SIFA NA IBADA.
PEANA JIBU SAHIHI(UKWELI/ UONGO)
-
Sifa ni hali ya nje ya hisia zako kuhusu Mungu.
-
Sifa huleta uwepo wa Mungu katikati yetu.
-
Sifa ni ufunguo wa mawasiliano na kushirikina Mungu.
-
Ibada ni hisia ya moyoni inayomguza bwana.
-
Lazima kumwabudu bwana katika roho na ukweli.
-
Ibada au maabudu hayahitaji utakatifu maana Mungu anaweza tu kupokea.
-
Yatupasa kumwabudu Mungu na vilio vilimo ndani mwetu .
-
Mungu anaweza tu kupokea sifa kutoka kwa kikundi kizuri cha waimbaji.
-
Kumwabudu kwa kweli kutaleta mabadiliko kwa mwabudu.
-
Mungu ni roho, kwa hivyo ni lazima tumwabudu kwa mawazo yetu.
-
Mungu atatupokea kutokana na vyombo tunavyovicheza tu.
-
Mungu anatuita tumwabudu hata kama hatutaki.
-
Kuabudu kunaleta dhihirisho la nguvu za Mungu.
-
Tunaweza kumsifu Mungu kwa sauti zetu, lakini sio kutoka ndani mwetu.
-
Tunaweza kumsifu Mungu kutokana na vipawa, talanta na matoleo yetu.
-
Haikupasi kuzaliwa mara ya pili, ili kumwabudu Mungu katika roho.
-
Kuabudu ndiyo njia nzuri katika agano jipya ya kuwasiliana na Mungu.
-
Katika kumuabudu, Mungu huturejeshea upendo wetu kupitia dhihirisho ya roho mtakatifu ndani yetu.
-
Kuabudu kunaleta ukomavu na upendo kati ya ushirika wetu na Kristo.
-
Nimehudhuria kila somo katika darasa hili.
JINA___________________________ NAMBA_________________ TAREHE______________________
HAKI YA UPONYAJI.
(PEANA JIBU SAHIHI) UKWELI AU UONGO
-
Mungu huponya tu baadhi ya magonjwa.
-
Uponyaji unapatikana kwa dhabihu ya damu ya yesu kristo.
-
Katika dhabihu ya damu, tumekombolewa kutokana na laana na magonjwa.
-
Mpango wa Mungu kwa mwanadamu ilijumulisha uponyaji.
-
Kama dhabihu ya damu ni kweli kuondoa dhambi.
-
Yahova Rapha inamaanisha Mungu anayetubariki na magonjwa
-
Maana Mungu ni upendo atakayetukinga na maradhi yote hata tunapoendelea kuasi.
-
Mapigo yake yesu yameleta afya miilini mwetu.
-
Kama mwanadamu hangetenda dhambi basi ugonjwa haungeingia duniani.
-
Kutoamini kutamzuia Yesu kutuponya kulingana na Mariko6:5-6.
-
Uponyaji ulipitwa na wakati wa mitume kama tunavyoona katika Mariko16:18 na sasa lazima tuwapeleke wagonjwa kwa daktari.
-
Yesu alibeba ugonjwa wake na dhambi zake ili kila mtu abebe magonjwa zake.
-
Tumeponywa kulingana na 1Petro 2:24 tunapojihisi kuachiliwa na ugonjwa baada ya maombi.
-
Baadhi ya maradhi mengine husababishwa na pepo, roho mchafu, ndiposa uponyaji upatikane baada ya kukemea.
-
Dhabihu ya damu ya kristo inaweka msingi wote wa ukombozi
-
Hata hiyo si mpango na mapenzi ya Mungu kuponya kila mtu hata usipomuamini.
-
Neno la Mungu ni dawa, hivyo basi hatuhitaji dawa zingine.
-
Inagharimu hatua ya imani kupokea uponyaji wa mwili.
-
Mapenzi kamili ya Mungu kwa watoto wake si kuwaponya bali wawe na afya njema.
-
Ugonjwa wote hutoka kwa shetani.
