Mungu mkuu wa mipango


Imani/ Tumaini. (waebr 11:1)



Download 1,15 Mb.
bet12/13
Sana24.06.2017
Hajmi1,15 Mb.
#14917
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   13

Imani/ Tumaini. (waebr 11:1)

  1. Upendo, tumaini na imani yote niya muhimu na ina nafasi yake. Lakini hauwezi kubadilisha uondowe moja.

  2. Imani huimarika kupitia kwa nafasi ya kutumia.

  1. Kuwa na subira (waebr 10:35-36. yakobo 1:3-4) wakati imani inakuwa na hali ya kuzingatia ni uvumilivu/ subira inayosaidia imani kusimama. Inaleta uvumilivu wa kuwa na subira mpaka jibu lionekane.

  2. Kutakuwa na wakati mgumu sio rahisi kila wakati.

  3. Pasipokuwa subira, imani mara nyingi hukosa kusimama wima kwa neno la Mungu na kupungukiwa na shabaa.

  1. Imani huendelezwa.

    1. Imani ni nguvu na lazima ifanyishwe kazi ili kuiendeleza.

    1. Mfano kuendeleza misuli kwa mazoezi.

    2. Anza na vitu vyepesi/ rahisi kwanza na baadala ya kwenda kwa vigumu.

  1. Mfano watoto wanaojifundisha kutembea.

  2. Anzia pahali uko katika kutembe kwako kwa imani , sio pahali mwengine ako.

    1. Ikiwa imani yetu itaonekana kuwa haifanyi kazi, basi yatupasa kwanza kubadilisha.

  1. Mungu hubadilika, Yesu hashindwa, ikiwa haifanyi kazi basi yafaa tujiangalie wenyewe.

  2. Jawabu/ jibu kwa maombi yako hutegemea sana kwako kuliko Mungu

  3. Usipoaguka/ shindwa, basi hutakuwa na kushindwa kwa maombi au imani maishani mwako

  4. Imani hufanya kazi kwa upendo (wagalatia 5:6)

  1. Kinyume cha imani ni uoga, upendo kamilifu huondowa woga. (1 yohana 4:18)

  2. Sio tu wewe ni mwana wa Mungu wa imani na wa upendo.

  3. Upendo kama imani waweza kuimarika. Yeyote ni tunda la roho.

  4. Imani yetu haiwezi kuimarisha kama hautembeikwa upendo, wazo, neno na matendo.(wafilipi 2:3-4)

  5. Lazima tutembee katika msamaha (mariko11:25) Yesu alaifanya hivyo. Msamaha ni kutenda kama haikufanyika kamwe. Mtu aliyekukosea atajibu mbele yake bwana, wacha Mungu ashughulike nao. Kutosamehe kutazuia mtiririko wa roho wa Mungu maishani mwako.

3. ADUI WA IMANI.

Piga vita vyema vya imani (1 tim 6:12) Hakuwezi kuwa na vita bila adui. Shetani hutushambulia katika sehemu za uadilifu wetu, hivyo basi natujue wapi inayotupasa kufanya bidii ili kuendeleza imani yetu.



A. Shaka.( kutoamini )na woga.

1. Aina mbili ya kutoamini.

a. Moja ni kutokuwa na maarifa. Tiba ni maarifa.

b. Moja ni kuamua tu kutoamini, kutokuwa tayari kuruhusu neno kutawala maisha au kutokuwa tayari kushawishika(waebr4:11)tiba ni kutii.

2. Katika sehemu tatu tofauti katika bibilia tunamwona Yesu akinena na wanafunzi kwa kutoamini kama hauwezi kushawishika, basi uko katika hali ya kutoamini.

a. Petro alianza kuzama alipoondoa macho yake Yesu na kutazama mazingira.(mathayo14:22-32)

b. Tazama pia mathayo 17:18, mariko 4:39-40)

3. Usiruhusu roho ya uwongo kukutawala lazima ukubaliane nayo. Hauwezitu kuendelea kuomba kubadilika kwa sababu hautaki kukubaliana na uwongo. Mfano mke kuogopa kukaa pekee yake.

