Mungu mkuu wa mipango


MUNGU ANATAMANI KUFANIKISHA WATUMISHI WAKE (KUMBUKUMBU LA TORATI 28)



Download 1,15 Mb.
bet10/13
Sana24.06.2017
Hajmi1,15 Mb.
#14917
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   13

2. MUNGU ANATAMANI KUFANIKISHA WATUMISHI WAKE (KUMBUKUMBU LA TORATI 28)

A. Agano la kale.

1. Abrahamu. (mwanzo13:2,24:35)

2. Isacah na Yakobo. (mwanzo 26:12, 30:43)

3. Suleimani. (1 samw 3:13)

4. Yobu. (yobu42:12)

B. Agano jipya.

1. (mariko 10:29, lk 6:38, wafilipi 4:19, 3yohana2)

2. Paulo hakutamani fedha au dhahabu ya mtu kwa maana alikuwa na zaidi ya kiasi alichopata kwa kazi yake ya kutengeneza hema.(wafilipi 4:18-19, mat 20:32-35)

3. Yesu.


a. Alikuwa na hazina.

b. Alishuhudia kundi la uenezaji injili la watu 12)

c. Alitembelea vazi bila mshono, vazi la gharama mno.

3. HATARI ZINAZOAMBATANA NA UFANISI.


  1. Tamaa yakutaka kuwa na mali ya kuelekezwa kwa kila aina ya uovu.(1tim 6:9-10)

  2. Hatari ya uchoyo.(mhubiri 5:13, lk12:15-21, yak5:1-3)

C. Kupima utajiri wako kwa vitu unavyomiliki ni kuachilia kiwango cha uongo maishani.

D. Utajiri unaweza kuleta kiburi na kusababisha mmoja kumsahau bwana, ambayo mwisho wake ni uharibufu.

E. Tajiri mdogo aliyempenda mali yake kumliko Mungu, pesa yake ilimiliki baada ya kuimiliki pesa.(mariko 10:17-27)

F. Shida si pesa lakini hali yetu kuhusu pesa ni mtihani kamili kuonyesha kama uko pahali salama ni kama kuwa tayari kugawa, kupeana kwa kushirikisha mali yako. (1 tim 6:6-19)



G. Mwongozo wa kushinda hatari za utajiri.

1. Tazamia vitu vilivyo juu na sio vitu vya dunia.

2. Usitafute kuwa tajiri lakini kuwa na baraka. Fanya kutoa kwa shabaa kupata mali.

3. Kama wasimamizi hatumiliki kile Mungu ametuamini nachokuwa chombo cha kupitisha na siyo nyumba ya kuhifadhi na kuweka.



4. FUNGU ZAUFANISI KATIKA BIBILIA.

Fungu- Fungu ni sehemu ya mapato yako inayotelewa kwa kusaidia kazi ya kanisa.(malaki3:10)

