama wengine.(mwanzo 21:28-30)
-
Upandaji wa miti kwa muda mrefu.(mwanzo 21:31-32)
-
Mmoja au yote ilifanyika.
-
Kula chakula cha agano.
-
Mkate na divai ni agano la kale.
-
Mkate unawakilisha mwili; nayo divai inawakilisha damu.
-
Si lazima kumaliza hatua zote nane. Yeyote mbili au zaidi inatosha.
-
AGANO LETU LA DAMU NA MUNGU.
-
Kwa nini ni ya muhimu kwamba tuna agano la Mungu?
-
Mungu alimfanya Adamu mtawala wa dunia hii.(mwanzo1:26-28)
-
Mungu alimpa mwanadamu uhuru wa kuchagua.
-
Adamu alichagua kutomtii Mungu.
-
Aliachilia mamlaka yake kwa shetani.
-
Roho yake alikufa na akatenganishwa na Mungu wa kiroho.
-
Pia roho ya maskini, magonjwa kifo ikiwa juu yake.
-
Mungu alihitaji ushirika na mwanadamu.
-
Alifanya mpango wa kumrudisha mwanadamu katika ushirika.
-
Katika Abrahamu, Mungu akampata mtu wa kumtii.
-
Mungu hangaliweza kumwangamiza Adamu na kuumba mwingine kutoka kwa vumbi.
-
Ulimwengu na vyote vilivyotayari vilikuwa vya shetani.
-
Mungu hangalitumia udongo tena- maana haikuwa yale ya Adamu.
-
Ilimbidi Mungu kumleta Adamu wa pili (Yesu kristo.)
-
Mungu alipata kwa Abrahamu mtu, wakafanyia kazi.
-
Mungu akaanza kushughulika na Adamu (mwanzo 12:1-6)
-
Abrahamu alikuwa na miaka 75 wakati Mungu alimtokea mara ya kwanza.
-
Mungu alimwambia Abrahamu kuwacha nyumba ya baba yake, nchi na jamaa zake. Mwishowe alitii na kuondoka.
-
Mungu alimahida Abrahamu vitu vingi. (mwanzo12:2-3)
-
Mungu Alifanya agano la damu na Abrahamu, kumalizia kile alichoanzisha.(mwanzo 12)
-
Agano la Abrahamu na Mungu.(mwanzo15:1-17)
-
Mungu alisema atakuwa ngao ya Abrahamu na karama yake kuu.(mwanzo15:1)
-
Abrahamu akamwambia bwana, Je, utanipa nini?(mwanzo15:2)
-
Mungu akamjibu (mwanzo15:5)
-
Abrahamu aliamini na akahesabika kuwa mwenye haki.(mwanzo 15:6)
-
Mungu kuelezea kile atamfanyia Abrahamu.(mwanzo 15:6)
-
Abrahamu aliuliza jinsi angalijuwa Mungu anaweza na kufanya hivyo.
-
Mungu alimwambia Abrahamu amletee ndama ya kike.
-
Haya ni mazungumzo ya agano la damu.
-
Agano la damu lilifahamika vyema katika aganop la Abrahamu.
-
Abrahamu alijuwa Mungu alikuwa akimaanisha.
-
Abrahamu alijua kuwa Mungu ataweka na kufuatilia neno lake.
-
Abrahamu alimleta mnyama na kumpasua mara mbili
1. Kufuga kwa ndege huwakilisha shetani akiiba neno.
2. Alikuwa akingoja mshiriki wake akitembea naye katikati ya vipande vya mnyama.
-
Abrahamu akalala usingizi mzito.(mwanzo 15:12)
-
Tunuru ifukayo moshi na mwenge uwakao moyo vilipita katikati ya vile vipande vya nyama.(mwanzo15:17)
-
Tunuru ifukayo moshi ni Mungu baba(ufunuo 19:18)
-
Mwenge uwakao moto ni Mwana wa Mungu(21:23)
-
Yesu alichukuwa nafasi ya Abrahamu na kutia muhuri agano.
