Mungu mkuu wa mipango


B. Yesu alikuja kutimiza sheria (Mathayo 5:17-18)



Download 1,15 Mb.
bet9/13
Sana24.06.2017
Hajmi1,15 Mb.
#14917
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   13

B. Yesu alikuja kutimiza sheria (Mathayo 5:17-18).

1. Yesu alitimiza sheria na kuimaliza.

a. Sheria iliongezewa tu mpaka mbegu ilipokuja.(Wagaratia 3:19).

b. Yesu, ambaye ni mbegu,alikuja alikuja na kumaliza sheria.

2. Yesu alipokwisha kumwaga damu ,dhabihu ya wanyama haikuwa muhimu tena.

3. Kwa nini kujaribu kufunika kile tayari kimefutwa?



C. Agano la Abrahamu lingali na uwezo.

1. Agano ambalo Mungu alifanya na Abrahamu lilikuwa la kudumu.

2. Agano haliwezi kuondolewa kabla halijakamilishwa

3. Wakolosai 2:14.

a. Yesu aliyafuta maandishi yote ya mkono kinyume nasi.

b. Agano la Abrahamu si kinyume, bali sheria ni kinyume.

c. Aliondoa sheria njiani na kuiweka msalabani.

d. Tuko huru kutoka kwa laana ya sheria.



D. Agano la Abrahamu litakamilika kwa kurudi kwa pili kwake Yesu.

1. Yesu atakaporudi nchi yote iliyoaidiwa Abrahamu katika (mwanzo 15) itarejeshwa.

2. Hii itatimiza ahadi zote za agano.

3. Agano litaondolewa.

4. Tutaenda katika miaka elfu (Millenia) ya kutawala na Yesu Kristo.

5. Agano la Abrahamu litabadilishwa maana halitahitajika tena.



9. AGANO JIPYA NI LA DAMU.

A. Agano la kale lilifunikwa na damu ya mwanadamu Abrahamu (katika kutahiri)

B. Agano jipya limefunikwa na damu ya Mungu-Yesu (msalabani).

C. Umwagikaji wa damu ni muhimu kama sehemu ya agano.

1. Agano jipya ni heri maana ilifunikwa kwa damu ya Mungu.

2. Damu ya Yesu ilikuwa gharama pekee ya kutosha kulipa deni ya dhambi za mwanadamu.

D. Hatua nane za kuwezekana katika agano: Yesu alitimiza yote.


  1. Yesu alibadilisha mavazi na dhambi (Isaya 64:6, Warumi 3:23).

a. Yesu aliyechukuwa mavazi yetu yasiyofaa na yasiyo haki na akatupa mavazi yake safi ya haki ( 2 Wakorintho 5:21).

b. Kutofaa kwa kwetu, mavazi yenye dhambi sasa yamekuwa safi.



  1. Tunapokea silaha za Mungu.(waefeso 6:13-17)

a. Tuna silaha ya Mungu kama agano.

b. Lazima tuvae, lakini ni zetu.



  1. Yesu alimwaga damu kudhibitisha na kufanya agano.

  1. Umwagikaji wa damu ni muhimu katika agano.

  2. Pasia katika hekalu ilipasuka Yesu alipokufa kuonyesha kwamba hakuna tena hakuna mpaka au kutenganishwa kati ya Mungu na mwanadamu.(mathayo:27:51)