  1. Zaka za mazao iwe ni matunda ya mti au nafaka, yote ni mali ya mwenyezi Mungu ni takatifu kwa Mungu(walawai27:30)

  2. Ilikuwa desturi mbili za sheria.

  1. Abrahamu alilipa zaka vitu alivyokuwa navyo vyote kwa Melkishedeki.(mwanzo 14:18-24)

  2. Yakobo alimahidi kumpa Mungu sehemu kumi ya mali yake.(mwanzo 28:10-22)

  1. Sababu za kutoa zaka.

  1. Inatufundisha kila wakati kumweka Mungu mbele kwa maisha yetu.(kumb14:22-23)

  2. Inatufundisha kuwa na uhuru wa kuwa na vitu tulivyonavyo inatusaidia tusiwe wafungwa wa pesa.

  3. Inasimamia huduma za kazi ya kanisa.

  4. Hupeana mbegu yenye Mungu huongeza kwa kukutana na mahitaji yetu.(lk 6:38)

  1. Fungu/ zaka na agano jipya.

  1. Kwa nini zaka imezungumziwa kwa uchache katika agano jipya? Ilikubaliwa na wote kwa kuwa swala la utata.

  2. Yesu alifundisha kuwa haifai kupuuza zaka.

  3. Yesu kama kuwani mkuu baada ya Melkishedeki anapokea zaka zetu, ingawa inaonekana kama tunatolea mwanadamu.(waeb7:8)

  1. Zaka na sadaka.

  1. Sadaka ni vipawa tunavyoleta tukiwakilisha asilimia 10% ya mapato yetu.

  2. Kiasi cha sadaka yetu kitavutiwa na mapato yetu, upendo, imani na jinsi Mungu anavyotuongezea roho wake.

  3. Kunasheria kuhusu kutoa na kupokea(wakor9:6)

  4. Mapato yetu yote ni ya Mungu. Anatueleza tunachostahili kufanya na 10% tulete katika nyumba yake.halafu anatupa uhuru wa kutumia 90% ya yale ametupa ili kukutana na mahitaji yetu na kusaidia injili na sadaka.

  5. Baraka na laana zinazoambatana na zaka.

B. Kujipeana kikamilifu kwa Mungu.

1. Vitu vyote ambavyo tunahitaji.(nguo, chakkula, maji na kadhalika.)vyote vimehifadhiwa na mwana wa Mungu.(math6:24-34)

a. Kuna masharti ya kutimiza ahadi hii.

1. Tafuta ufalme wa Mungu kwanza. Fanya ufalme wa Mungu kuwa wa kwanza.

2. Mwamini Mungu na usiwe na shaka, kuwa na imani.

b. Mungu ametuonya kwa kujishughulisha na vitu vya dunia.

1. Kwa kuwa na shaka kwa onyesha kutomwamini Mungu.

2. Vitu vya dunia vya weza kuwa vya miungu au sanamu.

3. Hii hali ya miungu hudhuru maskini hali kadhalika tajiri.

2. (2wafalme 4) Huu ni mfano wa Mungu tunapomweka wa kwanza na kumuamini.(mama mjane na mwana Mshunemu.)

a. Mama mjane alionyesha imani kwa kutii neno la bwana

b. Elewa kwamba alivyopeana vyombo,mafuta iliendelea kumwagika.Tunasimamisha baraka zetu tunapoacha kuleta vyombo vitupu.

3. Abrahamu alipata ufanisi wake mkuu na wakawaida. Siri ilikuwa ipi?


  1. Alitafuta ufalme wa Mungu kwanza na siyo vitu vya asili.

  2. Aliwacha vitu vyote na faraja za nyubmbani kule Herani na kumtii Mungu.

  3. Kama macho yake yangelikuwa kwa vitu vya dunia hangelienda kwa sababu mji huo ulikuwa unajulikana na kituo cha biashara ambacho angalipata ufanisi zaidi.

  4. Alikuwa akitafuta ufalme wa Mungu usijengwa kwa mikono.

b. Abrahamu alitembea kwa imani na sio kwa kuona. Aliishi kwa neno la Mungu.

1. Mungu alipomwambia aende kwa nchi asiyoijua alitii.

2. Alipoambiwa kumtoa Isacah alitii.

c. Abrahamu alijitoa huru kutoka kwa kung’ang’ana na akatembea kwa imani na wenzake.

d. Abrahamu hakuwa na choyo ila ukarimu.

e. Abrahamu alikuwa mtu mwaminifu na mwadilifu.(mwanzo14:13-24)

1. Alikataa kufuata njia fupi na kukataa ufanisi wa haraka ambao haungalimtukuzaMungu.

2. Alijizuia na jaribio la kufanya muungano usio takatifu na dunia na kuwa rafiki wa mtido wa dunia kwa faida yake.

f. Abrahamu alikumbuka sheria ya ufanisi na zaka.(alitoa asilimia10% ya malia yake yote.(mwanzo 14:20)

g. Abrahamu aliachilia kila kitu kwa Munguhata mwanawe mpendwa Isacah.(mwanzo22)



