Tafsiri ya maneno kutoka english kwenda kiswahili



Download 0,98 Mb.
bet1/8
Sana24.06.2017
Hajmi0,98 Mb.
#14915
  1   2   3   4   5   6   7   8

TAFSIRI YA MANENO KUTOKA ENGLISH KWENDA KISWAHILI

English

Kiswahili

Next

Ifuatayo

SW Asian

Ya kusini magharibi mwa Asia

2D Two dimension

pandeumbile 2

32-bit

biti-32

3 Dimension

Pandeumbile 3

Abort

avya

About

kuhusu

Absolute

kenyekenye

Accelerator

kichapuzi

Accent

lafudhi

Accept

kubali

access (n)

fikio (n)

access (v)

fikia (t)

Accessibility

ufikikaji

Accessing

ufikio

Accessories

vikorokoro

Account

akaunti

Accuracy

usahihi

Accurate

sahihi

Acronym

akronimia

Across

kukingama

Action

tendo

actions menu

menyu-vitendo

Activate

amilisha

Active

amilifu

active document

andiko amilifu

active object

kiumbile amilifu

active window

dirisha amilifu

active-X

X-amilifu

Actual

halisi

Acute

kali

Adapter

adapta

Add

ongeza

add-on

nyongeza

add-on help

msaada nyongeza

Address

anwani

address book

kitabu cha anwani

Adjust

rekebisha

Administrator

mtawala

administrator setup

usanidi wa mtawala

Advance

endelea

Advanced

-li-ondelea

Affect

athiri

Affiliation

Ushirikishaji

After

baada

Again

tena

Agent

wakala

Agreement

makubaliano

alert (n)

tahadhari

alert (v)

tahadharisha

alert me

nitahadharishe

Algorithm

algoriti

Alias

lakabu

Align

pangilia

Alignment

mpangilio

All

-ote

Allocate

tenga

allocation (n)

mtengo (result)

allocation (v)

utengaji (process)

Allow

ruhusu

allow popup from this site

ruhusu udukizi kutoka tovuti hii

Alphabetic

-a kialifabeti

alphabetic text character

kiwambo matini cha kialfabeti

Alt (Alternate)

(Kbdl) Kibadala

Alter

badili

Alternative

mbadala

alternative key

kibonye mbadala

alternative text

matini mbadala

Usually

kwa kawaida

Always

daima

Amount

kiasi

Ampersand

ampasendi

Analyze

changanua

Anchor

nanga

Angle

pembe

angle brackets

mabano pembe

animate

huisha

Animation

uhuishaji

Anniversary

maadhimisho

Anonymity

ufichojina

Anonymous

sojina

Answer

jibu

Antivirus

ngarusi

Any

-o-ote

Aperture Value

Thamani Upenyo

Apostrophe

apostrofi

Apparition

mzuko

Appear

onekana

Appearance

Mwonekano

appears to be

huonekana kuwa

Applet

apuleti

Application

matumizi

application (s)

programu-tumizi

Apply

tekeleza

apply a font

tekeleza fonti

apply a style

tekeleza mtindo

Appointment

miadi

Arc

tao

Arccosine

kosinitao

archive (n)

jalada (n)

archive (v)

jalidi (t)

Archiving

ujalidi

Argument

agumeni

Around

kadri ya

Arrange

panga

Array

pahi

array formula

fomula pahi

Arrow

mshale

Article

kikala

Artificial

bandia

Ascending

kuumbia

ASCII (American Standard Code for Information Interchange)

ASCII (Msimbo Sanifu wa Marekani wa Mabadilishano ya Habari)

Assign

pangia

Assigned

-liopangiwa

Assistant

-saidizi

Associate

nasibisha

Association

unasibisho

Asterisk

kinyota

Asynchronous

solandanifu

At

-enye

at least

walau

at most

sana sana

at-rule

kwenye kanuni

Attachment

kiambatisho

Attach

ambatisha

Attention

unabihi

attribute(s)

uangalifu

Audio

sikizi

Authenticate

halisisha

Authentication

uhalisishaji

Authenticity

uhalisi

Author

mtunzi

Authorization

uidhinishaji

Auto

oto

auto arrange

Panga kiotoi

auto correct

rekebisha kioto

auto detected

-li-ogunduliwa kioto

auto filter

kichujio oto

auto fit

tosheleza kioto

auto-detect

gundua kiotoi

auto-reliable

-a kuaminika kioto

Autocomplete

kamilisha kiotoi

autoconfig failed

usanidi oto umeshindwa

autoFormat (n)

Fomati Oto (n)

autoFormat (v)

Fomati Kioto (t)