4. Jinsi ya kukabiliana na shaka na kutoamini

a. Itambue na uchanganue.

b. Usiikiri Usijipeane au kujiachilia.

c. Pigana nalo kwa neno la maombi.

d. Ikiwezekana onana na ndugu au dada katika kristo.

5. Yule ‘yeyote’ katika(mariko 11:23) ni sawa na ‘yeyote katika yohana 3:16 kwa kukata kuwa na shaka, usiamini sana kuliko ahadi za Mungu.



B. Kukosa maarifa, imani huja kwa kusikia neno sio kwa kuiombea.

C. Hisia za kuona haustahili (2 wakorintho 5:12. waef 2:10)

1. Mungu hakufanya kiumbe kipya kisichofaa.

2. Amini yale bibilia inasema na usiangalie hali yako.

3. Fanya upya mawazo yako mwenye h aki wa kristo Mungu ndani yake(2wakor 5:21)

4. Mungu hana upendeleo kwa wake.
ROHO MTAKATIFU.

1. ROHO MTAKATIFU NI NANI?

A. Yeye ni Mungu (Matendo 5:3-4, 1wakorintho 3:16-17)

1. Roho mtakatifu ndiye yule anbaye Mungu muumbaji wetu alimtuma kuumba Ulimwengu.(mwanzo 1:1-2)

a. Wanyama waliumbwa naye(zab104:30)

2. Roho mtakatifu ndiye yule yule baba aliimtumia kumpata bwana wetu Yesu kristo

3. Roho mtakatifu ndiye aliyekuwa wa kwanza kati ya utatu wa Mungu kuonekana duniani(mwanzo1:2)

B. Yeye ni mtu, sio tu nguvu za Mungu.

1. Nafasi hujumulisha mawazo yako nayo na ya akilini na hisia

a. Roho Mtakatifu ana moyo/ mawazo(war8:27)

b. Mtakatifu ana nia na akili (1 wakor 12:99-11)

c. Roho ana hisia anaweza kukasirishwa(waefeso 4:30) na anpenda.

d. Hutembea (mwanzo 1:2) Hunena yale anayosikia na hutufuata na kuchunguza vitu vya ndani vya Mungu.

2. UTATU WA MUNGU (BABA, MWANA NA ROHO MTAKATIFU.)

Wote wana toshana lakii tofauti kwa umbo. Mungu mmoja kwa utatu sio mtu moja kwa tofauti tatu.



    1. Umoja wao(kutoka 6:4) neno moja ni achad ‘ kiebrania’ linalo maanisha mkusanyiko au muungano mmoja, kulingana na mzabibu moja na mizabibu mingi.

  1. Baba na roho mtakatifu ni wamoja(yohana 10:30)

  2. Baba na yesu ni mmoja.

    1. Utofauti wao (mathayo 3:16-17, 28:19, yohana 14:16 1wakor 12:4-7)

  1. Mungu ndiye mgawaji, Yesu ndiye msimamizi. Ilhali roho mtakatifu ndiye mwonyeshaji wazi.

  2. Mungu baba ndiye chanzo. Bwana yesu ndiye mpeanaji wa chanzo na roho mtakatifu ndiye nguvu za chanzo.

  3. Maswali mwawili yanayodhihirisha kwamba wako tofauti kwa umbo.

  1. Ni kuwa nini katika (isaya 63:8-10) baba anampa roho ulinzi sana kiasi kwamba anakuwa adui wa watu.

  2. Kwa nini Yesu alisema damu yake angaliosha kumbukumbu yote ya dhambi, lakini kukashifu roho mtakatifu hatakusamehe.(mathayo 12:3)