5. KANUNI ZINAZOONEKANA ZA KUTO NA KUPOKEA.

A. Fanyisha imani yako kazi unapotoa.

  1. Mbegu ya imani.

  2. Kirii kwamba Mungu amekubariki na azida kukubariki.

  3. Kuwa na hakika ya mawazo na umuombe Mungu.

  1. Weka orodha ya yale unaamini Mungu kutenda.

  1. Orodha italeta mwelekeo wa imani yako na kukusaidia kuona Mungu akitimiza.

  2. Wingu la shaka laweza kuja juu yako ukiwa na mahitaji mengi usiyoyaweza katika mawazo yako.

  1. Ombea kila jambo na uwe wazi.

  1. Mungu anhitaji kujitolea kwako kufanya yale anayoyasema kabla hajakufunulia yale anayotaka ufanye. Hivyo basi jitolee kufanya mapenzi ya Mungu.

  2. Hakikisha kwamba unatii neno la Mungu.

E. Fanya mipango zilizokubwa kumhusisha Mungu.

1. Kama inaweza kutimizwa bila usaidizi na bila kushuka kwa Mungu. Basi ni kidogo sana.

2. Usijipimie kwa uwezo wako na usijaribu kufikiria jinsi Mungu atakavyoifanya.

F. Tenda kulingana na mipango yako-anzisha na ukumbuke imani bila matendo imekufa.

G. Peana kwa wale wanaokuhudumia.(wag6:6)

H. Ishi leo kama vile Yesu angeishi leo.(waef 5:16)

I. Panga mapema kutoa.(1wakr 16:1-2)

J. Elekeza kwa watu kwa sababu Yesu alijali watu kwanza.

K. Muulize roho mtakatifu akuelekeze kwa kutoa kwako.

L. Hakikisha kwamba mhuduma au msaidia kifedha anahubiri injili ya kweli na kutumia fedha za Mungu kwa njia ya kuajibika na kuishi sawa mbele za Mungu.

M. Toa kwa furaha.(2wakr 9:6-7)

N. Toa kwa moyo wote.(2 wakr 9-7)

O. Fuata maandiko.(lk 10:30-37)
ELIMU YA PEPO.

Mtawala au kujifunza asili na mwanzo wa kazi ya shetani na pepo wake ”Mwizi huja kwa sababu ya kuiba, kuharibu na kuua. (yohana10:10)



  1. SHETANI ALIKUWA MBINGUNI KAMA LUSIFERI.(Ezk 28:1-19)

  1. Alitupwa chini.(ufunuo12:9)

  2. Theluthi moja ya malaika walienda naye.(ufunuo 12:9)

  3. Anatawala katika mtindo wa kama Mungu wa dunia hii.(2 wakr 4:4)

  4. Ana mamlaka ya kiroho na serikali yake.(waefeso6:12)

  1. SHETANI NA PEPO LAKE WANAUWEZO HATA SASA.

  1. Anazunguka akiharibu.

  2. Wanaendelea kushitaki wateule.

  3. Hawawezi kuzaa na mwanadamu.

  4. Hawawezi kusoma akili zako.

  1. YESU ALIMSHINDA SHETANI.(wakol2:15)

  1. Yesu alitupa mamlaka yake juu ya shetani na kazi yake.(math18:20)

  2. Lazima tuongozwe na roho mtakatifu ndiposa tutambue roho mchafu.)

  3. Usipuuze hila zake akaja akapata heri juu yetu.

  1. HATUA SABA ZA MASHAMBULIZI YA ADUI.

  1. KURUDI- Kurudi nyuma, kurudia mazoea mabaya.

  2. KUZUIA- Kutokuwa na maana, kugeuza, kunyamaza, kutoongea juu ya shida.

  3. KUSHINDWA- Kufinyilia chini, kuficha hisia.

  4. BONDE- Roho iliyovunjika, iliyoumizwa, kuchanganyikiwa, hasira, kukosa amani, kukosa furaha, kujiua, kutokuwa na nguvu na hali ya kuvutia.