Autoload

pakia-kioto

Automatic

otomati

automatic detection

ugunduzi otomati

AutoXXX

OtoXXX

Available

ipo

Average

wastani

Axe

aksi

Axis

jira

Back

nyuma

back button

kitufe rejeshi

back up (v)

akibisha

back up (n)

akiba

Backend

kisogoni

Background

usuli

background color

rangi usuli

Backslash

mkwaju

BACKSPACE key

kibonye NAFASINYUMA

backward

kinyuma

backward compatible

tangamani kinyuma

backward moderated

-li-orekebishwa kinyume

bad

mbaya

bad address

anwani mabaya

Baggage

mzigo

bandwidth

upana-bendi

banner

bango

bar

mwambaa

baseline

alamampaka

baud

baudi

BBS (Bulletin Board Service)

HUM (Huduma za Ubao wa Matangazo)

beam

mweka

beamer

kimweko

beep

bipu

before

kabla

beginner

mwanagenzi

bell

kengele

below

chini ya

beta

beta

bevel

matemo

bidirectional language

lugha kuwili

binary (adj)

jozi (kv)

binary (n)

jozi (n)

binder

kijalidi

bit

biti

bitmap

taswidoti

black

nyeusi

blackandwhite

-iso rangi

blank

uwazi

blank space

nafasi tupu

blind carbon copy (bcc)

nakala fiche (bcc)

blink

pepesa

block (a command)

zuia (amri)

block (n)

duta

block device

kitunza data

Block padding

Duta vijazio

Block(programmig)

Fungu

blocked

iliyozuiwa

body

gimba

bold (adj)

koze (kv)

bold (v)

koza (t)

bold button

Kitufe koza

book

kitabu

bookmark (n)

alamisho (n)

bookmark (v)

alamisha (t)

bookmark link

kiungo alamisho

Boolean

Buleani

Boolean operations

matendo Buleani

boot(v)

washa (t)

boot (n)

washo (n)

boot disk

dski washi

boot drive

kiendeshi washi

border color

rangi kingo

border relief

nafasi-kingo

border style

mtindo kingo

border(s)

(u)kingo

bottom

kitufe

bounce

shindwa kufika

bouncing block

duta shinde

boundary

mpaka

bounds

vikomo

box

kisanduku

bps

bks

braces

parandesi

brackets

mabano

breakpoint

kituomwisho

bright

angavu

brightness

uangavu

bring

leta

browse

vinjari

browse (for file)

vinjaria (faili)

browser

Kivinjari

bubble (n)

kiputo

buffer

bafa

bugs

hitilafu

build

jenga

Build config

jenga usanidi

builder

-jenzi

built-in

-a ndani

Bulk Data

Data nyingi

bullet

tobo

bullet points

alama tobo

bulleted list

orodha tobwe

business

amali

busy

shughulini

button

kitufe

buttons: exit

vitufe: toka

byte(s)

baiti

cache

kache

calculator

kikokotoo

calendar

kalenda

call

ita

call method

mbinu ya mwito

call preference

mwito teule

call-in

mwito-ingia

call-out

mwito-toka

callback

mwito rejeshi

cancel

ghairi

canvas

turubai

capital letters

herufi kubwa

capitalization

utumiaji herufi kubwa

capitals

hefufi kubwa

caps

herufi kubwa

CAPS LOCK key

kibonye HERUFI KUBWA

caption

maelezo mafupi

capture (v)

nasa (t)

Download 0,98 Mb.

Do'stlaringiz bilan baham:
  1   2   3   4   5   6   7   8




Ma'lumotlar bazasi mualliflik huquqi bilan himoyalangan ©hozir.org 2024
ma'muriyatiga murojaat qiling

kiriting | ro'yxatdan o'tish
    Bosh sahifa
юртда тантана
Боғда битган
Бугун юртда
Эшитганлар жилманглар
Эшитмадим деманглар
битган бодомлар
Yangiariq tumani
qitish marakazi
Raqamli texnologiyalar
ilishida muhokamadan
tasdiqqa tavsiya
tavsiya etilgan
iqtisodiyot kafedrasi
steiermarkischen landesregierung
asarlaringizni yuboring
o'zingizning asarlaringizni
Iltimos faqat
faqat o'zingizning
steierm rkischen
landesregierung fachabteilung
rkischen landesregierung
hamshira loyihasi
loyihasi mavsum
faolyatining oqibatlari
asosiy adabiyotlar
fakulteti ahborot
ahborot havfsizligi
havfsizligi kafedrasi
fanidan bo’yicha
fakulteti iqtisodiyot
boshqaruv fakulteti
chiqarishda boshqaruv
ishlab chiqarishda
iqtisodiyot fakultet
multiservis tarmoqlari
fanidan asosiy
Uzbek fanidan
mavzulari potok
asosidagi multiservis
'aliyyil a'ziym
billahil 'aliyyil
illaa billahil
quvvata illaa
falah' deganida
Kompyuter savodxonligi
bo’yicha mustaqil
'alal falah'
Hayya 'alal
'alas soloh
Hayya 'alas
mavsum boyicha


yuklab olish