  3. Damu ya Yesu ilirejesha tena ushirika wetu na Mungu.

  4. Lawama juu ya mwanadamu iliondolewa mara moja na mwisho.

  5. Yesu alikuwa mwana kondoo wa pasaka ya milele.

  1. Baraka na laana.

  1. Yesu alifanyika kuwa laana ili zije kwetu.(wagalata 3:13)

  2. Yesu aliteseka kwa kuchua magonjwa, maradhi na mateso yote ili tusiyapate.(isaya53)

  3. Alitenganishwa na Mungu ndipo tuweze kuwa na ushirika naye.

  4. Aliteremka kuzimu ili kuweza kwenda mbinguni.

  1. Kubadilisha kwa jina.

  1. Katika agano, wahusika wana haki ya mmoja ya kutumia jina la mwenzake.

  2. Jina la Yesu ni jina la agano.

  3. Tunahaki ya kutumia jina la Yesu na kupokea haja na tamaa zetu.

  1. Kuweko ukumbusho.

  1. Yesu alitupa ushirika na meza ya bwana kama ukumbusho wake.

  2. Kila wakati tunaposhiriki meza ya bwana, tunakumbuka kufa na kufufuka kwake.(1wakorintho 11:25-26)

  1. Kupasuliwa kwa mnyama.

  1. Hatua pekee Yesu hakutimiza.

  2. Damu yake ilitosha. Damu ya wanyama haikuhitajika.

  1. Chakula cha agano.

  1. Meza ya bwana ni chakula cha agano.

  2. Mkate na divai.(Chakula la agano kiasili)

  3. Yote kufanana na yale Yesu alifanya.

  4. Katika asili ya wayahudi, mifuko mitatu zilizojaa mikate ziliwekwa mezani.

      1. Yesu alichukua mkate kutoka katika mfuko wa katikati (kama ilivyo desturi) na kuumenga.

      2. Wayahudi walidhani mkate uliwakilisha Abrahamu, Isacah na Yakobo. Hawakujua kwa nini Isaacah ndiye aliyevunja.

      3. Mkate unawakilisha baba, mwana na roho mtakatifu.

      4. Yesu alivunja mkate katikati bkuonyesha mwili wa mwana uliovunjika.

  1. Katika asili na desturi ya wayahudi, palikuwepo na vikombe vinne katika meza. Tatu zilijaa na moja tupu ikwekwa chini.

  1. Vikombe vilivyojaa viliwakilisha Abarahamu, Isacah na Yakobo. Ilhali kile kitupu ni Messiah.

  2. Yesu alichukua kikombe cha Messiah akajaza na kukinywea.(mariko14:36)

  3. Katika lengo hili alikuwa akisema mimi ndiye Messiah.

  4. Hii ilikuwa wazo kwa wanafunzi wake.

  1. Hatua nyingine ya agano ilikuwa kupaka jivu pahali palipo katwa kuonyesha alama.

  1. Kutairi kwa wayahudi kuliwaweka alama kama watu wa agano.

  2. Siku hizi alama yetu ya agano ni roho mtakatifu.(2wakorintho 1:22, waefaso1:13, 4:30)

    1. Tuna agano na Mungu iliyotiwa sahihi na damu ya Yesu.

  1. Yesu alipolia, imekwisha, neno alilotumia lilikuwa ‘Tetelesti’ Hii ilikuwa kulia kwa mkuu wa jeshi la Warumi anapotazamia vitu kutoka juu ya mlima. Alipoona upande wake ukiendelea kushinda, alilia hivyo kujulisha askari wake kwamba ameshinda.

  2. Askari wengi wa kirumi walikuwa karibu na msalaba. Mmoja wa askari aliyesikia kilio hiki alisema ‘Hakika huyu alikuwa mwana wa Mungu.’ Hangeweza kuelewa kwa nini mtu anayekufa msalabani angelipasa kilio cha ushindi kama mkuu wa kurumi. Kwa hayo alisema huyu ni mwana wa Mungu.(mathayo 27:54)

  3. Alikuwa ameshinda vita.

  1. Kilichosalia kilikuwa kukaa siku tatu mchana na usiku kuzimu.

  2. Alijua ameshinda.

  3. Angalilia ushindi kwa sababu kwa ufanisi alikuwa amemaliza kazi yake.

  4. Yesu alimrejesha mwanadamu kwa Mungu.


TABIA YA MUNGU.

    1. 1. CHANZO CHA UFUNUO.

    2. A. Je, unaweza kugundua siri zake Mungu?(yakobo:117)

    3. b. Ni jinsi gani Mungu amejitambulisha?

    4. 1. Ufunuo wa jumla- Katika asili na kihistoria (zaburi 19:1-6, warumi 1:8-20)

    5. 2. Ufunuo maalumu- Kupitia kwa Yesu na bibilia.(luka 24:27,yohana 1:18, 5:39, 14:9)

    6. 2. SIFA ZAKE MUNGU.