  5. UDHALIMU- Kukufinyilia chini na kitu kilicho kizito, ugonjwa, maradhi, uwoga na huzuni.

  6. SHAUKU- Kufanya hali kuwa ngumu, uongo kuonekana, kutofikiria chochote.

  7. KUMILIKI- Shetani kukutawala kabisa, kusikia sauti nyingi, kutojielewa, macho kuvutiwa.

  1. MAJINA YA SHETANI.

  1. ABBADONI- (apolioni)- Tena wanaye mfalme anayewatawala ndiye mtawala wa kuzimu. Jina lake kwa kihebrania abbadoni na kwa kigiriki apoliono yaani mwangamizi.

  2. MSHATAKIWA WA WAPEDWA- Maana yake aliyeshtaki ndugu zetu mbele ya Mungu ametupwa chini huyo anayewashtaki usiku na mchana.

  3. ADUI- Muwe macho kesheni usiku na mchana maana huzungukazunguka kama simba na kuguruma akitafuta mawindo.

  4. MALAIKA WA NURU- Wala si ajabu maana hata shetani mwenyewe hujisingizia kuwa malaiaka wa Mungu.

  5. MALAIKA MTEULE- Wala si ajabu maana hata shetani mwenye hujisingizia kuwa malaika wa mwanga.

  6. BEELZEBULI- Lakini mafarisayo waliposikia hayo wakasema mtu huyu anafukuza mapepo kwa uwezo wa Beelzebuli mkuu wa pepo.

  7. BELIALI- Kristo anawezaje kupatana na shetani? Mwamini ana uhusiano gani na asiyeamini?

  8. MCHAGUZI WA MAWAZO- Lakini naogopa kwamba, kama vile yule nyoka kwa uwongo alimdanganya Hawa, fikira zenu zaweza kupotoshwa mkauwacha uwaminifu wenu.

  9. IBILISI(MDANGANYIFU.)- Basi joka hili likatupwa nje. Joka hilo ndile lile joka la kale ambaye huitwa pia ibilisi au shetani ambaye hudanganya ulimwengu.

  10. MNYAMA- Kisha ishara ikatokea mbinguni joka kubwa jekundu na lenye pembe kumi na vichwa saba na kila kichwa kilikuwa na taji.(ufunuo 12:3)

  11. MTESI- Adui alipanda yale magugu ya ibilisi, mavuno ni nyakati.(math13:39)

  12. MUNGU WA ULIMWENGU- Hao hawaamini kwa sababu Mungu wa ulimwengu huu amezitia giza akili zao wasipate kuona wazi mwanga wa habari njema ya utukufu wa kristo ambaye ni mfano kamili wa Mungu.(2wakr4:4)

  13. MFALME- Tena wanaye mfalme anaye watawala naye ndiye malaika wa kuzimu.(ufunuo 9:11, waef 6:12)

  14. MUONGO- Ninyi ni watoto wa baba yenu na mnataka tu kutekeleza tamaa za baba yenu. Yeye alikuwa muuwaji tangu mwanzo: hana msimamo katika ukweli kwani ukweli haumo ndani mwake asemapo uongo kutokana na hila yake ya maumbile.

  15. LUSIFERI- Jinsi gani ulivyoporomoshwa toka mbinguni wewe ulikuwa nyoka wa alfajiri njinsi ganoi ulivyoangushwa toka mbinguni. Wewe uliyeyashinda mataifa.

  16. MUUWAJI- Alikuwa muuwaji tangu mwanzo hana msimamo katika ukweli.(yohana 8:14)

  17. MTHALIMU- Mnajua Yesu wa Nazareti ni jinsi Mungu alivyomteuwa kwa roho mtakatifu na nguvu. Mungu alikuwa pamoja naye. Yeye alikwenda huku na huko akitenda mema na kuwaponya wote waliokuwa wamevamiwa na ibilisi.