-
Mungu angalikuwa, sasa ushirika ungelikuwepo wa mwanadamu kupitia kwa agano lake na Abrahamu.
-
Hii ilikuwa hatua ya kumleta Adamu wa pili (Yesu) katika ulimwengu.
-
Watu chini ya agano hili walikuwa na faida nyingi.
-
Kama wangalitimiza masharti, wangalipokea baraka za afya, ufanisi na maisha marefu(kumbukumbu la torati28:1-14)
-
Walipokea kwa sehemu kabla kusulubiwa. Tunapokea kwa sababu ya kusulubiwa.
-
Watu chini ya agano la Abrahamu hangalizaliwa upya na ama kujazwa na roho.
-
Walitazamia kusulubiwa na walihesabiwa kuwa wa haki.
-
Ubadilishaji wa majina ilikuwa hatua katika kufanyaagano la damu.
-
YHWH ni jina la Mungu katika kiyunani: sehemu muhimu ni herufi ’H’.
-
Mungu aliongezea ‘H’ kutoka kwa jina lake Abramu kulifanya Abrahamu, kumaanisha baba ya watu wengi.
-
Aliongeza ‘H’ kwa Sara kufanya iwe Sarah.
-
Mungu alibadilisha jina lake pia.
-
Baada ya kufanya agano na Abramu, alijiita Mungu wa Abrahamu.
-
Baadaye akaongeza Isaca na Yakobo kwa jina lake (kutoka 3:6)
-
Agano la Mungu na Abrahamu ni la kudumu.
-
Sisi tu Mbegu ya Abrahamu na waridhi. (wagalatia3:13, 14,29)
-
Hatungekuwa waridhi wa kitu ambacho hakidumuau hakipo.
-
Agano la Abrahamu lingali lipo bado halijapita.
-
Sheria ya Musa pamoja na dhabihu yake ya damu na ukali wote ilimalizika msalabani.
-
Hatuko tena chini ya sheria ya laana.
-
Sisi tu waridhi kwa ahadi kwa ajili yake Yesu.
-
Hatua nyingine katika agano la damu:Umwagikaji wa damu pande zote mbili.
-
Katika agano la Abrahamu, damu ya mwanadamu ilimwangwa.(mwanzo17:8,11,23)
-
Katika agano la pili na njema zaidi, damu ya Yesu ilimwagika, Yesu alimwaga damu yake msalabani.
-
Kutairi kulimkumbusha Abrahamu agano jipya.
-
Alipovaa, oga au kuonana na Sarah angalikumbushwa kuhusu agano.
-
Kutairi kulimkumbusha Abrahamu kuhusu vizazi vyake kwamba wana agano na Mungu.
-
Agano la damu lilimwezesha Mungu katika haki kumleta Adamu wa pili duniani.
-
Watu wawili katika agano wanakuwa na mali, talanta na uwezo sawa.
-
Kila mmoja angalidai chochote kutoka upande mwingine na atarajia kupata.
-
Mungu alidai dhabihu ya Isaca (mwanzo 22:2).
-
Mungu alijua Abraham angalipeana au toa yote.
b. Mungu alimjaribu Abrahamu na hakumpata akikosa.
c. Mungu aliona kujitoa kwake Abrahamu, kutoa yake yote na akahesabu kama amemtoa Isaac dhabiu ( waebrania 11:17).
d. Mungu alipeana kondoo kwa ajili ya dhabihu (Mwanzo 22:13}.
4. Abrahamu alikuwa tayari kutoa mwanawe wa pekee hivyo basi Mungu kama mwenzake wa agano hangalisita.Mungu alimtuma Yesu kufa msalabani kwa sababu mwenzake wa agano Abrahamu alikuwa tayari kumtoa dhabihu mwanawe wa pekee.
BIBILIA INA AGANO MBILI: LA KALE NA JIPYA.