    7. A. MUNGU MKUU- Sifa inayomwezesha Mungu kwa kujua kila kitu sasa, kale na zijazo.

  1. 1. Mungu anaajikwa yeye mwenyewe na kila kitu kwa ukamilifu tangu mwanzo. Ziwepo au zisiwepo.

  2. 2. Hapo kale(baba, mwana na roho mtakatifu) wanamaarifa ya mmoja kwa mwingine(mathayo 11:27,1wakorintho2:11)

  3. 3. Mungu anajua vitu vyote visivyo na hata vilivyo na uhai.(zaburi 23:13-16) mawazo na mioyo ya wanadamu (zaburi 139:1-40)

  4. mizigo na kukata kwa wanadamu(kutotka 3:2, mathayo6:8)

  5. 4. Mungu anajuwa mambo ya usoni. Kujua mbele si kutenda, matendo yajayo hayafanyiki kwa kuwa yanajulikana. Lakini yanaonekana/ kujulikana kwa maana yatafanyika.

  6. 6. Mungu anajuwa kwa kuendelea na kuona vitu mara moja kwa ujumla wao, moja baada ya nyingine na sio kwa vipande.

  7. B. Mungu wa uwepo. Sifa inayomwezesha kwa kujaza dunia na sehemu zake zote na ako kila mahali kwa wakati mmoja.

  8. 1. Mungu kwa ukamilifu si sehemu yake, ako kila mahali.

  9. 2. Si vile miungu wanafundisha kwamba kila kitu ni sehemu ya Mungu (mfano kiti ambacho umekikalia ni sehemu ya Mungu ama kalamu unayotumia, lakini Mungu yuko kila mahali na yeye ni mmoja kwa uumbaji wake.

3. Ingawa Mungu yuko kila mahali, kuna viwango vya kudhihirisha uwepo wake.

4. Kanuni hii niyakufajiri pia ya kushangaza kwa mkristo uwepo wa Mungu uko kusaidia (kutoka 4:7, zaburi 46:1, mathayo 28:20) kwa mwenye dhambi inamaanisha haijalishi jinsi anavyo jaribu kwa juhudi hawezi kumtoroka Mungu.(zaburi 129:7-12)



C. Mungu wa nguvu:sifa inayotambuanguvu za Mungu kutenda anvyotaka.

1. Mapenzi ya Mungu ya Mungu yamepimwa kwa asili yake.Hawezi kufanya chochote ambacho ni kinyumena asili yake.

a. Mungu hawezi kusema uongo.(tito1:2)

b. Mungu hawezikuharibu. (kujikana mwenyewe.) 2 tito2:13.

c. Mungu hawezi kuangalia dhambi kwa kupendelea.

d. Mungu hawezi kufanya makosa.

e. Mungu hawezi kufanya kitu chochote cha ujinga ama kujirudia mwenyewe kama kufanya mraba kuwa duara, ama mbili kuongeza kwa mbili upate sita ama kufanya uongo kuwa kweli.

2. Mungu hatawaliwi kwa nguvu zake, uwepo wa nguvu haudai zoezi la hizo nguvu. Ana nguvu juu ya nguvu zake la sivyo angelikoma kuwa huru na kufanya jinsi anavyopenda.

3. Nguvu zina uwezo wa kuwa na kiwango. Mungu alijiwekea kiwango kwa hali ya kupeana uhuru wa hiyari kwa viumbe vyake. Hii ndio sababu hakuondoa dhambi duniani, kwa sababu ya kuonyesha nguvu zake na kwa nini haokowi kwa kuzalisha.

4. Mungu humiliki nguvu zote na pia kuamuru nguvu.

a. Nguvu zote ni wakati Mungu hufanya kazi kama kutenda miujiza na uumbaji wa kitu kutoka kwa kitu kisichoonekana.

b. Kuamuru nguvu wakati Mungu anapofanya kazi kupitia njia au hali mbili kama hali ya kupanda na kuvuna.