  18. MFALME WA ANGA- Mtawala wa nguvu wa anga. (Waefeso2:2)

  19. MFALME WA GIZA- Tunapigana na watawala wakuu na wenye nguvu wanaomiliki ulimwengu huu.(waef 6:12)

  20. MFALME WA ULIMWENGU- Sasa ndio wakati wa ulimwengu huu kuhukumiwa. Sasa mtawala wa ulimwengu huu atahukumiwa. (yohana12:31, 16:11)

  21. SIMBA AGURUMAYE- Muwe macho kesheni maana adui wenu huzunguka zunguka kama simba angurumaye akitafuta mawindo.

  22. SHETANI- Basi ikatokea siku moja malaika wa Mungu walikwenda kukutana na mwenyezi Mungu naye akajitikeza pamoja nao.

  23. NYOKA- Lakini naogopa kwamba yule nyoka kwa hila zake za uongo alimdanganya Hawa.( 2wakr 11:3, mwanz 3:1)

  24. MSHAWISHI- Basi mshawishi akamjia.(math4:3)

  25. MWIZI- Mwizi huja kwa ajili ya kuiba, kuuwa na kuangamiza. Mimi nimekuja muwe na uhai wa kudumu.(yohana 10:10)

  26. MWOVU- Yeyote asikiaye neno juu ya ulimwengu wa Mungu bila kuelewa ni kama zile mbegu zilizoanguka njiani yule mwovu huja na kunyakuwa kile kilichopandwa moyoni mwake.

  1. MAJINA YA ROHO YA PEPO.

  1. Roho ya uadilifu.(lk13:11)

  2. Roho wa wizi au bubu(mariko 9:25)

  3. Roho chafu imetumiwa mara 22 (math12:43, mariko 1:23)

  4. Roho wa uzoefu.(walawi20:27, 2wafalme 23:24, isaya 8:19) Roho mbaya siyo ya mwanadamu. Zinauzoefu au kufanana na mtu aliyekufa. Matendo na maisha zinaingia ili kuwapoteza wanaomboleza kwa kusisitiza. Hali hii ni ya kweli na isiyoonekana na tena niya uongo. Wengine wameaminika kuwa walevi waliwasiliana na mume au mke alikufa na hivyo basi kuvutiwa na hizi roho za ukosefu.

  5. Malaika (2wakor11:14)

  1. Tamaa.

  2. Usherati.

  3. Uzinifu.

  4. Ulawiti.

  1. Roho najisi (mariko 9:25, ufunuo 18:2)

  2. Roho ya wivu (hesabu 5:14-30)

  1. Hasira.

  2. Chuki.

  3. Bonde.

  1. Roho ya uwonga.(2 tim 1:7)

  2. Roho ya uchawi.(matendo 16:16)

  1. JINSI YA KUWA NA ULINZI KATI YA VITA VYA KIROHO.

  1. Vaa silaha za roho ya Mungu (waef6:10-18)

  1. Uadilifa uwe kama vazi la kujikinga kiyunani.

  2. Ukweli uwe kama ukanda kiunoni.

  3. Huduma ya kutengeneza habari njema ya amani iwe kama viatu miguuni mwenu

  4. Kofia ya wokovu.

  5. Ngano ya imani.

  6. Upendo wa roho ambayo ni neno la Mungu.

  1. Salieni daima mkiomba msaada wa Mungu. Salini kila wakati kwa nguvu ya roho, keshani bila kuchoka.(waef 6:18)


UWANAFUNZI.

  1. UTANGULIZI KWA WANAFUNZI.

  1. Mwito wa kuwa mwanafunzi (lk 14:25-27) Neno chukia lina maana tofauti siku hizi.

  1. Mwanafunzi ni nani?

  1. Alijikana kufuata Yesu kristo.

  2. Mmoja aliyeacha yote kwa kumfuata Yesu.

  3. Yeye anafanya mashauri ya uzima, na sio mauti.

  4. Mtu wa kiroho.

  1. Kuna tofauti kati ya mwenezaji injili na mwanafunzi.

  1. Mwito wa kuwafanya wengine kuwa wanafunzi.(math 28:19-20, 2 tim 2:2)

  1. SHABAA YA WANAFUNZI KUENDELEZA UFALME WA MUNGU.

  1. Lengo kuu la kuwa mwanafunzi ni kufanya kwa sawa na kutosha katika huduma ya ufalme wa Mungu.

  1. Yesu alitumia muda wake mwingi wa miaka mitatu na nusu kuwafundisha watu kuwa wanafunzi.

  1. Hali ya kanisa ndio mwanzo katika kuhusika kwake kristo.

  1. Waraka wa ufunuo (ufunuo 2:3) uliandikiwa kanisa saba kuhusuhali yao ya kiroho.

  2. Waraka kwa agano jipya ulikuwa umepeana mashauri ya maisha na kuhusu wakristo kwa tabia yao, waraka huu kwa njia nyingi hutupa mtamzo katika hali na shida za kanisa la kwanza.