JINA____________________________ NAMBA________________________ TAREHE___________________
TABIA YA MUNGU.
PEANA JIBU SAHIHI(UKWELI/ UONGO)
-
Tabia ya Mungu hupeleka sifa na matendo yote kumhusu Mungu.
-
Kujua tabia za Mungu ni sawa na kujua tabia zake.
-
Maana Mungu ni roho, yeye hamiliki mambo yale ya kimsingi yanayohusu binadamu.
-
Kuweko kwa Mungu kunaweza kuweko uumbaji.
-
Ufunuo halisi wa binadamu ni kupitia kwa mwanawe Yesu na bibilia.
-
Ukuu wa Mungu hupelekea uwezo wake na kutenda mambo yote kwa wema au ubaya.
-
Mungu ni mwenye uwezo zaidi anaweza kufanya mambo kinyume na hali yake.
-
Ingawa Mungu yupo kila mahali kuna viwango tofauti vya kuonekana kwa uwepo wake.
-
Mungu kwa wakati hubadilisha tabia zake kulingana na hali ya ushirika wake na mwanadamu.
-
Utawala wa Mungu hupelekea ufahamu wake kwa kwa mambo yote ya sasa na yajayo.
-
Kutobadilika kwa Mungu hupelekea Mungu kufanya chochote atakacho.
-
Maana Mungu ni roho lazima tumuabudu katika roho.
-
Maana Mungu baba wetu ni mtakatifu kwa niaba yetu, haitupasi kutafuta utakatifu.
-
Utakatifu na roho ya Mungu huhukumu dhambi lakini upendo huleta msamaha.
-
Haki ya Mungu hupelekea msimamo wa Mungu kwa mwanadamu.
-
Upendo ni tunda la Mungu.
-
Upendo wa kawaida wa mwanadamu ni kama upendo mkuu wa Mungu.
-
Yesu alisema, dhibitisho la upendo mkuu wa Mungu kwa mwanadamu ni kama upendo mkuu wa Mungu.
-
Majina yake Mungu yanonyesha wazi tabia zake.
-
Majina saba ya ukombozi ni wa Mungu kwetu hutambua baraka zilizopeanwa kwa njia ya damu.
-
Nimesoma maelezo na kazi yote niliyopewa.
JINA_______________________ NAMBA_________________________ TAREHE____________________
MAFUNDISHO KUHUSU BIBILIA.(KANUNI)
PEANA JIBU SAHIHI
-
Mafundisho au kanuni inamaanisha kufundisha ama kuelekeza.
-
Kanuni za bibilia ni ufunuo wa ukweli wa Mungu jinsi maandiko yanavyoeleza.
-
Maandiko ya mtakatifu ni pumzi ya Mungu yenye uhai.
-
Ni lazima turudie kila andiko linalozungumzia somo fulani ili tutengeneze mafundisho au kanuni.
-
Kanuni katika agano la kale ni kivili cha ukweli katika agano jipya.
-
Yesu kristo ni mwenye nguvu na alikuwepo kabla ya uumbaji.
-
Yesu kristo ni neno liloeleza mawazo na fikra za Mungu.
-
Yesu kristo alikuwa 50%Mungu na 50% mwanadamu.
-
Kanuni ya mwokuvu inamaanisha kuokolewa kwa mauti ya milele.
-
Kufanyika upya ni tendo la kawaida kuhusu vile mwanadamu aliumbwa.
-
Nguvu za kufanyika upya zinaweza kubadilishwa kuwa kiumbe kipya.
-
Kufanyika kuwa jamii ya Mungu kumetiwa muhuri na roho mtakatifu.
-
Tumetakasika kwa damu ya Yesu.
-
Adabu ni ishara nzuri ya upendo wa baba.
-
Kutakaswa inamaanisha kutengwa na dhambi za dunia.
-
Kuzaliwa upya yamaanisha kuzaliwa kwa roho.
-
Kila neno katika andiko maandiko limepulizwa na Mungu.
-
Yesu kristo alikuwa mwakilishi mkuu wa Mungu kwa viumbe vyote.