5. Maelezo na mifano katika bibilia.

a. Kuna kitu ngumu kwa bwana?(mwanzo 18:14)

b. Najua kwamba waweza kila kitu, lolote unalokusudia haliwezi kuzuiliwa.

c. Mwenyezi Mungu hufanya chochote anachotaka mbinguni, viwandani, baharini na vilindini.(zaburi 135:6)

d. Wakati wote wa dunia si kitu: atakavyo na viumbe vya mbingunik, na wazi kwa dunia, hakuna awezaye kumpinga au kusema unafanya nini?

6. Chanzo cha faraja kuu na tumaini kwa mkristo kwa mwenye dhambi ni mkuu sana.

a. Mungu sio wa tahadhari na chanzo cha uwoga. (1petro 4: 17, ufunuo 6:15-16)

7. Hata pepo hutetemeka(yakobo2:19) wakati moja hata wenye uwezo na wakuu watatafuta kujificha mbali naye( ufunuo 6:15) kila goti litapigwa na kuinama kwa jina la yesu(wafilipi 2;10)



D. KUTOBADILIKA: Sifa ya Mungu kwa utatu inayomfanya asibadilike na kubadilishwa.

1. Mimi ni mwenyezi Mungu, mimi sibaldiliki.(malaki3:6, zaburi 33:11, yakobo 1:17)

2. Kubadilika kwa mwanadamu kunaweza kuwa kwa mema au mabaya kwani yeye ni Mungu mtakatifu.

3. Na je, kuhusu vifungu kama (mwanzo 6:6, kutoka 32:14 na yohana 3:10) inayosema Mungu alighairi na kubadilisha mawazo yake.

a. Mungu hubadilika kulingana na tabia yake(zaburi 102:26-27) au lengo lake (zaburi 33:11)

b. Ili kusalia mwenye ukweli katika tabia yake na lengo ambalo haliwezi kubadilika. Mungu hubadilika katika hali yake ya kushughulikia mwanadamu kwa hali inayobafilika (mfano ninawi)

4. Yesu kristo ndiye yule jana, leo na hata milele. (waebrania 13:8)

3. SIFA ZA MUNGU ZENYE ADILI.

A. UTAKATIFU: Sifa ya Mungu kwa utatu ambayo inawezesha kuwa na mapenzi ya milele na kutunza viumbe vyake vitakatifu

1. Inayonyesha kutenganishwa kwa Mungu na ufahamu wake ju ya uumbaji wake.

2. Umilele wa tabia yake isiyo na alama. Ametenganishwa kutoka kwa maovu na dhambi. Kwa mfano kuwa an afya ni zaidi ya kuwa mgonjwa. Kadhalika utakatifu ni zaidi ya kutokuwepo dhambi. Ni hali ya afya, hali isiyo na shaka ya kuwa haki. (walawi 11:44, 1 petro1:15)

3. Mwenyezi Mungu akamwambia, usije karibu, vua viatu vyako kwa sababu mahali unaposimama ni pahali patakatifu (kutoka 3:5)

4. Kwa sababu ya utakatifu wake Mungu hawezi kuwa na ushirika na dhambi.

5. Hali ya mwanadamu kuhusu utakatifu wa Mungu ni akili ya kutoonyesha na fahamu ya kutokuwa na sifa (isaya 6:5)

6. Utakatifu ni sifa yake Mungu ambapo alitaka zaidi ajulikane katika agano la kale.

a. Neno hili limetumiwa zaidi ya mara 830 katika agano la kale.

b. Utakatifu ulisistiza kwa ugawaji wa hema na hekalu kuwa mahali patakatifu na pawatakatifu.

c. Utakatifu ulisistiza kufuata kanuni za sheria za sherehe, matoleo, ukuwani, karamu na sheria kuhusu kutokuwa safi.(walawi 1:5, 23)

d. Utakatifu ulionekana kwa matendo ya sheria kupitia kwa ufahamu wa mwanadamu na kwa Yesu kristo mtakatifu na mwenye haki.(matendo ya mitume 3:14)

7. Utakatifu wa Mungu, unatufundisha:

a. Kunakutenganisha(shimo kubwa kati ya Mungu na wenye dhambi.(isaya 59:1-2)

b. Mwanadamu kwa juhudi zake hawezi kupota maisha ya kutokuwa na dhambi anayohitaji kwa kuendea Mungu.