    1. Na tumfanye mwanadamu kuwa mfano wetu. (mwanzo 1:26-27)

  1. Yaonyesha wingi.

  2. Yaonyesha umoja.

  1. AINA, TABIA ZA UKWELI KUHUSU ROHO MTAKATIFU.

    1. Aina/ mfano.

  1. Mafuta (zab 92:10)

  2. Moyo. (mathayo 3:11)

  3. Upepo.(matendo2:2-4)

  4. Maji. (yohana7:37-38)

  5. Mvua na umande. (hoseya 6:3)

  6. Ziwa. (mathayo 3:16)

B. TABIA ZA ROHO.

1. Anaweza kutoroshwa na kukasirishwa(waefeso 4:30)

2. Anaweza kutukuzwa(1 petro 4:14)

3. Ni mwenye haki (isaya 4:4)

4. Si mchoyo na mtu mtakatifu na muungwana.

5 Anaonya, rekebisha na kushauri wenye dhambi kwa dhambi zao.

6. Ni wa rehema.(waebrania 10:26)

7. Ndiye anayekupaka kwa kuambia ulimwengu kuhusu dhambi zake.

8. Yeye ni mkuu.

9. Yeye ni roho wa bure na kujitolea (zab 5:12) unapomuuliza akusaidia, naye anasema ndio ‘’ nitafanya’’ unamuuliza akuponyw na anasema ndio. ‘’ Nitafanya.’’



C. UKWELI KUMHUSU ROHO MTAKATIFU.

  1. Hawezi kuja kwa baba bila roho mtakatifu(waefeso 2:18)

  2. Hauwezi kupenda upendo wa kweli bila roho mtakatifu.(warumi 5:5)

  3. Hauwezi kumwabudu Mungu bila roho mtakatifu (yohana 4:23)

  4. Hauwezi kuomba katika roho bila roho mtakitifu.(yuda 24)

  5. Hauwezi kumtii Mungu bila roho mtakatifu.(1 petro 1:22)

  6. Anataka akujue na kuwa na ushirika nawe (wafilipi 2:1)

  7. Yeye ndiye dhibitisho na malipo ya uzima wa milele (waef 1:13-14)

  8. Anakufundisha na kukuongoza (yohana 16:13)

  1. ROHO MTAKATIFU KWA KUZALIWA UPYA NA UBATIZO WA ROHO MTAKATIFU.

    1. Haji mbili tofauti moja ni kama kisima/ chemichemi ya maji (yohana 4:13-14) ingine ni moto (yohana 7:38).

    2. Kanisa la kwanza na uzao wa roho mtakatifu.

  1. Walizaliwa mara ya pili/ upya kabla ya kupokea uzao wa roho mtakatifu.(yohana20:22, matendo 1:4-8)

  2. Ujazo wa roho mtakatifu huja baada ya kuzaliwa upya. (matendo 8:15-17)

  1. Hali kumhusu Paulo. (matendo 9:1-6, 9:10-12)

  2. Kanisa kuhusu Efeso.(matendo 19:1-2)

  1. Dhibitisho la bibilia la kujazwa na roho mtakatifu ni kunena katika lugha, Je, walisikia nini? Ndimi.( maten 2:4-33)

  1. Paulo alinena kwa lugha baada ya kujazwa na roho mtakatifu. (wakor 14:18)

  2. Watu wa mataifa. (matendo 10:44-48)

  3. Wasamaria (matend 8:18-19)

  4. Kanisa la Efeso(matendo 19:6)

C. Mafundisho yasiyo kweli kuhusu ubatizo wa roho mtakatifu (kumbuka vifungu vifatavyo havitumiwi kwa njia nzuri ni kwa sababu ya kubadilisha mafundisho haya)

1. Ni lazima ukae na umngoje roho mtakatifu(luka 24:49, matendo 1:4)

2. Lazima uombe Mungu, paza sauti, tetemeka na kulia.

3. Ubatizo wa roho mtakatifu kwa dhihirisho la kunena kwa lugha ilipita wakati wa mitume.

4. Ni mungu pekee anayeamua ni yupi atayepokea roho mtakatifu (1wakor 12:30)

5. Ndimi zimekoma.(1 wakor 13:8-12)



D. Mafundisho halisi kuhusu ubatizo wa roho mtakatifu.

1. Roho ameshapeanwa.

2. Lazimu umpokee.

3. Mitume waliwaombea kupokea.



5. USHIRIKA WA ROHO MTAKATIFU.(zakaria 4:6, 2 wakorintho 13:14)

A. Kumpokea Roho mtakatifu ni kupokea mtu mtakatifu anakuja kuhudumu na kufanya makao yake katika miili yetu.(1 wakor 3:16-17)