-
Moja wapo ya sababu zilizomfanya Yesu kuwa mwili wa kuangamiza kazi za shetani.
-
Yesu kristo anarudi kuchuka kanisa na kuokoa wenye dhambi.
-
Kupitia kwa haki tunapata uzima wa milele.
-
Kanisa ni mwili wa kristo pamoja na washirika katika kila dhehebu.
-
Yesu analiomba kanisa.
-
Kanisa ndilo kusanyiko lenye uwezo na bidii zaidi.
-
Kama mkristo, si muhimu kukutana na wakristo wenzako.
JINA________________________ NAMBA____________________ TAREHE________________
AGANO KATIKA DAMU.
PEANA JIBU SAHIHI
-
Mungu alitumia damu kuosha dhambi.
-
Agano katika damu ni makubaliano kati ya watu wawili au sehemu mbili ikiwa imefunikwa na damu.
-
Agano katika damu ilianza kati ya Mungu na Abrahamu.
-
Agano lolote katika damu limefunikwa na damu.
-
Damu ni uhai, maana uhai wa kila mtu umefunikwa na damu.
-
Katika agano la damu, ni lazima kutimiza hekalu zote nne ili iweze kutenda kazi.
-
Moja wapo ya sababu za mwanadamu kuingia katika agano la damu ni ulinzi wa ukomavu.
-
Katika mwanzo 17 ngano kati ya Mungu na Abrahamu ilifunikwa na tohara yake maana damu il.imwagika.
-
Moja wapo ya sehemu mbili zilizokubaliana yawezakujitokeza na kuweka mwisho katika agano.
-
Katika agano jipya na la kale roho mtakatifu huja tu kwa watu fulani mashuhuri.
-
Katika bibilia umwagikaji wa damu unapelekea kifo.
-
Mungu ndiye chanzo chote cha damu yote na agano, basi hata katika hali ya siri jamaa zetu umwagikaji wa damu ni maandiko.
-
Mtu mmoja anayevunja agano hatakufa ikiwa ana sababu nzuri.
-
Ingawa ni Mungu, damu ya yesu ilikuwa ya mwanadamu maana alizaliwa na mwanamke.
-
Mungu aliamurisha dhabihu ya wanyama katika agano la kale na hii inaendelea katika agano jipya maana Mungu habaliki.
-
Katika agano jipya, utakatifu haumo hekaluni. Lakini miilini mwetu ni hekalu takatifu la roho mtakatifu.
-
Siku hizi mhuri au alama yetu ni agano la kuzaliwa upya.
-
Bibilia inajumulisha agano mbili.
-
Kwa maana damu ni uhai, inaweza kuchanganywa kwa kikombe na divai na kila mtu anywe maana ni ishara ya agano.
-
Damu ya wanyama angefunika tu dhambi za wanadamu, lakini damu ya Yesu huziosha.
-
Agano jipya ni bora maana Yesu alizaliwa kuokoa mwanadamu.
-
Msalabani Yesu angelilia ushindi kwa sababu alikuwa ameunganisha mwanadamu na Mungu
-
Mungu hufanya agano nasi kwa sababu agano lake na Abrahamu lilikuwa la muda.
JINA_____________________ NAMBA______________________________TAREHE____________________
USIMAMIZI WA MKRISTO.
PEANA JIBU SAHIHI.
-
Wakristo ni wasimamizi wa kuaminiwa na mamlaka kutoka kwa Mungu.
-
Msimamizi mwema hupewa majukumu mengi.
-
Msimamizi anawajibika kwake na wengine na Mungu.
-
Uhai wetu ni wa bwana, kwa hivyo sisi ni waangalizi wa maisha yetu.
-
Umiliki au bwana mkuu huangalia mahitaji ya mtumishi au msimamizi wake.
-
Inatupasa kutumia wakati wetu kwa hekima tukihubiri injili maana Yesu anaweza kurudi kwa wakati wowote..
-
Wasimamizi wazuri wako tayari kwa kupeana hesabu yao.
-
Baadhi ya mapato yetu ni ya Mungu.
-
Kutoa fungu la kumi ni amri kutoka kwa Mungu.