c. Bila msamaha ambapo hakuna kuepuke kwa hukumu.

d. Mwanadamu yafaa kumwendea Mungu kwa heshimana na kumcha, maana Mungu wetu ni moto huchoma(waebrania 12:28,29)

8. Kila utakatifu wake ulidai, upendo wake uliopeana (warumi 5:6-10)

B. WEMA: Kwa njia yeye ni kama vile yampasa Mungu kuwa. Kwa ukamilifu anafaa kuwa jinsi inavyo maanisha kwa Mungu.

1. Kwa kuwa Mungu ni mwema hushughulika kwa wingi na kwa upole na viumbe vyake vyote.(zaburi:145:9-16)

2. Kwa maana Mungu ni mwema anapenda bila masharti.

a. Mungu ni upendo.(1yohana 4:8)

b. Upendo unatafuta wema wa kila wa kila alichopenda.

c. Mungu anapenda kupita kiwango ambacho mwanadamu anaweza kufahamu.(1yohana 4:8-10)

d. Tabia za upendo( 1 wakorintho 13:4-8)

e. Chanzo cha faraja kwa mkristo.

1. Atafanya mambo yote kwa wema wa mkristo(warumi 8:28-39)

2. Yeye ni baba anayefahamu vitu ambavyo watoto wake wanahitaji(mathayo 6:8)

3. Anapeyana bure vitu vyema kwa watoto wake(warumi 8:32);Yakobo 1:12)

4. Kwa sababu Mungu ni mwema, yeye ni wa huruma.

a. Huruma ni wema wa Mungu unaonyesha kwa wale waliofinyika.

b. Mungu ni wingi wa huruma( waefeso 2:4)Amejawa na rehema na huruma (yakobo 5:11)Na ana huruma kuu 1 petero 1:3)

c. Huruma (rehema)humvumilia yesu.

1. Pepo gerase(luka 8:28-39)

2. Kupokonya kwa mwenye ukoma(mariko 1:40-41)

5. Kwa kuwa Mungu ni mwema, yeye ni wa neema.

a. Neema ni wema wa Mungu unaoonyesha kwa wale ambao hawasitahili

b. Neema ya Mungu huokoa mwenye dhambi licha ya makosa yake.

c. Neema ndio chanzo cha baraka zote zilizowekwa juu ya wenye dhambi(waefeso 2:8-9)

d.Yesu alionyesha neema wakati wa kushughulikia mwanamke aliye patikana kwa usherati(yohana 8:1-11)


6. Kwa kuwa Mungu ni mwema, yeye ni mwenye kuvumilia.

a. Lakini wewe Bwana ni Mungu wa rehema na huruma yeye ni mvumilivu , mwingi wa fadhili na uaminifu (zaburi 8b:15)

b. Mungu huvumilia sana na wenye dhambi.Licha ya wao kuendelea na kutotii.

c. Kuvumilia kwa Mungu kunasaidia kuwaongoza wanadamu kwa toba na haisitahili kutafsiriwa kama kuchelewa (2 petero 3:3-9)



C. HAKI NA UNYOOFU.

1. Haki na unyoofu ndio msingi(maskani)ya enzi lake(zaburi 89:14; zaburi 97:2)

2. La hasha. Hakimu wa dunia yote hataacha yaliyo sawa ( mwanzo 18:25)

3. Inasemekana ya kwamba serikali ya adili imewekwa duniani na Mungu kwa msingi wa sheria za haki na zifao.

a. Unyoofu wa ujiza-ugawaji wa zawadi/vipawa (2 mambo ya nyakati 6:15;

b. Unyoofu wa kuadhibu na kupasha adhabu.(mwanzo2:17, kutoka 34:7)

4. Mungu hawezi kutengeneza sheria na kuweka hukumu na akose kufuatilia kama sheria haijafuatwa.

5. Unyoofu hudai adhabu ya mwenye dhambi ya mwingine kama jinsi ilivyo katika (isaya 53:6, warumi 5:80

6. Haki na unyoofu wa Mungu hufunuliwa kwa

a. Adhabu yake kwa waovu. (ufunuo16:5-9)

b. Kutetea watu wake kutoka kwa watu wabaya.(zaburi129:1-5)

c. Kusamehe wakristo dhambi zao.(1yohana1:9)

d Kuweka ahadi yake kwa watoto wake.(waebrinia 10:23)

e. Kuwalipa waaminifu (waebrania 6:10)

7. Kazi ya adhabu.

a. Kutunza unyoofu.

b. Kurekebisha mwanadamu na jamii.