  3. Pasipo kuweko kanisa, ufalme wa Mungu hauwezi kuweko au kupanuka.

  4. Hali zinazosimamisha mtiririko wa maisha na kuweka hali ya mauti.

    1. Kiburu, kujiona na kujitenga na roho ya ugumu.

    2. Kupenda kusifiwa, kuonekana kuwa pahali pa juu kuvutia hali ya mtu kwa jinsi ya wokovu.

    3. Ubishi, roho ya kunena sana usumbufu usiofundishika, kujitakia, kujiweka katika hali isiyo yako.

    4. Kutafuta ubaya, kuzungumzia makosa na kushindwa kwa wengine, badala ya kuangalia utawala wa wale wenye talanta na kuwashukuru zaidi yako.

    5. Tamaa, matendo yasiyofaa, uhusiano usiomwema, na ukosefu usio wa asili moja.

    6. Kutoaminika, cheo au kiwango cha udanganyifu, kueneza au kufunika ukweli.

    7. Uchoyo, kupenda fedha na vitu vya haraka, uzembe, kujionyesha sana mbele ya wengine.

    8. Mtindo wa kifo cha kiroho kutojali, ukavu na kutofautiana.

  1. YALE YESU ALIFUNDISHA KUHUSU WANAFUNZI.

  1. Mwanafunzi lazima awe kama bwana wake.(math 10:24-25, luk 6:40)

  1. Kufanya kazi ambayo yesu aliifanya pasipo kuishi jinsi alivyoishi itakuwa kujiweka juu yake.

  2. Yatupasa kufuata mtindo wa mfano wake.(1petro 2:21-23)

  1. Hujikana, hujitoa msalabani na umemfuata Yesu.(math 16:24-25)

  2. Mkitenda kwa neno langu, basi mu wanafunzi wangu.

  1. Njia ambazo neno huondolewa maishani mwetu.

    1. Udanganyifu wa mali.

    2. Shughuli za maisha.

    3. Tamaa ya vitu vingi.

  2. Kuruhusu neno la Mungu kukaa ndani mwako ndipo inakuwezesha kuzaa matunda kuwa mwanafunzi. (yohana 15:7-8)

  1. Usipokuwa kwa hisia zako huwezi kuzaa matunda mengi.

  1. JINSI YESU ALIVYOPENDA NA KUTEMBEA KILE ALISEMA.

  1. Ushirika wake na baba.

  1. Kataka maombi.(mariko1:35, lk 6:12)

  2. Katika kufunga.(lk 4:1-4)

  1. Mtindo wake wa maisha

  1. Alizuia na kushinda majaribu ya ulimwengu, mwili na shetani.

  2. Alivumilia mateso, upweke na kukataliwa.

  3. Alivumilia msalabani na kuishi maisha ya huduma na dhabihu.

  1. Akili yake na tabia.


SAFARI AU MTAZAMO WA AGANO JIPYA.

  1. UMUHIMU WA AGANO JIPYA KULINGANA NA AGANO LA KALE.

  1. Mtazamo wa haraka kwa agano jipya.

  1. Vitabu vya injili- Vinaonekana kushughulika kuonekana kwa wokovu.

  2. Matendo- Kitabu cha historia kinachoonyesha wokovu wetuna ufalme wa Mungu.

  3. Ufunuo- Kitabu cha unabii kinachoshughulikia ukamilifu wa wokovu wetu.

  1. Mtazamo wa haraka kwa vitabu vya injili.

  1. Injili maana yake habari njema.

  2. Vitabu vya injili viliandikwa na watu wanne tofauti, Kila mmoja kwa watu tofauti na maelezo tofauti.

  3. Muhkhtasari wa vitabu vya kila injili ya Mariko, Mathayo na hata Luka kulinganishwa na Yohana.(Mathayo 58%, Mariko 93%, Luka 42% na Yohana8%)

