Mitihani wa pamoja wa shule za upili za tarafa ya kabondo 2015 Cheti cha kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya



Download 15,13 Kb.
Sana24.06.2017
Hajmi15,13 Kb.
#14911
JINA……………………………………………… SAHIHI……………………………….

SHULE…………………………………………… NAMBARI YAKO……………………

102/1

KISWAHILI



Karatasi ya 1

INSHA


Machi/ Aprili 2015

Muda: Saa 1 ¾



MITIHANI WA PAMOJA WA SHULE ZA UPILI ZA TARAFA YA KABONDO - 2015

Cheti cha kuhitimu Elimu ya Sekondari Kenya.

MAAGIZO

  1. Andika insha mbili

  2. Insha ya kwanza ni ya lazima. Kisha chagua insha moja nyingine kutoka kwa hizo tatu zilizobakia.

  3. Kila insha isipungue maneno 400

  4. Kila insha ina alama 20


Karatasi hii ina kurasa 2 zilizopigwa chapa mwanafunzi anapaswa kuhakikisha kwamba karatasi zote ni sahihi na hakuna maswali yanayokosekana.

  1. Kumekuwa na visa vingi vya mauaji hapa nchini, mhariri wa gazeti la Nyota amewatangazia wasomaji katika toleo la Jumapili kutuma makala yao ili kuchangia katika kuandika tahariri itakayohusu chanzo cha mauaji hayo na suluhisho. Andika makala hayo.

  2. Pesa za hazina ya ustawi wa maeneo bunge zapaswa kuondolewa chini ya usimamizi wa wabunge.Jadili

  3. Mkono usioweza kuukata, ubusu

  4. Andika insha itakayoisha kwa:

…………………..Nilishusha pumzi, nikashukuru Mola nilipojipata hoi bin taabani miongoni mwa wafu.



©2015 TARAFA YA KABONDO 102/1 KISWAHILI MALTYTECH PRINTERS

Download 15,13 Kb.

Do'stlaringiz bilan baham:




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©hozir.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling

kiriting | ro'yxatdan o'tish
    Bosh sahifa
юртда тантана
Боғда битган
Бугун юртда
Эшитганлар жилманглар
Эшитмадим деманглар
битган бодомлар
Yangiariq tumani
qitish marakazi
Raqamli texnologiyalar
ilishida muhokamadan
tasdiqqa tavsiya
tavsiya etilgan
iqtisodiyot kafedrasi
steiermarkischen landesregierung
asarlaringizni yuboring
o'zingizning asarlaringizni
Iltimos faqat
faqat o'zingizning
steierm rkischen
landesregierung fachabteilung
rkischen landesregierung
hamshira loyihasi
loyihasi mavsum
faolyatining oqibatlari
asosiy adabiyotlar
fakulteti ahborot
ahborot havfsizligi
havfsizligi kafedrasi
fanidan bo’yicha
fakulteti iqtisodiyot
boshqaruv fakulteti
chiqarishda boshqaruv
ishlab chiqarishda
iqtisodiyot fakultet
multiservis tarmoqlari
fanidan asosiy
Uzbek fanidan
mavzulari potok
asosidagi multiservis
'aliyyil a'ziym
billahil 'aliyyil
illaa billahil
quvvata illaa
falah' deganida
Kompyuter savodxonligi
bo’yicha mustaqil
'alal falah'
Hayya 'alal
'alas soloh
Hayya 'alas
mavsum boyicha


yuklab olish