1. Anaitwa roho wa kweli, kumaanisha atakuongoza, fundisha na kukuelekeza wewe. (yohana 14:16-18, 15:7-15, 4:6)

2. Kila mwamini aliyejazwa kwa roho ndani yao wako tayari kutumikia nguvu zote watakazohitaji kunawezasha katika maisha haya (warumi 8:31, yohana 4:4)

3. Hudumu saba za roho mtakatifu kwao ( yohana 14:16)



  1. Mfariji.

b. Mshauri.

c. Mwenye kutia nguvu.

d. Hakimu/ mwakilishi.

e. Mwombolezi.

f. Msaidizi (akiba)

g. Msaada.

h. Umuhimu wa kutembea katika roho ni kufanya kudumu kwa uwepo wake.

B. Umuhimu na baraka za kunena kwa lugha. (1 wakorintho 14:2-4)


  1. Ni mlango wa kuingia ndani katika mambo ya roho.

  2. Neno la Mungu hufamyika hai(yohana 16:13)

  3. Maisha yako ya maombi huongezeka na kubadilika .(yuda 20)

  4. Inakuletea ufunuo mkuu wa Yesu(yohana 16:14)

  5. Inakupa hakikisho la msingi.

  6. Unaingia katika ukamilifu wa upendo wa Mungu.

  7. Unatambua furaha kuu ya roho ya mtakatifu.(warumi 14:17)

  8. Unakuwa mwepesi na kutumika katika mwili wa kuishi.


UTANGULIZI KWA HUDUMA.

UTANGULIZI. Mungu amepanga vipawa/ karama kwa kanisa, mwili wa mkristo, kufanya kazi ya kujenga ufalme wa Mungu hapa duniani. Bado tunaendelea kusoma juu ya karama mbali mbali na jinsi tunavyo toshea katika mwili wa kristo na jinsi ya kufanya karama hivo. Washiriki wengi makanisani na hata wahuduma hawajui karama na Mungu amewapa ama pahali wapotoshea na kufanya vema katika mwili wa kristo. Hii ni kwa sababu wengi kutowajibika sana na kutozaa katika ufalme wa Mungu.

  1. AINA TATU YA KARAMA.

  1. Karama za Huduma (waefeso 4:11-12)

  1. Mitume.

  2. Manabii.

  3. Wainjilisti.

  4. Wachungaji.

  5. Waalimu.

  1. Karama za kuinua/ kujenga.(warimu 12:6-8)

  1. Unabi.

  2. Kutumika.

  3. Kufundisha.

  4. Kuinuwa.

  5. Kutoa.

  6. Kutawala/ kupanga.

  7. Huruma.

C. Karama za dhihirisho (1 wakor 12)

1. Karama tatu za kunena- ndimi, unabii na utafsiri wa ndimi.

2. Karama tatu za nguvu- utendaji wa miujiza, imani ‘special’ na kuponya.

3. Karama tatu za ufunuo- neno la maarifu, neno la hekimu na kupambana na roho.



D. Mara nyingi karama za kujenga/ kuinua ni mawe ya kukanyagia/ kupandia kwa karama tano za huduma.

1. Karama haipatikani kwa juhudi/ bidii.

2. Jinsi karama za kuinua na huduma zinavyofanya kazi pamoja.

2. KARAMA ZA HUDUMA.

Karama za huduma ni tofauti kuliko karama za roho. Kuna karama tano za huduma zilizotolewa kwa kanisa kwa ajili ya kuimarisha na kujenga msingi wa hii tanaupata katika (1 wakor4:15) katika sura hii yote Paulo anaeleza wakorintho kwamba sisi kama wahudumu wa kristo, ni kristo, ni watendanji wa huduma ya kristo. Kuna kanisa la ulimwengu wote jumla ya kristo. Kuna kanisa la ulimwengu wa hudumu ya wote ambao wamepokea Yesu kama mwokozi. Bwana Yesu ndiye anayepeana kwa kanisa (waefeso 4:8-12) Yesu ndiye kichwa cha kanisa. Jambo moja la kushangaa katika huduma yake kristo ni kwamba kuna utofauti.