-
Jinsi anapotoa zaidi ndivyo vile anavyokuwa na kidogo kulingana na Luka 6:38.
-
Pesa ndiyo chanzo cha uovu wote.
-
Kama waamini, vyote ulivyo navyo ni vya Mungu. Sisi ni njia za kupitisha wala si ghala la kuweka.
-
Ni mapenzi yake Mungu kuwafanikisha watumishi wake.
-
Katika siku ya hukumu, kazi zetu zote zitajaribiwa kwa moto.
-
Kuwa mwenye ufanisi inamaanisha kuwa umebarikiwa ya kutosha ili uwe baraka kwa wengine.
-
Inawezekana kutokwa mwanifu kwa mambo madogo, lakini kuaminika kwa makubwa.
-
Si kila mwamini katika Kristo anayehitajika kutoa fungu la kumi.
-
Fungu la kumi lilikuwa swala la kutatanisha katika Wakati wa agano jipya.
-
Fungu la kumi ni 10% ya mapato yako unayoitumia kwa kusaidia waombaji na jamii masikini.
-
Kiasi cha matoleo ya kila kulingana na vile muchungaji anavyo mshawisha kutoa.
-
Mwamini asiye toa fungu la kumi ni mwizi na mnyangang’anyi anaiba kutoka kwa Mungu.
JINA_________________________ NAMBA___________________________ TAREHE______________________
ELIMU YA PEPO.
PEANA JIBU SAHIHI.
-
Elimu ya pepo ni masomo kuhusu chanzo na jinsi shetani na pepo wake wanavyofanya kazi.
-
Huduma tatu za shetani ni kuiba, kuuwa na kuharibu.
-
Shetani huitwa Mungu wa ulimwengu huu.
-
Kuna ukweli fulani ndani ya shetani.
-
Shetani hufanya kazi kupitia kwa roho ya pepo na serikali yake.
-
Shetani anajua mawazo ya kila mmoja wetu.
-
Yesu anawapa waamini juu ya shetani.
-
Kwa sababu ya kutojali kwa baadhi ya waamini shetani huwapata nafasi kwao.
-
Mkristo aliyezaliwa mara ya pili hawezi kugandamizwa na shetani.
-
Shetani alikuwa mbinguni kama lusifa kabla ya kutenda dhambi na kuweza kutubu, Mungu atamsamehea na kumkubali mbinguni tena.
-
Adui mkuu wa mwamini ni shetani.
-
Kusimama wima dhidi ya shetani yatupasa kuvalia silaha zote za Mungu.
-
Mamlaka dhidi ya shetani ni katika jina la Yesu.
-
Neno la Mungu sio silaha yenye nguvu katika vita vya kiroho.
-
kuita tena roho za waliokufa mwishowe kuwekesha mtu katika siri.
-
Uongo ni njia ya shetani.
-
Katika sila za kiroho za Mungu, imani imefananishwa na kofia.
-
Mwamini amepewa mamlaka juu ya kila nguvu shetani.
-
Shetani anaweza kujitokeza kama malaika wa nuru.
-
Shetani huitwa mshtaki wa wateule.
-
Shetani na jeshi lake huzaa na wanadamu na kuwa na watoto wa kipepo.
-
Kupagawa na pepo ni kumanisha kuwa chini ya uongozi wake.
-
Ili kutambua nguvu za shetani, mkristo lazima awe amejiandaa kiroho.
-
Kumiliki mfu ni hatua ya mwisho kwa shetani ili kuharibu huyo mtu.
JINA_____________________ NAMBA______________________________________ TAREHE____________________________
MWANAFUNZI (1)
PEANA JIBU SAHIHI.
-
Mwanafunzi ni yule aliye na nidhamu ya kumfuata Yesu.
-
Mwanafunzi huwacha vyote kumfuata Yesu.
-
Lengo kuu la kuwa na wanafunzi ni kuendeleza ufalme wa Mungu.
-
Tamaa ya mwili huzuia mtiririko wa roho katika maisha ya mwanafunzi.
-
Mwanafunzi mwema lazima awe kama bwana wake.