8. Haki na unyoofu wa Mungu huhimiza mkristo kwa anajuwa Mungu huhukumu kwa haki na hivyo basi ana hakika kwamba vitu vyote vya haki amefanya havitokosa kujulikana (methali 19:17)



4. MAELEZO KUMHUSU MUNGU.

Mungu ni roho, hana mwisho, ni wa milele habadiliki katika hali yake, mataifa, nguvu, utakatifu, unyoofu na ukweli.(mtungo wa mhuduma wa magharibi.)



  1. TABIA YA MUNGU IMEJULIKANA KUPITIA KWA MAJINA YAKE.

A. Maana ya jina la mwanadamu liko katika bibilia.

1. Kujua jina la mtu ni kujua asili

2. Tabia ya mtu ilijulikana kupitia jina lake. Kubalisha kwa jina kukimaanaisha kuliitikia kubadilisha tabia, hali ya kazi. (kwa mfano Simoni alibadilishwa kuwa Petero katika (mathayo 16:17-18)

3. Wakati mmoja anapopeana jina kwa mwingine anaanzisha uhusiano wa utawala au kumiliki. (mfano Adamu kuwapa wanyama majina)

4. Mwanadamu anaweza kupeana jina kwa vitu anavyoshinda au kumiliki kama mji au taifa.(2 samweli 12:28, zaburi49:11)

5. Jina na mwenyewe ni kitu kimoja haviwezi kutenganishwa.

6. Kwa hivyo kujua jina la Mungu ni kujua tabia na kumiliki nguvu, uwezo, ujasiri na uwepo wa Mungu mwenyewe.

7. Jina na mamlaka: jina la Yesu ni mamlaka yake aliyopewa mwanadamu ili waweze kufanya miujiza, kuhubiri na kuomba kwa baba (mariko:16:17, matendo ya mitume 4:7) Yesu alitupa nguvu za uwakili kutenda kwa niaba yake.



B. Majina yake Mungu yamefunuliwa kama vyombo vya hali yake, tabia na kazi.

1. El au Elohim: Utafsiri Mungu na mmoja wa kuabudiwa.

a. Maana yake hujumlisha:

1. Kuwa hodari.

2. Kuwa na kiasi cha udhibiti.

3. Kumiliki uwezo wa pamoja.

a. Itatumiwa mahali ambapo uimbaji na nguvu kuu za Mungu zimetajwa.

b. Njia ya wingi si uwazi kwa utatu.

c. Humtaja Mungu kwa nguvu zilizo tawala ambazo za simama nyuma na mbali kwa asili.

D Elshadai- Mungu mkuu- kuonyesha uwezo na udhabiri kimbilio la kutegemea na nguvu isiyong’olewa

2. Yehova(Yahweh) Bwana.

a. Jina la agano la Mungu.

b. Kutoka kwa neno la maana kuwa (kutoka3:13-14)

c. Inaonyesha kwamba mungu ni wa milele. Aliyekuwa na atakayekujaa.

D Jina ambalo lilikuwa na ukuu kiasi cha waandishi kujizuia kulitamka

3. Yehova Rabii. Yehova mchungaji wangu.

a. Bwana alichukuliwa kama mchungaji katika agano la kale.(zaburi23:1, 80:1)

b. Agano jipya: Yesu mchungaji mwema aliyetoa uhai wake kwa ajili ya kondoo.(yohana 10:11)

c. Hitaji la mwanadamu kuwa na mchungaji.