  1. MTUME- Anaonekana kushiriki au kutawala afisi zote.

  2. NABII- Niwakuhurumiwa au amevutiwa, ananena kwa nguvu za kuvutia na ufunuo.

  3. MWINGJILISTI- Anaomweleko wa bwana wa kuhubiri injili.

  4. MCHUNGANJI- Ni afisi moja iliyotolewa kwa kanisa kuelekeza kondoo wa Mungu. Nyingine nne zimetolewa kwa kushauri kanisa.

  5. MWALIMU- Ni yule anayefundisha sio kwa nguvu za asili au kawaida lakini uwezo wa roho utukufu. Kunayo njia rahisi ya kukumbuka karama tano za huduma kwa kutumia vidole vyako kwa mkono wake, kidole gumba kinawakilisha mtume, kinachofuata ni nabii, cha kati ambacho ni kirefu ni mwinjilisti cha pete ni mchungaji ilhali kidogo ni mwalimu.

3. MTUME.

Mtume ndiye kichwa cha karama za huduma kama tunavyoona katika 1 wakir 12:28. Afisi ya kwanza ya mitume kuwepo au kuishi ni ile ya bwana Yesu kristo. neno la kigiriki kwa mtume linamaanisha ‘kutumwa’ au ‘aliyetumwa’na Yesu ndiye mfano mkuu wa aliyetumwa (yohana 20:21) Afisi ya mtume lazima iambatane na ishara zinazopatikana katika 2 wakor 12:12 mtu anayeshikilia afisi hii ni yule wa kiwango cha kwanza na sisi kiwango cha pili. Mtume ni yule aliyetumwa na siyo tu mtu wa kawaida anaoujumbe au kazi katika matendo 13, Paulo na Baranaba waliagiziwa kwenda.



A. Ishara za mtume (2 wakor 12:12)

1. Ishara majibu na matendo makuu.

2. Hali ya kuwa na ushirika wa ndani na kweli na bwana Yesu.

a. Paulo alikuwa amemwona Yesu.

b. Ufunuo wake ulipeana (1 wakor 11:23, wagal 1:11-12)

B. Kazi ya mfalme- kuweka msingi.(1 wakor 3:10, waef 2:20)

1. Afisi ya mtume inaonekana kumiliki gharama zingine zote za huduma. Utofauti wa matokeo ni uwezo wa kuyaanzisha makanisa.

a. Ana nguvu za pekee (roho) zinazoitwa ‘ utawala’ (nguvu za kupanga) zilizolazwa katika(wakor 12:28)

b. Ana mamlaka tu kwa makanisa aliyo ya fungua.

2. Mishonari aliyeitwa na Mungu na kutumwa kwa roho mtakatifu ni mtume(matendo 13:2-4)

3. Mtume atakuwa uwezo wa karamu zote.

a. Atafanya kazi ya kueneza injili.

b. Atafundisha na kujenga watu.

c. Atafanya kazi ya mchungaji.

d. Mfano kwetu ni mtume Paulo.