-
Kuendelea katika neno la Mungu inamaanisha kuwa mwanafunzi wa yesu halisi.
-
Mwanafunzi ni yule anayempenda Bwana kwa moyo wake wote, nafsi na mwili.
-
Hali ya kujikana ni hatua nzuri ya kuwa mwanafunzi mwema.
-
Yesu aliishi maisha ya kujikana.
-
Yesu hakuwahi kujaribiwa kwa sababu yeye ni Mungu.
-
Maisha ya mwanafunzi ni maisha yakutumika na kujitoa dhabihu.
-
Kupenda kusifiwa na mwanadamu ni tabia nzuri na ya kweli kwa mwanafunzi.
-
Mungu anaangalia mwanafunzi kuendeleza ufalme.
-
Kujisumbua na mambo ya ulimwengu huu husonga neno la Mungu ndani yetu na kutufanya tusiweze kuzaa matunda.
-
Hakuna kinacho hitajika kwake kuwa mwanafunzi. Mungu tayari amefanya yote.
-
Kujisumbua na mambo ya ulimwengu itakuzuia kutembea na Mungu kama mwanafunzi.
-
Mwanafunzi halisi hawezi kutingizwa rahisi na shida za maisha.
-
Mwanafunzi wa kweli ni yule anayeweza kufunga siku 40.
-
Lazima ufe mwili ili uzae matunda.
-
Kama Yesu alivyokataliwa,kila mwanafunzi lazima akataliwe.
-
Unaweza kujitolea kwa kila tamaa ya mwili na bado uwe mwanafunzi mwema.
-
Mwanafunzi siyo mzembe, bali mtu wa juhudi kwa mambo yote.
-
Kushinda ulimwengu, mwili na shetani ni matokeo ya mwanafunzi mwema.
-
Mwanafunzi huwa na kiasi katika sehemu yote ya maisha yake ya kiroho na ya kawaida.
-
Mimi ni mwanafunzi aliye na nidhamu ya kumfuata Yesu.
JINA________________________________ NAMBA________________________ TAREHE_______________________
UINJILISTI.
PEANA JIBU SAHIHI.
-
Uinjilisti ni kushiriki injili na watu, kuwaondoa katika ufalme wa giza na kuwaleta katika ufalme wa nuru.
-
Uinjilisti ni kazi ya muinjilisti.
-
Injili inahusu yale Yesu alisema na siyo yale alitenda.
-
Hatuhitaji kuwa na maoni ndiposa tufanye uinjilisti.
-
Haijalishi kama ni kazi yako, lazima ionekane kama nafasi yakuhubiri injili na mtindo wa maisha yako pia lazima ya hubiri injili.
-
Mungu ni mwema sana. Kiasi kwamba haturusu jamii zetu kwenda jehanamu, kwa sababu hatuna wakati wa kuwahubiria injili.
-
Mungu ametuita katika tume kuu kuhubiri na kufundisha. Lakini ni kazi ya roho mtakatifu kufanya kazi katika mioyo yetu.
-
Kama mbalozi wa Yesu lazima tuilinde injili yake.
-
Katika uinjilisti unahitajika kujuwa wakati wa kuongea na kuwa kimya.
-
Kila Mkristo aliyezaliwa upya anaoushuhuda.
-
Watu hawawezi kumwita Mungu. Kabla hawajasikia kumhusu na hawatasikia kumhusu pasipokuwa na mtu wakuwahubiria.
-
Tunakuwa nje kwa uinjilisti. Hatustahili kuomba wagonjwa maana hiyo inaweza kufanyika siku nyingine.
-
Kama wakristo hatutahukumiwa kama tutaenda mbinguni au jehanamu. Lakini kulingana navile tumetumiwa talanta zetu.
-
Wale tumewafikia kwa injili lazima watufate maana sisi ni wazazi wao wa kiroho.
-
Usimpe au kumonyesha mwenye dhambi dini, mpe uwezo wa Mungu.
-
Watu wengine hawahitaji kuhubiriwa maana si wabaya sana.