    1. Katika muhkhtasari wa wa injili ya mwonyesha Yesu katika asili yake ya mwanadamu na yale alitenda.

    2. Yohana anasisitiza kuhusu kazi ya Yesu ni nani?

    3. Injili ya mukhtasari wa injili ya mwakilisha akiwa Galilaya akifundisha ufalme wa Mungu.

    4. Yohana ana mwakilisha Yesu akiwa Yerusalemu pahali Yesu alijitambulisha kuwa mwana wa Mungu.

    5. Katika Yohana ni kama Yohana anapeana habari kwa kufuatilia mazungumzo yote na hali zote kumhusu Yesu na watu.

  1. Viumbe vinne vinawakilisha vitabu vinne vya injili.

    1. Simba(mathayo)- Yesu aonekana kama simba wa Yuda iliandikiwa Wayahudi( ina makala 29 kwa agano la kale)Yesu ana akili kama mfalme.

    2. Mtu (Mariko.)- Mtu wa pekee aliye kweli na mwanadamu. Iliandikwa na warumi kuonyesha uwezo wake na kama mshaidi.

    3. Ngombe(Luka)- Inazingatia ibada na dhabihu ya Yesu mtumishi mkuu. Wagiriki ambao wazo lilikuwa mtu mtakatifu kama Adamu akamilisha hilo.

    4. Tai(Yohana)- Injili ya ulimwengu wote, ni ishara ya heshima na utukufu inaonyesha kazi ya Yesu na mwana Mungu.

  1. Simba, ng’ombe na mtu wako nyumbani chini.

  2. Tai ako nyumbani lakini juu hewani, hii inaonyesha kwamba Yesu alitoka juu.

2. ILI KULINGANA NA MATHAYO.

A. LENGO

1. Yesu ni massiah au ufalme(math2:2, 2:21:5,22:11 25:34)

2. Iliandikiwa Wayahudi kwa kujuwa tumaini lao kuu kwa massiah aliyekabidhiwa Mathayo anamweka Yesu kama mmoja wa kukamilisha agano la kale kumhusu massiah(mwanzo 3:15, 22:18, 49:10) kumbukumbu la torati 18:15, isaya2:4, 7:14)

3. Kutumika kwa nakala nyingi za agano la kale inayoonyesha jinsi ya mpasa massiah kuwa. Orodha za matendo ya Yesu inadhibitisha kwamba alikuwa massiah.

4. Matumizi ya maneno’ ufalme wa mbinguni’ Katika Mathayo ina onekana mara 50 na 30 kwa kufuatwa.

a. Ufalme ulioelezwa na Mathayo ni sawa na ulioandikwa katika agano la kale.

b. Yohana mbatizaji alitangaza huu ufalme(mathayo 3:2)

c. Yesu aliutangaza(mathayo 4:17)

d. Kanisa sasa ni ukamilifu wa ufalme;

1. Pia kuonekana kwa ushindi kwa kurudi kwake Yesu.



B. MWANDISHI.

1. Mathayo ndiye mwandishi.

2. Machache yamesemwa katika agano jipya kumhusu Mathayo. Alikuwa mtoza ushuru chini ya serikali ya kirumi na akaitwa na bwana kuwa mwanafunzi na mtume.(mathayo 10:3. mariko 2:14)

C. YALIYOMO.

1. Kuja kwake massiah(mathayo1:1, 2:4-11)

2. Huduma yake massiah(mathayo4:12)

3. Dhabihu yake massiah(mathayo 24-27)

4. Ushindi wake massiah(mathayo28)

J. INJILI KULINGANA NA MARIKO.

A. Lengo.

1 Yesu kama mwana wa Mungu.

2. Iliandikiwa watu wa jeshi, warumi na Yesu anayeonyesha kama mkuu wa kiongozi wa wokovu na ushindi.

B. Mwandishi.

1. Mariko alikuwa mwana wa Miriamu, mwanamke kutoka Yerusalemu ambaye nyumba yake iliwachwa wazi kwa kanisa la kwanza.

2. Mariko alikuwa pamoja na Paulo na Baranaba katika safari yao ya kwanza, lakini akarudi Yerusalemu baada ya Baranaba.Safari yao ya pili ilileta kutoelewana kati yake na Paulo.Baranaba katika hali ya kuishi na Mariko alihitaji nafasi nyingine kutoka kwa Paulo na kuchukuwa Mariko kwenda naye. Baadaye Mariko aliweza kufanikiwa katika huduma.