C. Kunao mitume siku hizi?

1. Sio kwa namna ya asili ya wale kumi na wawili.

2. Agano jipya kuna orodha ya mitume wengine: Baranaba na Paulo(matendo 14:14) Nduguye Bwana Yesu Yakobo (wagalatia 1:19)Androniko na Yunia(warumi 16::7) Silvano na Thimatheo(wathesolonike 2:6)Apolio(wakoritho 4:4-9)na Epatrodito(wafilipi 2:25)Neno Mjumbe katika maandiko la maanisha ‘mtume’

D. Alama au jinsi ya kuwatambua mitume siku hizi:

1. Kuendelea katika karamu za roho.

2. Uhusiano wa ndani wa Bwana.

3. Nguvu na uwezo wa kufungua makanisa.

4. Kuweza kupeyana mwangaza mzuri wa kiroho.

4. NABII.

1. Katika(1wakaritho 12:28) Inasema “ pili nabii” na katika waefeso pia inalaja nabii. Afisi ya nabii haipaswi kuheshimiwa sana kuliko afisi zingine. Baada kuna nabii hata sasa.

2. Anayo maono na ufunuo.

A. Nini kinachomfanya nabii.

1. Kuendelea kwa dhibitisho la karama za ufunuo mbili au zaidi(Neno la mataifa, neno la hekima, upambanuzi wa roho) liongoza unabii.

2. Anayo maono na ufunuo.

B. Tofauti kati ya unabii wa agano la kale na unabii katika agano jipya.

1. Watu katika agano la kale walimwendea nabii kwa kuelekesha .

2. Muamini wa agano jipya wanaongozwa na roho mtakatifu.

3. Nabii wa kweli huweka neno la Mungu kwanza mbele.



C. Kupambana tofauti kati ya roho wa Mungu na roho wa uchawi.

1. Kwa kuwa inaonekana sio ya kawaida au kuwa kiroho; haimaanishi kwamba ni roho wa Mungu(2. wakorintho 11:14)

2. Je yamuinua mwanadamu au Yesu?

D. Utata na kutofahamu kwa watu kuhusu afisi ya nabii.



D. Utata na kutofahamu kwa watu kuhusu afisi ya nabii.

1. Watu wengi hudhani kwamba kila nabii anastahili kufanya na kutowa tu nabii.

a. Nabii hufanya zaidi ya kupata ufunuo

b. Huduma ya uponyaji na kuweka mikononi huenda pamoja na afisi ya nabii.

2. Nabii haelewi au kufahamu kwa kitukuhusu kila mtu au kila kinacho fanyika karibu naye.

5 MWINJILISTI (MWENEZAJI INJILI.)

Mwinjilisti ni yule anayeweza kuleta nafsi nyingi kwa Yesu. Yeye husafiri katika maeneo mengi akihubiri injili. Mfano wa mwinjilisti katika bibilia ni Philipo.



A. Mwito.

1. Mungu huweka, sio mwanadamu.

2. Mungu huita sio mwanadamu.

3. Mungu huandaa. Sio mwanadamu.

4. Motisha na shabaa ya mwito.

B. Karama ya huduma ya mwinjilisti.

1. Neno hili linapatikana tuu mara tatu katika agano jipya. Lina maanisha yule aletaye habari njema, mjumbe wa habari njema.(Matendo 21:8, waefeso 4:11, 2 tim 4:5)

2. Ujumbe wa kuvutia kwa mwinjilisti ni kuhusu mwokovu.

3. Mfano wa pekee tunaouona wa mwinjilisti katika agano jipya ni Philipo.

a. Alihubiri kristo(matendo 8:5,35)

b. Miujiza na uponyaji ulifuata (matendo 5:5-8)

4. Kuna tofauti kati ya mwinjilisti na mwenye kuinua.

C. Alama au jinsi ya kutambua mwinjilisti.

1. Kuvuma kwa habari kwa njia isiyo ya kawaida.

2. Lazima kuhubiri neno, nguvu kuu zitavutia watu. Miujiza na uponyaji itavutia watu, hata hivyo ni katika hali ya kuamini neno inayofanya watu kuoka.(matendo 8:6-8)