-
Kwenda nje kwa kueneza injili ni amri kutoka kwa bwana na sio tu wazo.
-
Kazi ya kanisa ni kufanya mwanafunzi.
-
Ni baadhi tu ya watu kadha wanahitaji kufikiwa na injili.
-
Injili ni hali sio kuamini.
-
Ni wainjilisti pekee wanaostahili kuwa na huruma kwa mioyo iliyopotea.
-
Kufuatilia si muhimu kwa uinjilisti. Mungu mwenyewe anayefuatilia.
-
Upendo ndiyo silaha yako ya kuvuna mioyo.
JINA________________NAMBA_______________TAREHE________________
ROHO MTAKATIFU
PEANA JIBU SAHIHI
-
.Mungu alitumia Roho Mtakatifu kuumba mbingu na nchi.
-
Roho Mtakatifu ndiye aliyekuwa mtu wa kwanza katika utatu kuonekana duniani.
-
Baba ,Mwana na Roho Mtakatifu wanatoshana katika utendaji wa kazi kwa maumbile.
-
Ubatizo wa Roho Mtakatifu unafungua milango kwa karama za Roho.
-
Roho ni nguvu kuu zinazotenda kazi maishani mwa mkristo.
-
Bila Roho mtakatifu hatuwezi kuishi maisha matakatifu na tutapigana na dhambi kila wakati.
-
Katika Mathayo 3:10 tunasoma kwamba Yesu alibatizwa kwa Roho.
-
Hauwezi kumwabudu Mungu bila Roho.
-
Katika kanisa la kwanza watu walijazwa na Roho kabla ya kuzaliwa upya.
-
Ni baadhi tu ya wakristo kadha wanaoweza kubatizwa kwa Roho Mtakatifu.
-
Kwa wakristo waliozaliwa upya na kujua neno la Mungu,hatuitaji Roho kuambia ulimwengu ya kwamba wanamuhitaji Yesu.
-
Yesu hakuongea kwa lugha maana hakuona umuhimu wake kwetu.
-
Roho Mtakakatifu alikuja duniani kwa kusudi kuwasaidia wakristo kukamilisha mpango wa Mungu.
-
Roho mtakatifu nikipawa naye Mungu hupeana kwa anayemtaka.
-
Roho Mtakatifu ndiye mudhamini wa maisha yetu ya milele.
-
Roho Mtakatifu ni mfariji.
-
Katika hali ya kuzaliwa upya ni Roho Mtakatifu anayetushawishi kuhusu dhambi.
-
Mungu anataka tufunge,tuombena kuitisha ili tupokee Roho Mtakatifu.
-
Wakati wa kunyakuliwa,tutachukuliwa tu hewani tukiwa na alama ya Roho Mtakatifu.
-
Kwa maana Roho Mtakatifu anaishi ndani mwetu ,tunaweza kujichagulia wenyewe hali ya kazi yetu,tukijua kwamba atatuelekesha.
-
Mkristo lazima angojee miaka mingi kabla ya kubatizwa kwa Roho.
-
Roho Mtakatifu hufananisha kwetu kama chemi chemi ya maji.
-
Maana yeye ni Mungu Roho Mtakatifu hulazimisha watu kumtii.
-
Njiwa aliyemshukia Yesu baada ya ubatizo alikuwa wa Roho Mtakatifu.
-
Kama wana wa Mungu tunaweza kuja kwa Baba bila Roho Mtakatifu.
Jina___________________Namba__________________Tarehe________________
UTIIFU.
PEANA JIBU SAHIHI.
-
Utiifu ni swala la kujitolea kwa maisha ya kila mwamini katika kristo.
-
Utiifu lazima uambatane na unyenyekevu.
-
Utiifu ni kitendo cha hali nzuri kutoka ndani ya moyo.
-
Utiifu ni wazo kutoka kwa Mungu ju ya mwamini .
-
Kufanya kitu chema kwa wakati usiofaa au kinyume ni kutotii.
-
Utiifu ni jawabu la wema na hisia safi ya moyo.
-
Utiifu ulikuwa mtindo wa maisha yake yesu kristo .