1. Kondoo hawawezi kujishughulikia wenyewe.

2. Maskini akili si rahisi kupotea.

3. Wamo katika hatari ya kushambuliwa na wanyama wabaya na wezi.

4. Ni sawa na wanadamu wanauzoefu wa kupata ajali.

d. Uhusiano kati ya mchungaji na kondoo.

1. Binafsi na hekima ya mmoja kwa mwingine.

a. Huita kondoo wake kwa jina(yohana 10:3) Yesu anakuita kwa jina.

b. Kondoo wake wanajuwa sauti yake.(yohana 10:4)

c. Anaangalia kutokuwepo na kondoo mmoja(mathayo 8:12-13)

d. Hakuna mchungaji mwanadamu aliye kuwa na hekima ya karibu ya kujua kondoo wake kama Yesu(yohana10:14)

2 Huongoza kondoo wake(zaburi 23:3, yohana 10:4)

a. Hawajui njia, naya njia ni nyembamba na hatari.

b. Anaongoza waongoza ili wasitangatange bila mpango lakini wameelekezwa mahali.

3. Hurejesha kondoo anyeenda kando.

a. Kondoo aliyeenda nje ya wengine hawezi kujisaidia.

b. Mchungaji lazima ampate kondoo na kumrudisha zizini.

c. Ndivyo ilivyo na mchungaji wetu Yesu (zaburi 23, isaya53:6)

4. Sababu kuwa baba yetu ana wana wengi haimaanisha yu ajali wengina na kutojali wengine.

5. Mchungaji mwema hataki kuona kuumia kwa wadogo wake.(mathayo 18:12-14)

6. Mchungaji mwanadamu hujali tu kondoo wakati wa hitaji maalumu.

1. Kuvuka katika njia za maji, mito na maisha.

2. Kujali kondoo aliyemgonjwa na kujeruhiwa.

a. Tiba ya kawaida aliyotumia ilikuwa mafuta ya halzeti/ mwituni.

b. Umenipaka mafuta kichwani pangu. (zaburi23:5)

c. Msamaria mwema. (luka 10:30-37) na uponyaji wa ugonjwa(yakobo 5:14) ni mifano mwili katika agano jipya.

7. Tabia za mchungaji: ni kuwa na nguvu ujasiri usio na uwonga na umilivu na upendo.



4. Yehova Rapha. Bwana anayekuponya(kutoka 15:22-26, zaburi 107:20)

a. Hakuna aliye na mamalaka ya kubadilisha majina ya Mungu mkombozi hawawezi kusema siku hizi haponyi.

b. Kuponya ni mapenzi ya Mungu kwa wote.

1. Imesemekana kwamba imani huanzia mahali mapenzi ya Mungu hujulikana.

2. Ni mapenzi yake(mfano uponyaji wa mwenye ukoma katika mariko 1:40-41)

3 . Uponyaji ni sharti katika agano na faida.(kumbukumbu la torati 7:15, zaburi103:1-5)

4. Mpango wa Mungu kamilifu kufunguliwa katika huduma ya Yesu.

a. (mathayo 4:24,9:35,10:1,12:15,14:14,34-36, mariko 1:40-41)

5. Mpenzi wangu, nakutakia mafanikio mema ya kila aina na kutakia afya njema ya mwili kama ulivyo nayo rohoni

C. Uponyaji katika msamaha.

1. Soteria: neno la kiyahuni maana yake wokovu, kumaanisha ukombozi, uponyaji kuhifadhiwa afya na salama

2. Neno la kiyunani maana yake kuokolewa na kuponywa, kumaanisha kufanya salama au uzima.(warumi 10:9)

3. Kukombolewa kwa sheria (wagalatia 3:13)

4. Kwa mapigo yake tumepona.(isaya53:4, 1petro 2:24)

5. Nyoka ya shaba.(hesabu 21:9)

D. Mafundisho ya hongo. Kuhusu mwiba wa Paulo nikizuizi kwa uponyaji (2 wakorintho 12:7-10)

1. Mwiba mwilini, ni mifano wa usemi.

2. Hakuwahi kutumia katika bibilia kupelekea ugonjwa (hesabu 33:55, yoshua 23:13))

3. Neno la kiyunani ‘ angeles’ kutumiwa mara 188 na kwa kila hali lasimamia mtu si kitu.

4. Paulo akatambua mwiba mwilini. Alikuwa mjumbe kutoka kwa shetani.

6. MAJINA SABA YA UKOMBOZI WA MUNGU.

Haya majina yanaeleza baraka zilizopatikana kwa njia ya msalaba.



      1. Yehova Shammah- Bwana ambaye yuko.(ezk48:35)

      2. Yehova Shalom- Bwana wa amani.(mwamuzi 6:24)

      3. Yehova rohi- Bwana mchungaji wangu.(zab23:1)

      4. Yehova Jire- Bwana anaona/ peana (mwa22:14)

      5. Yehova Nisii- Bwana bendera yangu/ ushindi((kut 17:8-15)

      6. Yehova Tsidkenu –Bwana wa haki yetu.(jer23:6)

      7. Yehova Rapha- Bwana anayeponya.(kut15:26)

    1. 7. MAJINA MENGINE.

    2. A. El- elyon- Mungu aliye mkuu sana(mwa14:18-20)

  1. El-olam- Mungu wa milele.(mwa21:33)

  2. Abba- Baba.(war8:18)


USIMAMIZI WA MKRISTO.

    1. MTAZAMO BORA.

      1. Dunia na vyote viliomo ni vyake mwenyezi Mungu (zab24:10

      2. Sisi tu wasimamizi walioaminiwa na majukumu ya vitu vya Mungu.

      3. Yesu alisema mengi kuhusu majukumu.

  1. Mfano wa talanta.(math25:14-30)

      1. Mungu hupeana gharama na majukumu tofauti.

      2. Mungu anategemea utumie majukumu na raslimali na uwezo ulionao kwa uaminifu.

      3. Usimamizi wema hutuzwa na jukumu kuu lakini Mungu atachukua kutoka kwa msimamizi mzembe kila alichonacho.

2. Msimamizi mwema na mbaya.(lk12:3-40)

a. Msimamizi hayuko huru kufanya apendavyo maana atapeana hesabu.

b. Muda ni mfupi, bwana aweza kurudi wakati wowote.

3. Msimamizi asiye haki.(lk16:1-3)

a. Yatupasa kuwa na bidii na kumaanisha kutafuta vitu vya Mungu kama vile mwenye dhambi anavyofuata vitu vya dunia.

b. Tumia maji na vitu ulivyo navyo kufanya watu waingie mbinguni.

c. Yeye aliyemwaminifu kwa vidogo anaweza kuwa mwaminifu kwa vingi.

d. Hauwezi kutumikia bwana wawili kwa wakati mmoja.



Download 1,15 Mb.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   13




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©hozir.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling

kiriting | ro'yxatdan o'tish
    Bosh sahifa
юртда тантана
Боғда битган
Бугун юртда
Эшитганлар жилманглар
Эшитмадим деманглар
битган бодомлар
Yangiariq tumani
qitish marakazi
Raqamli texnologiyalar
ilishida muhokamadan
tasdiqqa tavsiya
tavsiya etilgan
iqtisodiyot kafedrasi
steiermarkischen landesregierung
asarlaringizni yuboring
o'zingizning asarlaringizni
Iltimos faqat
faqat o'zingizning
steierm rkischen
landesregierung fachabteilung
rkischen landesregierung
hamshira loyihasi
loyihasi mavsum
faolyatining oqibatlari
asosiy adabiyotlar
fakulteti ahborot
ahborot havfsizligi
havfsizligi kafedrasi
fanidan bo’yicha
fakulteti iqtisodiyot
boshqaruv fakulteti
chiqarishda boshqaruv
ishlab chiqarishda
iqtisodiyot fakultet
multiservis tarmoqlari
fanidan asosiy
Uzbek fanidan
mavzulari potok
asosidagi multiservis
'aliyyil a'ziym
billahil 'aliyyil
illaa billahil
quvvata illaa
falah' deganida
Kompyuter savodxonligi
bo’yicha mustaqil
'alal falah'
Hayya 'alal
'alas soloh
Hayya 'alas
mavsum boyicha


yuklab olish