6. MCHUNGAJI.

Afisi ya mchungaji, kazi yake kuu ni kulisha kondoo, kuwaangalia na kuwashughulikia. Kuwapa malisho kuna jukumu kubwa kwa mchungaji. Kwa kulisha kundi la bwana na kupanga kundi la watu waitwao shemashi, ili kumsaidia na pia kuwasaidia kuwatumikia watu. Katika Yakobo 5 hakuta mchungaji kuwapaka mafuta wagonjwa, lakini viongozi/wazee wanasaidia kusimamia watu kiroho. Shemasi hushughulikia mahitaji ya kiasil/Nje ya kanisa na ya mchungaji. Kumbuka jukumu la mchungaji ni kulisha kondoo. Njia ya pekee mchungaji anaweza kufanya hivyo ni kufundisha na kuandaa wazee na shemasi kumsaidia. Msaada wao kwake itamwezesha kuwa na muda wakutosha mbele ya bwana na kujitayarisha kulisha kondoo chakula chenye madini yote sawa ya neno la Mungu. Tafakari kuhusu(Ezekieli 34:1-10, Yeremia 23:1-2) kama unaitwa kuwa mchungaji Mungu anawaangalia wachungaji wote leo na kila mchungaji atasimama mbele ya bwana siku moja.



7 MWALIMU.

Afisi ya mwalimu inapatikana mara tatu katika maandiko: (waefeso 4:11, 1 wakor 12:28-29 na warumi 12:4-11) Huduma hii ya kufundisha imeelezewa vyema katika agano jipya. Karama hii ya walimu inaweza patikana pia katika afisi ya mchungaji, nabii na mwinjilisti. Mmoja anaweza kuwa katika afisi ya mwalimu na awe mchungaji. Mmoja anaweza kuwa mwinjilisti au nabii na awe ni mwalimu pia. Hata hivyo mtu anaweza kuwa mwalimu na asiwe mchungaji. Mtu kama huyo yeye husafiri kwenda kufundisha, ilhali kwamba ana mchungaji wake na kanisa lake la nyumba anapohudhuria. Mkristo yeyote anaweza kufundisha neno kwa bibilia au kushiriki wanachokijuwa. Hii huitwa huduma ya upatanisho(2 wakor 5:18) Hii haimfanyi mtu kuwa mwalimu. Yeye anayefanya kazi katika afisi ya mwalimu, hufundisha neno kwa karama ya utukufu na ukuu wa Mungu. Sio tuu mtu aliye na uwezo na nguvu za asili ya kufundisha. Uwezo na maarifa yaweza kuwa ya manufaa/ msaada. Lakini karama sio utu wa asili ya kiroho.



8. HUDUMA YA KUSAIDIA.

Katikati ya orodha ya karama za huduma katika (1 wakor 12)Tunapata huduma ya kusaidia labda huduma yake sio ya kusaidia (28)



    1. Neno ‘kusaidia ‘ katika kigiriki lamaanisha ‘’msaidizi au mpumuzishaji’

  1. Ukweli ni kwamba ina busara wake kando na huduma zingine zilizotajwa. Labda ingeelezwa vyema kuwa sawa na ile ya shemasi.

  1. Neno hili limetumiwa katika (waphilipi 1:1, mathayo 3)

  2. Limetumiwa kwa niaba ya warumi 16:1 na kutafiriwa kwa mtumishi

  3. Huduma ya shemasi katika kanisa la kwanza. Hili linawajibika kwa kuangalia fedha za kanisa na kuwa waangalizi wa maskini na wagonjwa.

  4. Hii ni karama ya utukufu kutoka kwa kichwa cha kanisa. Zaidi na kuwa na uwezo wa asili kwa kufanya biashara ni muhimu.

  1. Shemasi wa kwanza saba (matendo 6:1-6)

  2. Shemasi wengine katika kanisa la kwanza (warumi 16:1-6)

  3. Huduma ya mwimbaji – kuna utofauti kati ya ‘’kuhudumu’’ katika wimbo na kuimba tu.

  4. Roho mtakatifu ndiye hudumu ya kusaidia. (yohana 14:16 ( mfariji = msaidizi)

  5. Wake wako katika huduma ya kusaidia. (mwanzo 2:18) anapoelezewa kuwa msaidizi kwa mume wake.

    1. Mahitaji ya kuhitimu kuwa shemasi. (1 tim 3)

9. MWISHO.

Usichukuliwe tu kwa majina na vyeo kama haujui ni wapi Mungu amekuita au amekuita kufanya nini. Usipoteze hata dakika, unapohisi mwito ndani yako wewe hubiri na kufundisha. Mwishowe mwachie Mungu akuweke katika afisi au nafasi aliyonayo kwako. Mungu hutukuza uwaminifu na siovyeo au najina kwa mfano hautakuwa mwinjilisti kwa kujiita hivyo.