-
Kupenda utiifu kunamuhifadhi mmoja kwa dhambi .
-
Kwa maoni Mungu anatupenda,hata tukiasi hatatunyima baraka.
-
Utiifu wa muda si utiifu.
-
Utiifu unasomwa.
-
Mungu anachukia uasi na hii ndio iliokuwa sababu ya ushirika wake na mwanadamu kuvunjika shambani Edeni.
-
Kutenda dhambi makusudi na kutubu ni sawa na kutii.
-
Tunatii Mungu ili tutuzwe.
-
Dhambi ilikuja kwa njia ya kutotii na haki ilikuja kwa njia ya kutii.
-
Kaini na Abeli Wote walimtii Mungu kwa kumtolea dhabihu.
-
Kusikiliza neno yatosha na muhimu kwa mfanisi wa mkristo.
-
Bibilia ni kitabu cha utiifu.
-
Kutii ni bora kuliko dhabihu.
-
Bila roho wa Mungu ni vigumu kutembea katika utiifu.
-
Mtu aliye na hofu yeye hatii neno la Mungu.
-
Kutii kunahitaji kujitokeza kwa moyo wote.
-
Kukaa kufuata mwongozo wa roho ni kukata kutii Mungu.
-
Kutii ndio njia pekee ya utakatifu wa maisha.
-
Yesu alijifundisha utiifu kwa mambo mengi yaliyompata.
JINA__________________ NAMBA______________________ TAREHE.
MAOMBI 1.
PEANA JIBU SAHIHI.
-
Maombi ni zoezi la ubatili, hofu na kutoamini.
-
Maombi ni kurudisha neno la Mungu kwake na kumkumbusha juu ya neno hilo.
-
Maombi ni ya Muhimu kwa maisha ya mkristo ambapo yaweza kulinganishwa na hali ya kupumua kwa mwanadamu.
-
Maombiya mtu mwema mwenye haki ina nguvu ya kutenda mengi makuu.
-
Kuomba ndio njia ya pekee tunayounganisha nguvu zetu na Mungu.
-
Mungu hufanya mambo hapa duniani na katika maisha ya mkristo anapoomba au asipoomba.
-
Mungu huruhusu mambo hali maishani mwetu ili kuona umbali gani tunaweza kumuani.
-
Mungu husika na kujibu maombi yetu hata wakati tumejawa na shaka moyoni.
-
Mungu husikia yale tunayoyasoma, lakini haongei kiasi gani tumeweka tumaini yetu kwake.
-
Mambo fulani ambayo hayakutakikana kubadilika, yanaweza kubalika ikiwa tutauliza kwa imani.
-
Yote tunayoyauliza tutapata hata tusipodumu ndani mwa Yesu kristo.
-
Pasipo imani maombi yetu ni bure.
-
Tunayapokea tunayoyaulizakwa imani.
-
Ni mapenzi ya Mungu tuombe na mwishowe tupate.
-
Kama wa kristo, yatupasa tu kuwaombea wenzetu katika kristo peke yake.
-
Kunazo njia tofauti za Maombi.
-
Lazima tuwe na hofu tunapoomba maana ni swala la kuimarisha.
-
Tunapoomba kwa roho tunasema mambo ya siri kwa Mungu.
-
Bibilia inatuuliza tu kuomba wakati tumahitaji ya kuwakilisha kwa Mungu.
-
Ombi lililofanywa na utiifu kwake Mungu linapopenya na kumwendea moja kwa moja.
-
Tunajua ya kuwa ombi letu linajibiwa tunapoona dhihirisho kama tulivyokusudia.
-
Kwa maana Mungu ni baba yetu tunahitaji kumshukuru kwa yote.
-
Ili maombi yetu kujibiwa lazima tuombe kulingana na mapenzi yake.
-
Kijitabu cha maombi ni cha muhimu kwa aliyeokoka juzi maana hajui jinsi ya kuomba
-
Katika wathesolonike 5:17 inatuuliza kuomba bila kukoma.
JINA________________________ NAMBA_________________________ TAREHE______________________
Do'stlaringiz bilan baham: |