3. Jina la Kirumi Mariko linaoonyesha kuwa alilelewa katika mazingira ya Kirumi iliyomfanya kuhitimu kwaandika injili kwa Warumi.



C. Yaliyomo.

1. Kuja kwa mshindi mkuu.

a. Jina lake na tukio(mar1:1-8)

b. Ushindi wake dhidi ya shetani(mar1:9-13)

c. Kutangazwa kwa kwanza kwa ufalme wake(mar1:14-20)

d. Kazi zake za kwanza za uwezo(mar1:13, 2:12)

2. Utawala wa mfalme mkuu.

a. Haja ya ufalme wake –mitume, wenye dhambi, raia, wagonjwa na wenye kuhitimu.

b. Kuelezea kukuwa kwa ufalme wake(mar4:1-34)asili ya kushinda mapepo, magonjwa na kifo.(mariko 4:35)

c. Kupingwa na watu.(mariko 6:1-6) Herode.(mariko 6:14-29)waandishi na mafarisayo.

3. Ushindi ulitangaza haki yake na uwezo.

a. kufundisha wafuasi wake jinsi ushindi ulivyopatikana katika ufalme wake wa kuteseka na mauti.(mariko 8:21-38, 10:28-45)

b. Kudai haki yake ya ufalme mjini Yerusalemi kwa kuingi kwake kwa ushindi (mariko 11:1-11) kwa kusafisha hekalu kwa kushinda viongozi walioulizia mamlaka yake na kwa unabii wa kuja kwa mara ya pili katika utukufu(marioko13:1-37)

4. kutayarisha na kuinua juu ufalme wake.



  1. Kuandaa kifo(mariko 14:1-72)

  2. Kujitolea kwa kufa. (15:1-47)

  1. Kuuchukua ufalme

    1. Kushinda mauti.

    2. Kutuma wafuasi wake kutangaza ushindi.(mariko 16:15-20)

  1. Download 1,15 Mb.

    Do'stlaringiz bilan baham:
1   ...   5   6   7   8   9   10   11   12   13




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©hozir.org 2025
ma'muriyatiga murojaat qiling

kiriting | ro'yxatdan o'tish
    Bosh sahifa
юртда тантана
Боғда битган
Бугун юртда
Эшитганлар жилманглар
Эшитмадим деманглар
битган бодомлар
Yangiariq tumani
qitish marakazi
Raqamli texnologiyalar
ilishida muhokamadan
tasdiqqa tavsiya
tavsiya etilgan
iqtisodiyot kafedrasi
steiermarkischen landesregierung
asarlaringizni yuboring
o'zingizning asarlaringizni
Iltimos faqat
faqat o'zingizning
steierm rkischen
landesregierung fachabteilung
rkischen landesregierung
hamshira loyihasi
loyihasi mavsum
faolyatining oqibatlari
asosiy adabiyotlar
fakulteti ahborot
ahborot havfsizligi
havfsizligi kafedrasi
fanidan bo’yicha
fakulteti iqtisodiyot
boshqaruv fakulteti
chiqarishda boshqaruv
ishlab chiqarishda
iqtisodiyot fakultet
multiservis tarmoqlari
fanidan asosiy
Uzbek fanidan
mavzulari potok
asosidagi multiservis
'aliyyil a'ziym
billahil 'aliyyil
illaa billahil
quvvata illaa
falah' deganida
Kompyuter savodxonligi
bo’yicha mustaqil
'alal falah'
Hayya 'alal
'alas soloh
Hayya 'alas
mavsum boyicha


yuklab olish