UTIIFU.

    1. UTANGULIZI KWA KUTIIFU.

  1. Ni nini na ni nini isiyoutiifu?

  1. Utiifu ni hali ya mtindo wa maisha katika hali ya mkristo ya kujitolea, kuchunguza kwa nia ya kuweka na kufanya yote Mungu ameamuru.

  1. Kusitisha na kuachana na tamaa zako, kuweza kufundishika na kuaminika.

  2. Utiifu ni tendo na nia itokayo ndani ya moyo.

  3. Utiifu bila unyenyekevu ni utumwa.

  1. Utiifu si swala ndogo la ombi kwa mkristo, ni amri.

  1. Sio onyesho la taratibu za kidini, mtindo na matoleo.

  2. Sio kitu kinacho kifanya kwa ajili ya tuzo au kupokea kitu.

  3. Sio kitu unachofanya kuzuia hisia ya makosa.

  1. Utiifu ni jawabu la wema na hisia safi.

    1. Shida yake Sauli ilikuwa utaratibu wa dini shere na dhabihu.

    2. Mungu hupendezwa na mtu anayefuata magizo jinsi anavyoamuru.

    3. Mungu huhitaji utiifu kamili na sio tu sehemu au kiwango cha utiifu. Hata hivyo hakuna kitu kama utiifu kiasi au nusu.

B. Kupenda utiifu na matokeo yake. (zab 19:97-105, 129-139, 165-174)

1. Kupenda utiifu kutakusababisha kutafakari juu ya neno la Mungu na hiyo itaweka( yoshua 1:8)

2. ( Zab 119:97-100)

3. Itakuweka mbali na dhambi.(zab 119:9, 101:104)

4. Itakupa mwelekeo na mwongozo (zab 119:105)

5. Itakupa amani kuu(zab119:105)



2. UTIIFU: MWEZA PARADISO.

Download 1,15 Mb.

Do'stlaringiz bilan baham:
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   13




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©hozir.org 2025
ma'muriyatiga murojaat qiling

kiriting | ro'yxatdan o'tish
    Bosh sahifa
юртда тантана
Боғда битган
Бугун юртда
Эшитганлар жилманглар
Эшитмадим деманглар
битган бодомлар
Yangiariq tumani
qitish marakazi
Raqamli texnologiyalar
ilishida muhokamadan
tasdiqqa tavsiya
tavsiya etilgan
iqtisodiyot kafedrasi
steiermarkischen landesregierung
asarlaringizni yuboring
o'zingizning asarlaringizni
Iltimos faqat
faqat o'zingizning
steierm rkischen
landesregierung fachabteilung
rkischen landesregierung
hamshira loyihasi
loyihasi mavsum
faolyatining oqibatlari
asosiy adabiyotlar
fakulteti ahborot
ahborot havfsizligi
havfsizligi kafedrasi
fanidan bo’yicha
fakulteti iqtisodiyot
boshqaruv fakulteti
chiqarishda boshqaruv
ishlab chiqarishda
iqtisodiyot fakultet
multiservis tarmoqlari
fanidan asosiy
Uzbek fanidan
mavzulari potok
asosidagi multiservis
'aliyyil a'ziym
billahil 'aliyyil
illaa billahil
quvvata illaa
falah' deganida
Kompyuter savodxonligi
bo’yicha mustaqil
'alal falah'
Hayya 'alal
'alas soloh
Hayya 'alas
mavsum boyicha


yuklab olish