A. Agano la kale lilikuwa kati ya Mungu na Abrahamu.
B. Sheria iliongezwa wakati wa Musa.
1. Sheria inapatikana katika kitabu cha Kutoka na ni orodha ya fanya au usifanye.
2. Kitabu cha Walawi ni orodha ya dhabihu ya kawaida ya dini wakati sheria ilivunjika.
a. Kwa kufuata dhabihu na kawaida za dini ,dhambi zilifunikwa.
b. Ni dhabihu ya damu pekee ndio ilifunika dhambi,haikuondoa.
c. Ni damu ya Yesu pekee ingaliondoa dhambi.
C. Chini ya sheria, damu ya ng’ombe na mbuzi ilitumika kufunika dhambi.
1. Kila wakati watu wangalitenda dhambi, walihitajika kufanya dhabihu iliyo sawa kufunika hiyo dhambi.
2. Kulikuwepo na aina tano ya dhabihu au sadaka chini ya sheria (Walawi 1:7).
a. Sadaka ya kuteketeza,sadaka ya chakula, sadaka ya amani,sadaka ya kosa na sadaka ya dhambi.
b. Hii ilihitaji kurudiwa kila wakati dhambi inapofanyika.
3. Sheria ilikuwa hatua ya muda.
D. Mungu alipanga kumtuma Yesu kutoka Mwanzo.
1. Yesu Kristo alikuwa Mwana Kondoo asiye na alama wala, aliyeuwawa kabla ya misingi ya dunia.(1 Petero 1:19-20).
2. Mungu alijua mwanadamu angalipungukiwa ,ndipo alikuwa na mpango wa wokovu tayari.
3. Sheria pamoja na kawaida za dini na dhabihu zilipeanwa kuonyesha mwanadamu kwamba angalipungukiwa kila wakati.
a. Ilionyesha mwanadamu kwamba alihitaji neema ya Mungu.
b. Ilionyesha mwanadamu hangaliweza kufanya matakwa ya Mungu kwa uwezo wake.
c. Ilimwelekeza mwanadamu kwa msalaba na kwa hitaji la Mwokozi.
d. Hakuna mwanadamu ambaye angalitimiza sheria zote.
7. HAJA YA MWANADAMU KUWA NA MWOKOZI
A. Yesu aliazimiwa kufa kabla ya misingi ya dunia (1petero 1:19-20)
B. Mungu alimtuma Yesu kwa wakati ufaao na kufa msalabani (Wagalatia 4-4).
C. Mwanadamu alikuwa ametenda dhambi:Hivyo basi mwanadamu angalikufa kwa kumurejesha mwanadamu.
1. Sio tu mwanadamu yeyote angalifanya .
2. Mkombozi alihitajika kuwa mtu aliyehuru kutokana na asili ya dhambi.
3. Ni Yesu pekee ,mtu mkamilifu na Mungu mkamilifu angalifanya.
a. Kama damu ya mwanadamu ingalikuwa ya kutosha,basi Abrahamu angalimtoa Isaca dhabihu.
b. Damu yake Isaca haikuwa ya kutosha.
4. Ilikuwa damu Imwagike, lakini damu huru na dhambi.
5. Damu ya mwanadamu hutolewa na mbegu ya mume.
a. Damu ya Yesu ilipeanwa Na Mungu.
b. Damu ya Yesu ilikuwa huru na asili ya dhambi, hivyo dhabihu iliyokubalika.
8. TUNALO AGANO NJEMA KWA AJILI YA YESU
A. Agano njema pamoja na ahadi njema (Waebrania 8:6)
1. Agano la kale halikuwa kamilifu (Waebrania 8:7).
2. Halingempatanisha mwanadamu kikakamilifu na Mungu.
3. Sheria ilikuwa ni uamuzi wa mda kuonyesha dhambi zake na hali yake ya kutokuwa na uwezo wakutimiza matakwa ya Mungu.(Wagaratia 3:24-25).
Do'stlaringiz bilan baham: