Mungu mkuu wa mipango



Download 1,15 Mb.
bet7/13
Sana24.06.2017
Hajmi1,15 Mb.
#14917
1   2   3   4   5   6   7   8   9   10   ...   13

KANUNI ZA HUDUMA 1.

PEANA JIBU SAHIHI.

  1. Mungu hupeana gharama za kuandaa wateule kwa kazi ya huduma.

  2. Kazi ya mchungaji ni kuelekeza kondoo wa Mungu.

  3. Mwito wa huduma huja kutoka kwa Mungu.

  4. Kuna gharama 5 za roho.

  5. Mtume hufanya kazi katika gharama zote za huduma.

  6. Hakuna mitume kamwe siku hizi.

  7. Nabii ni mtu anayetoa unabii.

  8. Mchungaji hahitaji msaada wa muinjilisti.

  9. Wakati mwingine mtu anaweza kuwa na gharama ya uchungaji na walimu kwa wakati mmoja.

  10. Haijalishi kama utafundisha elimu ya uzima na asili ya vita au neno la Mungu bado umeitwa katika huduma ya walimuikiwa tu utaifanya kwa ubora.

  11. Mwito wa kwanza kwa wanawake kwa bwana wao ni huduma ya usaidizi .

  12. Kusaidia katika lugha ya kiyunami inamaanisha ’mzigo’

  13. Shemasi katika kanisa la kwanza walimwambia mchungaji jambo la kufanya.

  14. Kufuatilia bibilia ni washirika wa kanisa waliohusika kwa kuchagua shemashi.

  15. Kiini kinachopenda sana kwa muinjilisti ni kuhubiri kuhusu mwokovu.

  16. Nabii anafahamu mambo yote kuhusu maisha ya mwingine.

  17. Huduma zingine kama mtume na nabii nizamuhimu kuliko huduma zingine kama uinjilisti na ualimu.

  18. Aliyeitwa kuwa mwalimu hufundisah neno la Mungu kwa uwezo usiowakawaida.

  19. Gharama za huduma ni vyeo wala si madhimisho.

  20. Muinjilisti ni yule anayeenda nje na kuleta mioyo baada ya kuitwa na kuandaliwa na wachungaji.

JINA________________________ NAMBA________________________ TAREHE_________________


HAKI.

PEANA JIBU SAHIHI.

  1. Haki ni gharama tunayohitaji na kufanya bidii ili tupate.

  2. Hatutaweza kuwa na haki yakutosha mpaka siku tutapofika mbinguni.

  3. Unaweza kuongezeka au kukuwa katika haki unapoendendelea kumtii Mungu.

  4. Haki ni kwa imani.

  5. Haki inatufanya tupoteze hisia za kutokuwa na vitu.

  6. Kama wakristo tunahaki lakini hatuna haki yake Kristo mwenyewe.

  7. Dhambi huleta kutokuwa haki na mwishowe mauti ya milele.

  8. Haki ni matokeo ya kuzaliwa upya na kazi/ matendo mema.

  9. Kuwa haki inamaanisha kuwa katika asili ya mungu.

  10. Tunaoonyesha haki yetu kwa kutembea katika mamlaka ya jinsi Kristo ametuumba.

  11. Kristo anaturejeshea vitu vyote ambavyo Adamu amepoteza.

  12. Mmoja anaweza kuwa katika ufahamu haki.

  13. Tutakuwa tu na amani ya ukweli, furaha na ushindi tukifika mbinguni.

  14. Haki ni hali unayoifikia baada ya miaka za kumtumikia Kristo.

  15. Unashinda hofu/uongo unapopokea haki ya Mungu.

  16. Kutembea katika haki unahitaji kufanya upya kwa mawazo na kuweka chini mwili wako.

  17. Hauhitaji ufahamu wa haki ili kuonyesha.

  18. Katika agano la kale haki ilipatikana kwa njia ya sheria, na katika agano jipya inapatikana kwa imani.

  19. Ushirika uliovunjika huonyesha usiano uliovunjika.

  20. Shetani huogopa wakristo wanaojua na kusimama katika nguvu za haki.

  21. Ilimbidi yesu kufanyika dhambi ili ndipo ashinde.

  22. Kabla ya kumuasi Mungu Adamu na Hawa walikuwa na uwezo juu ya vita vyote.

  23. Mungu anatutarajia kutembea kama wema kwa msimamo wa kwenda pamoja naye kila siku.

  24. Haki ni nafasi tunayopewa baada ya kuzaliwa upya.

JINA________________________NAMBA________________________TAREHE___________________



KUELEWA MAMLAKA.

PEANA JIBU SAHIHI.

  1. Kutii mamlaka ndio njia ya pekee inayo tuwezesha kuishi maisha ya ufanisi kama wakristo.

  2. Mamlaka yalio ju sana kwa mkristo ni Mungu na neno lake.

  3. Kwa ujumla wote wanao asi mamlaka hupoteza nafasi ya mamlaka.

  4. Mamlaka huileta hali kiumila.

  5. Kugawa ni hali ya kupitisha.

  6. Mamlaka ya wazi imeanzisha na Mungu kanisa.

  7. Mume ndiye katika jamii.

  8. Hisia zako ni mamlaka wazi kutoaka kwa Mungu.

  9. Kama wazelendo wazuri, wakristo wanatakikana kuheshimu sheria za nchi.

  10. Wazazi wanajukumu la kuwapenda watoto wao lakini sio kuadhibu.

  11. Mamlaka kwa njia ya kugawa sio mamlaka halisi.

  12. Mwenye kugawiwa yampasa kuwa kufundishwa na kurekebishwa.

  13. Mwakilishi wa mamlaka anastahili kupeyana ushauri wa kila kitu.

  14. Kukaa katika mipaka ya jukumu lako yamemaanisha kuwa mwakilishi wa faida.

  15. Ni makosa kuchukuliwa mamlaka yasiyo yako.

  16. Katika mamlaka huja jukumu.

  17. Kuasi mamlaka yaliyowekwa na Mungu nikuwasi Mungu mwenyewe.

  18. Mtu asiyeweza kufanya chochote mpaka kiongozi aongee kwake hana mamlaka.

  19. Mamlaka ya kanisa yako ya mchungaji.

  20. Kuwasiliana kunaofaa ni muhimu katika hali ya kupeana mamlaka.

  21. Usiachiliye mamlaka kwa mtu asiyeweza kubeba na kutekeleza wajibu na jukumu kwa kazi hiyo.

  22. Kazini, mwajiri anayo mamlaka yote kutoka kwa Mungu.

  23. Mimi ni mwanifu kwa mamlaka yote iliyo juu yangu ya wazi na yasio wazi katika jamii, kanisa, serikali na pahali pa kazi na katika shulehii.

JINA______________________ NAMBA___________________________ TAREHE_________________________


TARATIBU KATIKA MWAKA/ MUHULA WA KWANZA.

UTANGULIZI.

Taratibu za masomo 16 yafuatayo imeweza kutimika katika chuo masomo ya bibilia katika Afrika ya Magharibi tangu mwaka wa 1987. Hii taratibu ya mwaka wa

Kwanza ambayo imefundishwa maelfu ya wanafunzi.

Taratibu katika masomo haya, yamepangwa kuwa chombo ambacho wanafunzi wataweza kutumia kwa kufundisha somo fulani. Katika shule ya Jumapili

Kanisani. Warsha ama shule ya bibilia itumie jisni utakavyo unaweza kunakili au kutumia sehemu yeyote kuwabariki wengine. Kurasa zilizo wazi zimepeanwa kwa kuandikia nakala zako.

Ombi letu ni kuwa taratibu, hii itatumiwa kwa kuwatia nguvu wanyoge, kuwahimiza waliovunjika mioyo na kufungwa macho ya ufahamu kwa ukweli wa neno la



Mungu.

Katika huduma yake.



Russ Tetro.
TARATIBU YA MWAKA.

YALIYOMO.

KANUNI ZA BIBILIA.

  1. KANUNI NI NINI? 4

  2. NI KWA NINI TWAELEWA KANUNI? 4

  3. MAANDIKO. 4

  4. BWANA YESU KRISTO: ASILI YAKE 5

  5. AFISI YA KRISTO- ALIYE PAKWA (Isaya 6:1,11,1-3) 6

  6. HUDUMA YA KRISTO SASA . 6

  7. HUDUMA IJAYO YA KRISTO . 6

  8. MWOKOVU. 6

  9. UTAKASO. 8

  10. KANISA. 8

  11. NINI YAPASWA KUWA ITIKIO LAKO. 9


AGANO KATIKA DAMU. 10

  1. AGANO KATIKA DAMU NI NINI? 10

  2. SABABU ZA KUINGIA KATIKA AGANO. 10

  3. NJIA ZA KUINGIA KATIKA AGANO. 10

  4. HATUA ZA KUINGIA KATIKA AGANO. 11

  5. AGANO LETU NA MUNGU. 12

  6. BIBILIA INA AGANO MBILI: KALE NA JIPYA. 14

  7. HITAJI LA MWANANDA KUWA NA MWOKOZI. 14

  8. TUNALO AGANO NZURI SABABU YA YESU. 14

  9. AGANO JIPYA PIA NI LA DAMU. 15


TABIA YA MUNGU. 17

  1. CHANZO CHA UFUNUO. 17

  2. SIFA ZA MUNGU ZISIZO ADILIFU. 17

  3. SIFA ZA MUNGU ADILIFU. 18

  4. MAELEZO YA MUNGU. 20

  5. TABIA ZA MUNGU ZIMEFUNULIWA KWA MAJINA YAKE. 20

  6. MAJINA SABA YA UKOMBOZI WA MUNGU. 22

  7. MAJINA MENGINE. 22


KUWAJIBIKA KWA MKRISTO. 23

  1. MTAZAMO MZURI. 23

  2. TAMAA YA MUNGU NIKUFANIKISHA WATUMISHI WAKE KUMBUKUMBU LA TORATI. 23

  3. HATARI ZINAZOAMBATANA NA UFANISI. 23

  4. FUNGUO KWA UFANISI KWA NJIA YA BIBILIA. 24

  5. KANUNI ZA KUTOA NA KUPOKEA. 25


ELIMU YA PEPO. 27

  1. SHETANI ALIKUWA MBINGUNI KAMA LUSIFERI ( EZEKIELI 28: 1- 19). 27

  2. SHETANI NA PEPO WAKE WANASHUGHULIKA SASA. 27

  3. YESU ALIMSHINDA SHETANI ( WAKOLOSAI 2:15). 27

  4. HATUA SABA ZA KUMSHAMBULIA ADUI. 27

  5. MAJINA YA SHETANI. 27

  6. MAJINA YA ROHO MBAYA. 29

  7. JINSI YA KUWA NA ULINZI KATIKATI YA VITA VYA KIROHO. 29


UWANAFUNZI. 30

  1. UTANGULIZI KWA UANAFUNZI. 30

  2. LENGO LA MWANAFUNZI: KUENDELEA UFALME. 30

  3. YALE YESU ALIFUNDISHA JUU YA WANAFUNZI. 30

  4. JINSI YESU ALIPENDA , KUTEMBEA KULE ALISEMA. 31


SAFARI YA AGANO JIPYA. 32

  1. UMUHIMU WA AGANO JIPYA KULINGANA NA LA KALE. 32

  2. INJILI YA MATHAYO. 32

  3. INJILI YA MARIKO-ILIANDIKWA 67-70 A.D. 33

  4. INJILI YA LUKA, ILIANDIKWA 62 A.D. 34

  5. INJILI YA YOHANA, ILIANDIKWA 80 A.D. 34



NGUVU ZA UPONYAJI. 36

  1. ADAMU NA AWA SHAMBANI EDENI. 36

  2. TABIA YA MUNGU KATIKA AGANO LA KALE. 36

  3. NANI MWANZILISHI WA MAGONJWA? 36

  4. YESU KRISTO MPONYAJI . 37

  5. NJIA SABA KWA UPONYAJI WA MUNGU. 39

  6. KUTENDA KULINGANA NA NENO LA MUNGU. 39


UENEZAJI INJILI. 40

  1. UENEZAJI INJILI WAELEZWA (LUKA 19:10). 40

  2. VIFAA VYA KUENEZA INJILI. 40

  3. MBINU ZA KUSHUHUDIA. 41


MISINGI YA IMANI. 43

  1. IMANI NI NINI? TUNAPATAJE IMANI. 43

  2. JINSI YA KUWA KATIKA IMANI (2 WATHESOLONIKE 1:3). 44

  3. MAADUI YA IMANI. 45


ROHO MTAKATIFU. 46

  1. NI NANI ROHO MTAKATIFU? 46

  2. UKUU WA MUNGU( BABA, MWANA NA ROHO MTAKATIFU). 46

  3. MFANO: TABIA NA UKWELI KUHUSU ROHO MTAKATIFU. 46

  4. ROHO MTAKATIFU KWA KUZALIWA UPYA NA UBATIZO KATIKA ROHO. 47

  5. USHIRIKA WA ROHO (ZAKARIA 4:6;2 WAKORINTHO 13:14). 48


UTANGULIZI KWA HUDUMA. 49

  1. AINA TATU YA GHARAMA. 49

  2. GHARAMA ZA HUDUMA. 49

  3. MTUME. 50

  4. NABII. 50

  5. MWENEZAJI INJILI. 51

  6. MCHUNGAJI 51

  7. MWALIMU. 52

  8. HUDUMA YA MAWASILIANO. 52

  9. KUMALIZIA. 52


UTIIFU. 53

  1. UTANGULIZI KWA UTIIFU. 53

  2. UTIIFU NI NJIA MOJA YA UTAWALA KWA MAISHA MAZURI(MWANZO 2:16-17,3-11) 53

  3. KUJIFUNDISHA SIRI YA UTIIFU WA KWELI(WAHEBRANIA 5:8-9) 54


HUDUMA YA WAZI. 55

  1. UTANGULIZI: MAELEZO. 55

  2. MWITO WA MUNGU. 55

  3. SEHEMU ZA HUDUMA. 55

  4. MAJARIBU. 56

  5. UTATANISHI. 57

  6. UFANISI KWA HUDUMA. 57


MAOMBI. 58

  1. UMUHIMU WA MAOMBI. 58

  2. MAOMBI NI NINI? 58

  3. NI NINI ISIYO MAOMBI (MATHAYO 6:5-8) 58

  4. YALE YESU ALISEMA KUHUSU MAOMBI. 58

  5. YALE PAULO ALISEMA KUHUSU MAOMBI. 58

  6. YALE WENGINE WALISEMA KUHUSU MAOMBI. 58

  7. MAOMBI KATIKA AGANO LA JIPYA. 58


HAKI. 59

  1. MARA NYINGI KANISA LIMEKOSA KUELEWA HAKI. 59

  2. UREJESHO WA HAKI. 59

  3. AINA MBILI ZA HAKI(WAFIPI 3:9) 60

  4. KUTEMBEA KATIKA HAKI. 60

  5. MATUTA YA HAKI. 61

  6. JINSI MUNGU ALITUFANYA KWA HAKI. 61


KUELEWA MAMLAKA. 62

  1. KUNYENYEKEA KATIKA MAMLAKA, HALI YA UFANISI WA MAISHA YA MKRISTO. 62

  2. MAMLAKA YALIYOWEKWA KWA MUNGU MOJA KWA MOJA. 62

  3. MAMLAKA YALIYOPEANWA KWA MWINGINE. 63


ELIMU/ KANUNI ZA BIBILIA.

  1. Elimu au kanuni ni nini?

  1. Inamaanisha kufundisha na kupeana mwelekeo.

  2. Thiologia ni msingi wa ukweli wa bibilia uliopangwa kwa utaratibu.

  3. Tofauti kati ya kanuni na sharti.

      1. Kanuni ni ufunuo wa ukweli wa Mungu kama tunavyo pata kwa maandiko

      2. Sharti ni kuongezea kwa mwanadamu kwa ukweli huo kama vile ilivyowekwa katika imani (mfano imani ya mitume.)

  1. Ni kwa nini niyamuhimu kusoma ju ya kanuni?

  1. Inaendeleza tabia kila mtu anaelewa na kuamini njia za kuishi kwake.

  2. Inatulinda kwa makosa(Mathayo 22:29-2, Timatheo 4:2-4)

  3. Inasaidia kupata na kuona ukweli ulio katika bibilia yetu.

3. MAANDIKO.

  1. Maandiko yote imepeanwa kupitia kwa pumzi ya Mungu (2Timatheo 3:16, 2petro 1:21)

    1. Mungu alipuliza/ pumua- lugha ya kijunani Theophnetus.

      1. Kama tu mwanadamu anavyonena kwa kinywa.

      2. Kama mwanamziki anavyocheza chombo.

    2. Vidokezi/ maana halisi.

      1. Waanzilishi wawili (mfano Mariko 12:36, pahali roho anasemekana kuwa mwanzilishi wa yale Daudi aliandika katika zaburi.

      2. Mungu aliona lakini hakukanusha neno kwa neno isipokuwa tu kwa hali chache kama amri kumi.

      3. Ingawa Mungu alitumia wanadamu waanzilisha na mtindo wa kipekee, lakini aliwaepusha makosa yote.

      4. Bibilia haibebi neno la Mungu, bali ni neno la Mungu na ni pumzi isiyo ya kawaida.

  2. Nini ilikuwa mtazamo wa yesu kwa andiko.

        1. Umuhimu wa kila andiko(mathayo5:18)

        2. Tunakosea, tunapokosea kuamani maandiko.(mathayo 5:29, 22:23-32)

        3. Daudi aliandika kwa roho.(mathayo22:41-46)

        4. Maandiko ni ya milele.(mathayo 24:35)

        5. Maandiko ni uhai.(yohana 6:63)

        6. Lazima kutii maandiko.(mathayo 5:19)

        7. Neno lafananishwa na kula chakula(mathayo 4:4)

  3. Nini ilikuwa mtazamo wa mitume kwa maandiko.

          1. Paulo na Petro.

  1. Yafaa na ni muhimu kufundisha ukweli, kuonya, kusahihisha makosa na kuwaongoza watu kuishi maisha ya maadili. (2 Timatheo 3:16)

  2. Itamfanya mmoja kuwa na ujuzi kwa mwokovu.(2 timatheo 3:15)

  3. Hakuna nabii na neno unalotafsiri.(2 Petro 1:20)

  4. Ni upanga wa roho mtakatifu.(waefeso 6:17)

    1. Yakobo na Yohana.

      1. Usinene maneno matupu.(yakobo(4:5)

      2. Mtu asiongeze wala kutoa neno lolote kutoka kwa kitabu hiki ili Mungu asiondoe sehemu yake kwenye kitabu cha uzima(ufunuo22:1819)

  1. Upekee wa bibilia.

    1. Iliandikwa kwa muda wa miaka 1000 na vizazi 40.

    2. Iliandikwa na zaidi ya waandishi 40 kutoka kila upande na maisha (wafalme, maskini, wavuvi, wanasheria, waimbaji, wasemaji, wasomi na wengine wengi.)

    3. Iliandikwa katika sehemu tatu za dunia (bara afrika, bara hindi na uingereza.) iliandikwa katika lugha tatu: kiebrania, yunami na kiarabu.

    4. Ina mambop mengi ya kutatanisha, lakini yote iliandikwa kwa umoja kwa kuendelea.

    5. Inabeba umoja na shabaa na lengo ambazo zinaweza tu kuelezewa mwangalizi mmoja wa mawazo ya roho mtakatifu.

    6. Kama wakati mmoja vitabu vya kale, lakini chenye mwelekeo sana kwa maisha ya sasa.

  1. BWANA YESU KRISTO: ASILI YAKE.

A. MWANA WA MUNGU NI WA KIPEKEE.

      1. Madai ya Yesu.

      1. Mwanzo wa utawala(yohana16:28)

      2. Utawala wa mwanzo na ushirika.(mathayo1:27)

      3. Kuonyesha baba ndani yake.(yohana14:9-11)

      4. Sifa za utawala.

  1. Uwepo wake(mathato 18:20)

  2. Uwepo wa kusamehe dhambi(mariko2:5-10)

  3. Uwezo wa kuhumuku mwanadamu.(yohana5:22)

  4. Uwezo wa kufufua wafu.(yohana5:21)

      1. Mamlaka yaYesu.

                1. Alienena mamlaka ya Mungu.(mathayo 7:24-29)

                2. Yesu hakutumia mkazo kama: ni wazo langu, labda ama nakiri.

  1. Maisha ya Yesu yasiyo ya dhambi – hakuwa na hali ya kuhukumika, kukiri kwa dhambi katika neno au matendo yake.(yohana8:46, 1 petro 2:22)

  2. Ushuhuda wa mitume na Yakobo nduguye Yesu (yohana1:1-3, 20:28: matendo ya mitume 2:23-26)

  3. Ufufuo: ni mmoja aliye na utakatifu wa kushinda kifo.

    1. Neno ni jina jingine la Yesu.(yohana 1:1-3,14)

        1. Neno ni hisia za mawazo ya mtu, jinsi anavyoongea au kujitambulisha.

        2. Yesu ni neno, maana anamtambulisha Mungu. (waebrania 1:1-3)

        3. Kama neno Yesu ni wa milele(yohana 1:1,14)mhusika katika uimbaji na kushikilia vitu vyote pamoja(yohana 1:3: waebrania 1:3)

    1. Mwana wa Adamu.

  1. Yesu alikuwa mtu lakini hakuwa na asili ya dhambi (1petro 2:22)

  2. Kufanyika mtu: jinsi Mungu mwana(Yesu) alifanyika mtu kwa kuzaliwa na bikira.

          1. (Isiaya 7:14, mathayo 1:23, luka1:27-35.)

          2. Kusudi la kufanya mwanadamu.

              1. Kumfunua Mungu kwa mwanadamu.(yohana 1:14)

              2. Kupeana mfano wa kuishi(yohana 13:15)

              3. Kupeana dhabihu ya dhambi (waebrania 10:1-2)

              4. Kuharibu kazi za shetani. (yohana 3:8)

              5. Kumwezesha kwa kuhuruma kuwani mkuu mwaminifu.(waebrania 5:5-6)

    1. Dhibitisho la uwanadamu wake.

        1. Alikuwa na mwili wa mwanadamu.

        2. Alikuwa na nafasi ya mwanadamu(mathayo 26:38) na roho (luka23:46)hakuwa nusu binadamu na nusu Mungu lakini 100% binadamu na 100% Mungu.

        3. Alikuwa na tabia za mwanadamu (njaa mathayo 4:2, uchovu yohana 4:6, kiu yohana 4:28, kilia yohana 11:35.)




    1. MTAZAMO WA UONGO KUHUSU ASILI YA MUNGU.

        1. Aliumbwa kuwa mwanzilishi mkuu wa Mungu (shaidi wa yahova.)

        2. Alionekana kama mwanadamu, lakini hakuwa mwanadamu wa kweli.

        3. Alifanyika mwanadamu mtakatifu siku ya ubatizo.




    1. MTAZAMO WA IMANI. (MTAZAMO WA KWELI.)

          1. Alikuwa Mungu na mwanadamu kiukamilifu.

          2. Asili mbili ziliunganishwa pamoja pasipo kuweka asili yetu.

          3. Yesu alikuwa bila dhambi.




  1. AFISI YAKE YESU- MPAKWA MAFUTA (ISAYA 6:1, 11:1-3)

      1. A. NABII. (MATHAYO 13:57)

        1. Nabii ni yule anayetumiwa na Mungu kufunua na kuleta ujumbe wake Mungu kwa mwanadamu, anamwakilisha Mungu kwa mwanadamu.

        2. Yesu alionyesha njia ya kuepuka dhambi, akatangaza haki kwa taifa na pia mtu binafsi.

        3. Yesu alijitoa mwenyewe dhabihu msalabani kuhakikisha msamaha wa mwanadamu.




      1. B. KUWANI. (WAEBRANIA 5:1-10)

          1. Kuwani ametengewa njia ya utakatifu kumwakilisha mwanadamu mbele ya Mungu na kutoa dhabihu kwa niaba ya mwanadamu (waebrania 8:3)

          2. Yesu alijitoa mwenyewe dhabihu msalabani kuhakikisha msalaba wa dhambi za mwanadamu.

          3. Yesu anaishi akimwombea mwanadamu (waebrania 7:25)


C. MFALME. (1 TIMATHEO 6;15)

            1. Mfalme anatawala na kumiliki uwezo wa mamlaka.

            2. Ufalme wake sio wa dunia hii haujaanzishwa kwa nguvu za mwanadamu, wengine walikataa ufalme wake lakini siku inakuja ambapo kila goti litainama na kila ulimi kukirii yeye ni bwana (wafipi 2:9-11)




  1. HUDUMA YAKE YESU. KWA MAISHA YA SASA.

A . Kuomba watu wake. (waebrania7:25)

B. Kutayarisha pahali pa makao yetu ya milele (yohana14:3).

C. Kujenga kanisa ambalo ni mwili wake (mathayo 16:18)

D. Kuwezesha na kupeana nguvu kwa kila mkristo (wagalatia 2:20)

E. Kuyajibu maombi ya watu wake(yohana 4:13-18)


  1. HUDUMA YAKE YESU. (IJAYO)

      1. Kuja kunyakua kanisa lake. (1 wathesolonike 4:13-18)

      2. Kuachilia ghadhabu ya mwana kondoo duniani (ufunuo 6:16-17




  1. MWOKOVU

    1. SOTERIA. Ni neno linalo maanisha ukombozi kuhifadhi na mwokovu.

        1. Kukombolewa kwa dhambi, magonjwa, kushindwa na mauti.

        2. Mwokovu huleta hali ya kufanywa mzima.

    1. UTAKASO.

            1. Neno utakaso ni msemo wa haki kuondolewa kupitisha au kukubali.

            2. Hali ya kukubali na msimamo wa kweli mbele ya Mungu, ambapo mmoja hupotea kwa njia ya imani kupitia kwa damu yake Yesu.

            3. Ni kipawa cha bure na hakiwezi kununuliwa (warumi 8:33)

            4. Ni Mungu anayetakasa (warumi 8:33)

            5. Kubadilisha hali- wakati mmoja tulikuwa chini ya hukumu.

            6. Kufutwa kwa dhambi na kuwekwa haki ya Yesu juu yetu (swala la kuondolewa na kuongeza)

            7. Mungu hufanya na kumchukua mtu mwenye haki kama ametenda mema siku zote (mwana mpotevu)

            8. Utakaso(haki) huleta baraka.

            1. Kukombolewa kwa mauti.(mithali 10:2)

            2. Uzima tele mauti (mithali 11:19,30, 12:28)

            3. Amani na ujasiri (Isaya 32:17)

    1. KUZALIWA KWA PILI.

      1. Matendo ya Mungu yanayotia uzima ya Yesu ndani ya mkristo.

      2. Maelezo ya agano jipya kuhusu kuzaliwa kwa pili

                1. Kuzaliwa (yohana 3:3-8)

                2. Usafi (tito 3:5)

                3. Uumbaji (2 wakorintho 5:17, waefeso 2:10)

3. Maisha ya kiroho huoneka kwa njia ya ajabu na kuteta hali ya kuendelea.

4. Mtazamo wa pekee. Hakuna ahadi yeyote ya dini inayoweza kumbadilisha mwanadamu kutaka kwa asili dhambi na kumleta katika uzima wa Mungu.

5. Kuzaliwa upya si:

a. Ubatizo wa maji(yohana 3:5) maji ni njia moja moja inayopeleka neno la Mungu (waefeso 5:25-26)

b. Kutengeneza- Kufanywa upya si kazi mwanadamu kufanya uwamuzi.(tito 3:5)

c. Washiriki wa kanisa: Mnyama aliyezaliwa kama



  1. Download 1,15 Mb.

    Do'stlaringiz bilan baham:
1   2   3   4   5   6   7   8   9   10   ...   13




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©hozir.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling

kiriting | ro'yxatdan o'tish
    Bosh sahifa
юртда тантана
Боғда битган
Бугун юртда
Эшитганлар жилманглар
Эшитмадим деманглар
битган бодомлар
Yangiariq tumani
qitish marakazi
Raqamli texnologiyalar
ilishida muhokamadan
tasdiqqa tavsiya
tavsiya etilgan
iqtisodiyot kafedrasi
steiermarkischen landesregierung
asarlaringizni yuboring
o'zingizning asarlaringizni
Iltimos faqat
faqat o'zingizning
steierm rkischen
landesregierung fachabteilung
rkischen landesregierung
hamshira loyihasi
loyihasi mavsum
faolyatining oqibatlari
asosiy adabiyotlar
fakulteti ahborot
ahborot havfsizligi
havfsizligi kafedrasi
fanidan bo’yicha
fakulteti iqtisodiyot
boshqaruv fakulteti
chiqarishda boshqaruv
ishlab chiqarishda
iqtisodiyot fakultet
multiservis tarmoqlari
fanidan asosiy
Uzbek fanidan
mavzulari potok
asosidagi multiservis
'aliyyil a'ziym
billahil 'aliyyil
illaa billahil
quvvata illaa
falah' deganida
Kompyuter savodxonligi
bo’yicha mustaqil
'alal falah'
Hayya 'alal
'alas soloh
Hayya 'alas
mavsum boyicha


yuklab olish